Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

mhuni tu huyu,!hata haongei kitu cha kueleweka,anafichaficha mambo,nashawishika kusema huyu bwana hata interview hajafanyiwa,.decision was made akiwa bado harlem arithishwe cheo kama wanavyopeana ccm,..wanampoza dingi kwa kukupa cheo,don't try to fool us eti mpambano ulikuwa mkali!!..my foot
 
hivi hii nchi mmeisha ona ni mali yenu?baba akiwa rais na ww unataka kuwa rais,sasa sisi walala hoi tubaki tu,tunawapigia makofi tu,inauma sana ,mmesoma kwa kodi zetu mnaendesha magari kwa kodi zetu,bado mna nganganinia madaraka tu,jamani mtuache na ss walalahoi tuchague viongozi kwa sifa nasi ukoo
 
someni signature yake hayo maneno mawili ya mwisho ya mheshimiwa mbunge mtarajiwa,.lusinde in the making,it runs in the blood!
 
Wana Jf jamani nilisema Ben ni mwanasiasa mtata sana.Kilichomfanya anadi wanasiasa wa chama kingine ni nini?Malumbano niliyoweka hapo juu yalianza baada ya huyu dogo (dikteta mbaya sana kwa anayemjua) alipoweka badiko zito lakuwanadi akina willium na shy-rose huku yeye ni mwanachadema.

Yesterday 16:32

#118 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 18th January 2007
Posts : 3,961
Rep Power : 1775
Likes Received1178
Likes Given2478

[h=2]
icon1.png
Re: JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni![/h]
Nawatakia kila la Kheri Willium Malecela ,Mrisho Gambo na Shy-Rose Bhanji.Wabunge wote wa CCM na wapiga kura wa leo naomba muwape kura vijana hawa.Najua mko online mnaifuatilia thread hii.Chagueni watu wenye uwezo na uzalendo wa dhati kwa Tanzania

Ni wakati wa kupigania maslahi yetu EAC kwa vitendo zaidi.Inahitaji weledi wa hali ya juu kwenye uchumi na masuala ya siasa za kimataifa.Taifa letu limekosa fursa hii adimu kwa muda mrefu.Kuna mambo ambayo mimi naona yatauletea balaa la kiuchumi na kisiasa kama tutaendekeza haya yaliyofikiwa na watangulizi wenu huko EALA.Kuna maamuzi yanayostahili kuangalaiwa kwa upana and critically especially on Monetary unification

A monetary union with neither macro-economic nor sectoral policies convergence is a risky venture that may jeopardize the common market and the eventual political federation

Politically managed transition of the East Africa Commission to an East African Economic Union Authority should review the idea.Furthermore,the East Africa Monetary Authority should lead to an E A Central Bank. We need a unified federal treasury.

Tuangalie maslahi ya taifa critically,maslahi ya EAC kwa kuzingatia dhana ya kiuchumi ya Pareto optimality(kufaidika bila kujeruhi maslahi ya wengine). Kuna wanaobeza Regional bloc,hao sikubaliani nao.Tuboreshe polocy na mkataba wetu wa EAC.Kupinga regional bloc siyo sahihi,labda tuangalie maboressho ya mkataba kwa kutumia mifano hai ya muundo wa blocs nyingine kwa tahdhari kubwa na kuepuka matatizo kama ya Ugiriki huko EUROZONE.Kupinga per se siyo sahihi kwa dunia ya leo tunapoongelea New Economic International Order(NEIO)

That is outright fallacy - if you are trying to insinuate that economic regional blocs are not 'fashionable' today . If anything the EU , as a successful model of an economic regional bloc , has grown in strenght and influence enought to validate the thinking that small nations must unite to trade effectively and beneficially with the 'superpowers' , secure the welfare of citizens more robustly, grow miltarily , exchange technology and specialist knowledge, utilise diverse information sharing, etc . Even as no one will admit to it , I think most of us know that the EU was inaugurated to challenge the growing economic might of the USA back then. Today the union has more or less achieved its objectives with how the EU is actually now an influential economic zone.

EAC is still impotent because African member nations are not committed to its success . This is why we must all consistently speask against actions that undermine EAC. The bloc may not work well now but nothing stops me and you agitating for perseverance with EAC in recognition of how it is a highly neccessary union for all our magnified success. We all tend to think of success as isolated to ourselves only and this is why we are consumed with competing against each other always.Tanzania this,Kenya blah blah etc.. The divide-and-conquer tactics of our colonial Master worked too well. It's a pity we are still unable to re-program our thinking to date!

EAC has not failed because an economic trade bloc is a bad idea. It is not working because of the hypocrisy of a people who want to copy the models of success elsewhere while those same people lack the unity, mutual respect and dedication to end result that make the economic blocs we admire (like the EU) work as well as they do.

Shy-rose,Willium Malecela na Mrisho Gambo kila la kheri.Maslahi ya Tanzania na EAC kwanza​
 
Wana Jf jamani nilisema Ben ni mwanasiasa mtata sana.Kilichomfanya anadi wanasiasa wa chama kingine ni nini?Malumbano niliyoweka hapo juu yalianza baada ya huyu dogo (dikteta mbaya sana kwa anayemjua) alipoweka badiko zito lakuwanadi akina willium na shy-rose huku yeye ni mwanachadema.

Yesterday 16:32

#118 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 18th January 2007
Posts : 3,961
Rep Power : 1775
Likes Received1178
Likes Given2478

icon1.png
Re: JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!
mbona sijaona tatizo lolote mkuu, the mutuz aliomba wana JF wamuombee, una hiari yakumuombea apitishwe au kumuombea asipitishwe, ben ni mwana JF, ana hiari hiyo pi, CDM haingii kwenye hili swala kabisa.
 
yaani ninyi ni watu wa ajabu sana.Ben saanane jana alitofautina na watu wengi kumpigia kampeni huyu Willium na shy-Rose Bhanji hapa JF na mabandiko mazito mazito.Kuna siri gani hapo?au ni urafiki wao tu

Hivi kujinadi bungeni ni lugha gani inatumika? ni kiswahili au kiingereza?

Nuclear,kwenye reality kuna mambo mengi sana ebu tuangalie definition ya REALITY
1: You use reality to refer to real things or the real nature of things rather than imagined, invented, or theoretical ideas.
2: The reality of a situation is the truth about it, especially when it is unpleasant or difficult to deal with.
3: You say that something has become a reality when it actually exists or is actually happening.
4: You can use in reality to introduce a statement about the real nature of something, when it contrasts with something incorrect that has just been described.

Huyu Willy hata mimi nimemsupport asilimia mia 100% based ya vigezo vifuatavyo
1: NI JF Member kama nilivyokufahamu wewe Nuclear,hivyo as the days goes on Reality ni kuwa we are family no matter tunatofautina itikadi na mitazamo lakini tunaunganishwa na JF kama watu tunaolitakia TAIFA jambo jema na kwangu binafsi mtu yoyote anaetakia Tanzania jambo jema he is part of of us, kuwa CUF, CDM au CCM hizo ni Itikadi tu cha msingi tunaelewana kuwa wote safari yetu tuchukulie tunaanzia Kinondoni tunaenda downtown Azikiwe Posta, mwingine uenda akatumia barabara ya kawawa akaibukia Morogoro Road kisha akaingia Azikiwe Posta na mwingine akatokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi akaja Surrender akamalizia kwa kuungana na Bibi tiiti yuko Azikiwe Posta.Njia hizo ndio sawa na vyama au aina yoyote ya kusimamia Taifa letu.

2: Kupita kwake tayari JF itakuwa na Insider na kwa kuwa kabla yote yani mpaka sasa hivi taarifa za EAC ndani ya JF ni ndogo sana kulinganisha na jinsi ambavyo tulipaswa kujipanua na kujua taarifa nyingi ambazo ni faida kwa Taifa letu,na wewe Nuclear unajua jinsi tulivyo wadadavuzi na kuwa ujio wa taarifa za EAC tayari mimi na wewe na mwingine tutayajadili tukiwa na taarifa halisi na za ndani.

3: CCM inamatatizo lukuki,hivyo kesi ya Willy ni kuwa sisi wana JF tumpe support ya mass ambayo inainfluence kwenye kada ya wanasiasa.Correct me if am wrong kwa hili hivi kuna mwanasiasa au kiongozi ndani ya Tanzania anaweza kusimama kubishana na JF kwa lolote lile?Hakika kama JF Candidate wa siasa ndani ya Nchi ni mwanasiasa asie na mipaka yumo ndani ya ofisi za Serikali,yumo CUF,CCM,CDM na kokote pasikofikia kwa ulahisi wa kimwili yani unakutana na kibao kinakwambia kama si muhusika wa eneo hili hulusiwi kuingia lakini JF humo ndio kaweka makazi na anakula kiyoyozi safi na kikombe cha kahawa na anaitwa bosi,je hilo unapingana na hilo?

Hivyo na matatizo ya CCM,wapo wanaccm haijalishi anatoka ukoo wa nani kuwa wao heri ya nusu shari kuliko shari kamili.Tufike sehemu tusihukumu wote kuwa CCM wachafu ni kutowatendea haki wengine.Mfano Charles Makongoro Nyerere Kama angekuwa Member wa JF hakika Willy angeona moto wake hapa hakika Makongoro anagekuwa candidate wangu,sisi wana JF inakuwa ngumu kumjenga Makongoro kwa kuwa kajitenga atujui lolote kumhusu.Naamini Slaa ni mtu mzima kumzidi Makongoro lakini ni Member wa JFau nae bado anawoga kuwa watamsema mtoto wa Mwalimu kajiunga na JF.Hivyo kama mwanaJF naangalia candidate wetu huyo Willy based on fact tulizo nazo mkononi.Tunamjua Willy toka alivyokuwa huko USA, mimi nilimbana sana baada ya mambo ya majina ya watoto wawakubwa kuingia kwenye mazungumzo ya midomo ya Watanzani.

4: Kuhusu upeo na mengineyo tutampima kwenye utendaji huo,its better to have something than nothing,hivyo ni vyema JF ikawa na member EAC kwa tiketi ya CCM,akituletea zile za kiccm analijua JF naona unaweza kuona hali ya Mtu aliyependwa na kutetewa na JF DK Harrison Mwakyembe leo hii wanajf wanaonyesha misimamo yao ya wazi thread yoyote ya Mzee yule pindi inapofika humu hakika nyingi zinaonyesha dhahili kuwa ziko Negative dhidi yake na sio utetezi tena juu yake.

Kwa hayo Nuclear ebu tumjalibu kwa kuwa ndicho tulichonacho mkononi.
 
user-offline.png
Ben

Yesterday 18:06
#159

Nderingosha,

Calm down sir/madame !

Kanuni za uchaguzi huu ni kwamba upinzani kuna nafasi moja na CCM wana nafasi 8. Kwa hiyo CHADEMA haishindani na CCM kupigania hizo nafasi nane and vice versa is true.(tafadhali kabla hujamwaga hizo rhetorics rejea kanuni za uchaguzi huu)

Ili mgombea wa chadema atakayependekezwa na akifanikiwa akaptishwa na bunge awe na uwezo wa kupenyeza ajenda zetu katika kuipigania Tanzania EAC basi ni lazima afanye kazi na wabunge competent kutoka chama tawala ambao ni liberal na wenye mtazamo mpana kuhusu maslahi ya Taifa/walio tayari kumuona kama mwakilishi wa Tanzania na sio mwakilishi wa Chadema.Kwa wale wanaonifahamu wanajua kabisa mimi nina allergy na status quo. Kwa maslahi mapana ya taifa letu na kwa uzalendo wangu sioni kizuizi cha kunizuia kuwakumbusha wana CCM safari hii kutuchagulia watu wazuri against their old tradition ya kuteua watu kwa maslahi yao na chama chao tu.This is a very big issue kwa ajili ya Taifa na EAC kwa ujumla.Wtakuwa wabunge wa Tanzani (CCM& Opposition) Vs wabunge wa Kenya (ODM,PNU etc) VS wabunge wa Uganda (NRM &FDC,and other opposition parties) vs Wabunge wa Burundi (CNDD-FDD and the like).So tuangalie competence ya wabunge wetu.Ningekushauri usome mkataba wa EAC,usome muongozo wa uchaguzi kabla hujaleta siasa za CCM na chadema katika hili

Pia,if you find my post long and boring in narrating issues just skip it.Just make your decision democratically(right)

Oh, USA? ofcourse huko tulikoiga demokrasia huwa wanafanya hivyo.Colin Powel waziri wa mambo ya nje wa zamani wa US (Mtu wa pili mwenye nguvu katika itifaki ya America baada ya Rais) ambaye alikuwa mwanachama wa Republican alimu-endorse Barack Obama (democrats) against John Maccain(Republican candidate)

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,kwa kuwa chadema ni chama kinachojali maslahi ya taifa kwanza hakikujikita kwenye unazi wa vyama na kuwaambia wanakyela wamchague Mwakyembe kwa masharti ambayo tuliwapa.Je chadema tulikuwa hypocrytes?

Nderingosha,I will continue to place national interest above partisan politics for it is not about Ben Sanane or nderingosha as an individual it is about Tanzania in the collective. It is not only about the present it is also very clearly, about our future too.

I want to call on all those who may continue to view issues only from the prisms of partisan politics to take a break. Election campaigns domestically are over. In all the areas concerning our position in EAC we are suppose to press for reforms, we have to in regardless of party, ideology or other interest be assembled and continue to do. We need Tanzanians,intellectuals and patriots of an outstanding pedigree to carry out assignments in our nations interest. We must reward and call to service excellence and patriotism at all times.

You have said it all very well.
Hasa hapo unaposema 'We need Tanzanians, intellectuals and patriots of an outstanding pedigree to carry out assignments in our nations interest" ? na huyu ndugu yetu ni mmoja wa Watanzania hao? au ndio tulazimike kumuunga mkono sababu uwezekano wa yeye kuwa afadhali kuliko hao wengine saba as long as we all know the problem of CCM ni mkubwa?

CCM wanatuweka njia panda sana, au wengine turudi CCM? this imbalance of human capital between CCM and CHADEMA is now very likely to put all of us in problems.
 
Hongera bana!! Kila la heri, ila angalia usije geuka na kuwa kama mama Rwakatare!!
 
Hongera bana!! Kila la heri, ila angalia usije geuka na kuwa kama mama Rwakatare!! Na uwe mtetezi wa JF always
 
To be honest, I disguise nepotism. Hukufanya Kazi Na sisi ulikimbilia kwenye green pasture, ukatuacha tunateseka Na vijimshahara, mazingira magumu, hata hujui jua letu, tabu zetu, machungu yetu, Leo unatuwakilisha, hivi utaongea nini huko? Hata tukikuambia bila experience utaguswa kweli. Anyway mi wangu Fancy amepita? Kadada jiniasi sana, namkubali mbaya....
 
You have said it all very well.
Hasa hapo unaposema 'We need Tanzanians, intellectuals and patriots of an outstanding pedigree to carry out assignments in our nations interest" ? na huyu ndugu yetu ni mmoja wa Watanzania hao? au ndio tulazimike kumuunga mkono sababu uwezekano wa yeye kuwa afadhali kuliko hao wengine saba as long as we all know the problem of CCM ni mkubwa?

CCM wanatuweka njia panda sana, au wengine turudi CCM? this imbalance of human capital between CCM and CHADEMA is now very likely to put all of us in problems.

Mkuu,

Usihamie CCM kabisa.Kwa sababu kanuni zinabana (of course nina tatizo na muongozo wa kanuni hizi za uchaguzi wa EAC ndiyo maana nimesita kuchukua fomu hadi sasa kupitia chama changu cha chadema) basi ili tupate wawakilishi bora ni lazima tuzingatie mitizamo na utayari wa watu kubeba ajenda za taifa kwa ujumla.ukiwa tayari kushirikiana na Intellectuals hapa JF,ukiwa tayari kuweka maslahi ya taifa mbele basi wewe unaweza kuwa mwakilishi bora huko EAC kuliko mwenye PH.D aliyekosa hizo qualities.Willium and Shy-Rose can be better than the other candidates huko CCM

Naamini uwepo wa Willium na Shy-Rose Bhanji hapa JF utakuwa wa manufaa katika kazi ya uwakilishi.Kuna thread inasema mgombea Willy Malecela anahitaji kufundwa.Kama kuna mapungufu sisi tuna fursa pana zaidi ya kumfunda mwakilishi wa Tanzania huko EAC

Hata mimi kuwapo kwangu JF,Ninaendelea kujifunza na kuimarika kisiasa.Akina mzee Mwanakijiji,Kichuguu,mkandara,Augustine moshi,Rev.Kishoka,Waberoya na wengineo wengi wanafanya kazi nzito kwa ushauri kwenye mijadala ya wazi hapa jamvini and in private kuhakikisha nakomaa zaidi kisiasa.Nawashukuru kwa hili na rehema zake Mwenyezi Mungu ziwashukie hawa na Wana JF kwa ujumla wenu

Mkuu,Tafadhali usihamie CCM jiunge na harakati za ukombozi najua hata Willium Malecela baada ya kumaliza muda waake wa uwakilishi (naamini atakuwa mwakilishi wetu huko EAC) atajiunga upande wetu .Naamini atakuwa miongoni mwa wagombea wa chadema kwenye kura za maoni kule Mtera mwaka 2015
 
Nuclear,kwenye reality kuna mambo mengi sana ebu tuangalie definition ya REALITY
1: You use reality to refer to real things or the real nature of things rather than imagined, invented, or theoretical ideas.
2: The reality of a situation is the truth about it, especially when it is unpleasant or difficult to deal with.
3: You say that something has become a reality when it actually exists or is actually happening.
4: You can use in reality to introduce a statement about the real nature of something, when it contrasts with something incorrect that has just been described.

Huyu Willy hata mimi nimemsupport asilimia mia 100% based ya vigezo vifuatavyo
1: NI JF Member kama nilivyokufahamu wewe Nuclear,hivyo as the days goes on Reality ni kuwa we are family no matter tunatofautina itikadi na mitazamo lakini tunaunganishwa na JF kama watu tunaolitakia TAIFA jambo jema na kwangu binafsi mtu yoyote anaetakia Tanzania jambo jema he is part of of us, kuwa CUF, CDM au CCM hizo ni Itikadi tu cha msingi tunaelewana kuwa wote safari yetu tuchukulie tunaanzia Kinondoni tunaenda downtown Azikiwe Posta, mwingine uenda akatumia barabara ya kawawa akaibukia Morogoro Road kisha akaingia Azikiwe Posta na mwingine akatokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi akaja Surrender akamalizia kwa kuungana na Bibi tiiti yuko Azikiwe Posta.Njia hizo ndio sawa na vyama au aina yoyote ya kusimamia Taifa letu.

2: Kupita kwake tayari JF itakuwa na Insider na kwa kuwa kabla yote yani mpaka sasa hivi taarifa za EAC ndani ya JF ni ndogo sana kulinganisha na jinsi ambavyo tulipaswa kujipanua na kujua taarifa nyingi ambazo ni faida kwa Taifa letu,na wewe Nuclear unajua jinsi tulivyo wadadavuzi na kuwa ujio wa taarifa za EAC tayari mimi na wewe na mwingine tutayajadili tukiwa na taarifa halisi na za ndani.

3: CCM inamatatizo lukuki,hivyo kesi ya Willy ni kuwa sisi wana JF tumpe support ya mass ambayo inainfluence kwenye kada ya wanasiasa.Correct me if am wrong kwa hili hivi kuna mwanasiasa au kiongozi ndani ya Tanzania anaweza kusimama kubishana na JF kwa lolote lile?Hakika kama JF Candidate wa siasa ndani ya Nchi ni mwanasiasa asie na mipaka yumo ndani ya ofisi za Serikali,yumo CUF,CCM,CDM na kokote pasikofikia kwa ulahisi wa kimwili yani unakutana na kibao kinakwambia kama si muhusika wa eneo hili hulusiwi kuingia lakini JF humo ndio kaweka makazi na anakula kiyoyozi safi na kikombe cha kahawa na anaitwa bosi,je hilo unapingana na hilo?

Hivyo na matatizo ya CCM,wapo wanaccm haijalishi anatoka ukoo wa nani kuwa wao heri ya nusu shari kuliko shari kamili.Tufike sehemu tusihukumu wote kuwa CCM wachafu ni kutowatendea haki wengine.Mfano Charles Makongoro Nyerere Kama angekuwa Member wa JF hakika Willy angeona moto wake hapa hakika Makongoro anagekuwa candidate wangu,sisi wana JF inakuwa ngumu kumjenga Makongoro kwa kuwa kajitenga atujui lolote kumhusu.Naamini Slaa ni mtu mzima kumzidi Makongoro lakini ni Member wa JFau nae bado anawoga kuwa watamsema mtoto wa Mwalimu kajiunga na JF.Hivyo kama mwanaJF naangalia candidate wetu huyo Willy based on fact tulizo nazo mkononi.Tunamjua Willy toka alivyokuwa huko USA, mimi nilimbana sana baada ya mambo ya majina ya watoto wawakubwa kuingia kwenye mazungumzo ya midomo ya Watanzani.

4: Kuhusu upeo na mengineyo tutampima kwenye utendaji huo,its better to have something than nothing,hivyo ni vyema JF ikawa na member EAC kwa tiketi ya CCM,akituletea zile za kiccm analijua JF naona unaweza kuona hali ya Mtu aliyependwa na kutetewa na JF DK Harrison Mwakyembe leo hii wanajf wanaonyesha misimamo yao ya wazi thread yoyote ya Mzee yule pindi inapofika humu hakika nyingi zinaonyesha dhahili kuwa ziko Negative dhidi yake na sio utetezi tena juu yake.

Kwa hayo Nuclear ebu tumjalibu kwa kuwa ndicho tulichonacho mkononi.

DSN,

Bravo,tuna fursa ya kumsaidia Willy kama kuna mapungufu yoyote ili mradi maslahi ya Taifa letu huko EAC yanakuwa intact.kanuni za uchaguzi huu ndizo zinazotufanya tutafute kuunga mkono wagombea huko CCM ili tupate wawakilishi wazuri watakaoshirikiana na atakayepitishwa na upinzani (ofcourse kama mgombea wa chadema atapitishwa na naamini atakuwa bora). kingine tunaamini kwa vigezo vya uzalendo na competency Willium na wagombea wengine mtawashawishi wabunge wenu kupitisha jina la mgombea wa Chadema ili mpate mwakilishi bora matakayeshirikiana naye.Imekuwa tabia ya CCM ku-compromise maslahi ya nchi kwa kuchagua mgombea wa CUF,TLP au chama kingine ili mradi waikomoe chadema kama walivyofanya mwaka 2006 kumchagua Fortunatus Masha wa TLP badala ya Prof.Baregu wa Chadema.Pia kanuni za uchaguzi wa EAC zinastahili kubadilika

Let us now be matured.Tuweke sasa maslahi ya taifa juu ya vyama vyetu
 
To be honest, I disguise nepotism. Hukufanya Kazi Na sisi ulikimbilia kwenye green pasture, ukatuacha tunateseka Na vijimshahara, mazingira magumu, hata hujui jua letu, tabu zetu, machungu yetu, Leo unatuwakilisha, hivi utaongea nini huko? Hata tukikuambia bila experience utaguswa kweli. Anyway mi wangu Fancy amepita? Kadada jiniasi sana, namkubali mbaya....
Ebu Remmy nisaidie kujua hivi tukilia Nepotism haya sasa kwenye REALITY tuliyonayo sasa tupe mwafaka kama mwanajf kuhusu MBUNGE WA EAC kwa tiketi ya CCM, na sisi kama wanaJF a highest place to push change for the better and good for all tufanye nini kama part to solve the problem and not part create a problem?

Kwa kuwa sisi JF ni jawabu na sio tatizo,ebu nisaidie JWABU LA KITI HICHO CHA UBUNGE WA EAC?
 
DSN,

Bravo,tuna fursa ya kumsaidia Willy kama kuna mapungufu yoyote ili mradi maslahi ya Taifa letu huko EAC yanakuwa intact.kanuni za uchaguzi huu ndizo zinazotufanya tutafute kuunga mkono wagombea huko CCM ili tupate wawakilishi wazuri watakaoshirikiana na atakayepitishwa na upinzani (ofcourse kama mgombea wa chadema atapitishwa na naamini atakuwa bora). kingine tunaamini kwa vigezo vya uzalendo na competency Willium na wagombea wengine mtawashawishi wabunge wenu kupitisha jina la mgombea wa Chadema ili mpate mwakilishi bora matakayeshirikiana naye.Imekuwa tabia ya CCM ku-compromise maslahi ya nchi kwa kuchagua mgombea wa CUF,TLP au chama kingine ili mradi waikomoe chadema kama walivyofanya mwaka 2006 kumchagua Fortunatus Masha wa TLP badala ya Prof.Baregu wa Chadema.Pia kanuni za uchaguzi wa EAC zinastahili kubadilika

Let us now be matured.Tuweke sasa maslahi ya taifa juu ya vyama vyetu

Sometimes we need to learn the hard way,kweli usemavyo Ben tunachotaka mwakilishi mwenye uwezo wa kutuwakilisha ambae hakika na sisi tunajua tunaweza kumwambia kwa niaba ya watanzania kuwa katuwakilishe kwa hili,akishirikiana na huyo mmoja wa CDM ambae kwa upande wa pili yeye nae anakuja kubeba dhamana ya kuwa watchdog wetu kwa kuwa kuwa kama CCM watataka kupitisha mambo yao kwa faida ya chama chao kwenye bunge la Africa basi atashirikina nae kwa kumkubusha wajibu wa Taifa ambao kwa upande wa CCM sisi wanaJF tutakuwa na uhakika na Willy kuliko mwingine yoyote ndani ya CCM.

Hakika Ben mwanzo mgumu na si kila kitu kitakuja ghafla,ndio hivyo hatua moja ni mwanzo wa hatua ya pili,wakati mwingine kulala nyumba moja na tembo unaitaji utafakari sana,labda lililopo ni kumuwekea sisimizi kwenye mkonga wake na kisha polepole atakeleka na kutoka.
 
Back
Top Bottom