Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,084
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu.

Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni uthibitisho usio na shaka kwamba watanzania wanaovuta bado wapo gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia, ndio maana huwa sishangai vituko vya watumiaji wa huu mmea.

Ni kwamba Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini watanzania hawajui chchote kuhusu hili ukiwajuza watakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi, Cha Arusha ndio chenyewe na hakuna bangi isiyo na mbegu", ni wabishi vibaya mno.

Bangi ni mmea na kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase polen za mmea wa kiume (male pant), polen huwa ni kama unga zinafikia mmea wa kike kwa upepo, kuhamishwa na wadudu, ndege, n.k. zikifikia mmea wa kike kuna mbegu zitaanza kuota.

hivyo ili bangi isiwe na mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike, yaani inabidi autunze sana mmea wa kike azuie pollen za mmea wa kiume zisifike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi, huzalisha maua makubwa zaidi yenye kilevi pure, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya.

Huku Tanzania bangi inapandwa msituni inaachwa ijiotee bila uangalizi inasubiriwa kuvunwa tu, ni lazima ukute ina mbegu, huwezi vuta moja ndio maana unawaona watu wanazichambua kwenye vihanja kutoa mbegu na bado huwa kuna chembechembe zisizoonekana zitabaki,

mbegu hutolewa sababu zinafanya kichwa kiume, zinapunguza nguvu za kiume, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali zikiangukia kwenye nguo zinatoboa, hufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Halafu kuna huu ushamba mwengine unaoonyesha wazi watanzania wanaovuta hawajui hata elimu ya mimea, mtu anasifia "hili ni ganja dume, ni kitu original", hawana hata elimu kujua kwamba sehemu ya kiume ya mmea kazi yake ni kuzalisha polen sio maua yanayovutwa, sehemu pekee inayovutwa ni maua yanayozalishwa na upande wa kike wa mmea.

Bangi ya Tanzania ipo hivi, unaweza kuona hizo mbegu zilivyojaa,

1712086808769.png

Bangi isiyo na mbegu hii hapa

1712086966131.png
 
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa katika ulimwengu wa bangi miaka ya 1970.

Mpaka leo watanzania wanavuta bangi ya msituni inayoachwa ijiotee bila usimamizi, matokeo yake bangi wanazovuta pengine ndio zinasababisha vituko tunavyovisikia.

Wao huenda mbali kuaminishana "Cha Arusha", "Tarime", "Cha malawi", "Cha Mbeya", n.k, kwamba zinafanana na viwango vya bangi za Marekani, jibu fupi ni kwamba wapo bado gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia,

Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini hili nenda kwenye kijiwe cha wavuta bangi wtakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi hakuna bangi isiyo na mbegu"

Kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase mbegu za mmea wa kiume (male pant), mbegu hizo huwa katika mfumo wa unga (pollen) na husambaza kwa upepo, kuhamishwa na ndege, n.k.

hivyo ili mmea usizalishe mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi na sio mbegu, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya tofauti na huku kwetu watu wanavuta bangi za msituni zimeachwa tu zijiotee bila uangalizi.

Huku Tanzania bangi inayouzwa ni lazima ukute ina mbegu na ni lazima uichambua lakini bado huwa kuna chembechembe zisizoonekaa zinabaki kwenye msokoto, mbegu hutolewa sababu hazina kilevi, ukizivuta upo hatarini kuwa hanithi, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali na kufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Bangi inayovutwa Arusha ndiyo inayovutwa Jamaica....!

Na tutaivuta hiyohiyo...hiyo ya Marekani isiyo na mbegu inavutwa na wanawake wajawazito

Ingekuwa ni kuwa Hanithi kina Bob Marley, Joseph Hill na wengine wasingekuwa na rundo la watoto
 
Mnajidanganya sana kuvuta bangi kama wanazovuta wamarekani, huku mnavuta makapi tu

Yani mtu aanza kuchambua mambegu kuyaondoa maana yanaleta uhanithi si ajabu ukiyavuta yanapasua mishipa kwenye ubongo,
Hebu leta ushahidi wa Mtu aliyevuta akawa Hanithi

Weka ushahidi hapa wa hata watu wawili tu
 
Back
Top Bottom