Aibu ndani ukoo,msaada unahitajika jaman!Kumbe Mtotosix ni kaka yetu!

DNA test imethibitisha kua mama MtotoSix alimdanganya baba yenu ili apokee pesa za pension. Kweli mzee alidhani ni wake (si mnaona walivofanana vidole vya miguu?) But †ђξ fact is, HE IS NOT blood related. Hivo ni rukhsa kabisa kuoana (and may this L♥√ع thrive), ila mama mtotosix arudishe kwanza hela za pension alizo pokea for 26 years.

samahani sana umewakosea heshima wazazi hadi changanyaradi na mutosikisi hayo ndo majina yao halisi waliyopewa walipozaliwa kijijini mandangeni,tarafa ya kasulumbangwa,kitongoji cha mikindu hukoo rukwa kwa hiyo taarifa nyingine hayo majina si rahisi jamani motusikisi acha kumuoa dada yako changanya radi jamani wote nyie ni watoto wa mafurupanyabuku
 
Last edited by a moderator:

watakuelewa?hawa watoto wamesha onjana wanataka kuibadili nyekundu kuwa nyeupe,ngoja waje wazae ugali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom