NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,403
- 13,017
Mawinga wa Al Ahly wa kushoto na kulia watawauliza maswali magumu sana Shomari kapombe na Zimbwe Jr.
Fabrice Ngoma na Muzamiru (kiungo Punda) watakua na kazi kubwa na ndiyo uchochoro utakao tumika katika kupenyeza mipira kwenda golini.
Beki mpenda sifa mkata mauno (Inonga) kesho atasusa na sifa zitamponza na kusababisha Ukuta wa Yericko kubomolewa mapema tu.
Simba SC ina kikosi dhaifu (Cha unga unga mwana) kikosi hiki kitakua fundisho, kipindi kingine viongozi wa Simba/kamati ya usajili isilete maigizo ya kukaa airport na kusubiri wachezaji wenye injury na kuwaiba Kama alivyosema msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally kuwa "tumemuiba namba sita wao"
Simba SC ichukulie mchezo wa kesho ni mchezo wa kujifunza tu na siyo kutanua kifua kuwa wanashindana na Al ahly wakati Wana kikosi cha unga unga mwana.
Tukutane kwa Mkapa.