NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,403
- 13,017
Kweli Bora upewe akili kuliko Mali, msemaji wa Misondo Fc ( Ahmedy Ally) amejisahaulisha kabisa Kama kuna mashabiki walitimuliwa na polisi na waengine walichezea makofi hadharani baada ya kuanza kuzomea kila gari inayotoka GETINI wakiamini ni kiongozi wa Simba sc.
Leo bila aibu msemaji wa Misondo Fc (Ahmedy Ally) anarudi Tena mtaani kuwabembeleza mashabiki aliowaacha kwenye mataa /kuwasaliti baada ya Misondo Fc kutoka kudondosha point mbili mbele ya Asec Mimosa.
NALIA NGWENA kwa moyo mkunjufu kabisa nalitumia jukwaa hili kuwakumbusha viongozi wa Misondo Fc kuwa mwambieni Ahmedy Ally awaombe radhi mashabiki aliowatelekeza kwani tofauti na hapo mashabiki bado tuna hasira sana Tena mno na asifikiri kuchukua hao Misondo wenzie tutasau machungu yaliyopita.
Nawasilisha taarifa.