balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,213
- 13,555
Mpaka msemeeeeeSimba isingefuzu jamii forums ingeshut down kwa saver kushindwa kuhimili threads kama hizi leo.
Kazeni kwenye makundi maana utopolo mmejiamini sana,tutarudi hapa
Mpaka msemeeeeeSimba isingefuzu jamii forums ingeshut down kwa saver kushindwa kuhimili threads kama hizi leo.
Kazeni kwenye makundi maana utopolo mmejiamini sana,tutarudi hapa
Chukua hiyoooHivi wewe unajua mpira kweli?
Timu inayofanya pressing kuanzia juu kabisa tena kwa kasi utamlaumu kiungo wa opponent?
Haswa timu ambayo haina cha kupoteza??
Msimu ulioisha Simba walivyocheza na yanga nini kilitokea pale simba walivyoamua kukabia juu tena kwa kasi je unataka kutuaminisha kuwa Bangala na aucho na Mda ni si lolote si chochote mbele ya kibu alieukokota mpira mita kama saba bila kiungo yoyote wa yanga kumzuia asilete hatari?
Nimejaribu kukuelezea kwa mifano hai kabisa kuwa Ngoma ni mido moja nzuri sana japo kuna muda mpira unakataa ova.
POLE SANA MKUU.Mleta uzi unateseka ukiwa wapi? Maelezo mengiiii upupu mtupu, kutujazia server tu. Godamit!
KAANGUKIA KIUNOChukua hiyoooView attachment 2806440
HUYO NI TAHRA
Utopolo a.k.a wanalialia FC