Migogoro na vituko kwenye ndoa

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,417
7,970
Kwamba kuna migogoro,vituko,usaliti na kila aina kero,hakuifanyi ndoa kuwa ni taasisi mbaya,ndoa ni muhimu sana.Enyi kina kaka na kina dada,kipimo chako cha kumpenda Mungu wako ni kuoa au kuolewa.Na msidanganywe na watu kuwa eti ndoa hazina faida yoyoye,ni uongo,ndoa ni muhimu kwa maisha yako.Kama hujaoa au kuolewa basi huu ndio mwaka wako,uolewe na uoe
 
Mabikra wapo? Kama wewe binti ni bikra! Nakuhakikishia hata sasa hivi mme bora wa kukuoa yupo! Tatizo jinsia ya ke usichana wao ulishauzwa kwa chipsi!
 
Kwamba kuna migogoro,vituko,usaliti na kila aina kero,hakuifanyi ndoa kuwa ni taasisi mbaya,ndoa ni muhimu sana.Enyi kina kaka na kina dada,kipimo chako cha kumpenda Mungu wako ni kuoa au kuolewa.Na msidanganywe na watu kuwa eti ndoa hazina faida yoyoye,ni uongo,ndoa ni muhimu kwa maisha yako.Kama hujaoa au kuolewa badi huu ndio mwaka wako,uolewe na uoe
mawardat Aaliyyah ujumbe uwafikie wadogo zangu.
 
IMG_1225.jpg
 
Ndoa ni nzuri lakini usioe au kuolewa na lisenge lisenge.
 
Tumesikia binafs sijawah fikiria kuwa ndoa ni mbaya na naamini ndoa yngu na mtoto wa mtu itakuwa yenye amani na upendo
Safi sana jamani mchangamke basi nile pilau la harusi zenu warembo maana sii mnajua kaka yenu tayari nina miyawa so wakati wowote narudisha roho kwa muumba.
mawardat
 
Back
Top Bottom