Ahmedy Ally anapaswa kukanusha na kuomba radhi mashabiki kwa kauli yake "Fabrice Ngoma tumemuiba airport"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,382
12,946
Kama Ahmedy Ally asipowaomba radhi mashabiki atakua amewakosea pakubwa sana Tena sana.

Fabrice Ngoma siyo mchezaji wa kujisifia kuwa kaibiwa airport, mchezaji ambaye kiuchezaji hamfikii hata Robo kiungo maestro Mudathri Yahya unyumbulifu, ukabaji na upigaji wa pasi sahihi katika kutengeneza mashambulizi.

Football ni mchezo wa wazi Utadanganya Kama hujacheza uwanjani lakini utakapocheza tu, mashabiki lazima wajue kuwa huyu ni mchezaji Bora au Bora mchezaji.

Kwa hizi mechi zinatosha kabisa kuthibitisha kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji wa kawaida tu na Ahmedy Ally anapaswa kuomba Radhi mashabiki wa mpira kwa kuidharirisha Simba sc kuwa inaiba wachezaji wabovu airport.

Hili halikubaliki Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) ajitokeze kufuta /kutengua kauli yake kwa kuomba masamaha.
 
Crap 💩
 
Wakati fulani huwa namsikiliza kijana huyu(Ahmed Ally) nabaki kushika tama. Huwa najiuliza anapokuwa anatoa official statements za club huwa anakuwa na kofia gani kati ya hizi mbili
1. Afisa habari wa club au
2. Comedian?
 
Mleta uzi unateseka ukiwa wapi? Maelezo mengiiii upupu mtupu, kutujazia server tu. Godamit!
Hivi wewe unajua mpira kweli?
Timu inayofanya pressing kuanzia juu kabisa tena kwa kasi utamlaumu kiungo wa opponent?
Haswa timu ambayo haina cha kupoteza??
Msimu ulioisha Simba walivyocheza na yanga nini kilitokea pale simba walivyoamua kukabia juu tena kwa kasi je unataka kutuaminisha kuwa Bangala na aucho na Mda ni si lolote si chochote mbele ya kibu alieukokota mpira mita kama saba bila kiungo yoyote wa yanga kumzuia asilete hatari?
Nimejaribu kukuelezea kwa mifano hai kabisa kuwa Ngoma ni mido moja nzuri sana japo kuna muda mpira unakataa ova.
 
Kama Ahmedy Ally asipowaomba radhi mashabiki atakua amewakosea pakubwa sana Tena sana.

Fabrice Ngoma siyo mchezaji wa kujisifia kuwa kaibiwa airport, mchezaji ambaye kiuchezaji hamfikii hata Robo kiungo maestro Mudathri Yahya unyumbulifu, ukabaji na upigaji wa pasi sahihi katika kutengeneza mashambulizi.

Football ni mchezo wa wazi Utadanganya Kama hujacheza uwanjani lakini utakapocheza tu, mashabiki lazima wajue kuwa huyu ni mchezaji Bora au Bora mchezaji.

Kwa hizi mechi zinatosha kabisa kuthibitisha kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji wa kawaida tu na Ahmedy Ally anapaswa kuomba Radhi mashabiki wa mpira kwa kuidharirisha Simba sc kuwa inaiba wachezaji wabovu airport.

Hili halikubaliki Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) ajitokeze kufuta /kutengua kauli yake kwa kuomba masamaha.
Kwa hiyo angecheza vizuri ungeami kuwa aliibwa!? Yaani hii mitandao na tekonolojia inawafunua Wapumbavu wengi sana!
 
Simba isingefuzu jamii forums ingeshut down kwa saver kushindwa kuhimili threads kama hizi leo.

Kazeni kwenye makundi maana utopolo mmejiamini sana,tutarudi hapa
Ahaaaaaa,ndo yushaingia makundi sasa relax
 
Kama Ahmedy Ally asipowaomba radhi mashabiki atakua amewakosea pakubwa sana Tena sana.

Fabrice Ngoma siyo mchezaji wa kujisifia kuwa kaibiwa airport, mchezaji ambaye kiuchezaji hamfikii hata Robo kiungo maestro Mudathri Yahya unyumbulifu, ukabaji na upigaji wa pasi sahihi katika kutengeneza mashambulizi.

Football ni mchezo wa wazi Utadanganya Kama hujacheza uwanjani lakini utakapocheza tu, mashabiki lazima wajue kuwa huyu ni mchezaji Bora au Bora mchezaji.

Kwa hizi mechi zinatosha kabisa kuthibitisha kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji wa kawaida tu na Ahmedy Ally anapaswa kuomba Radhi mashabiki wa mpira kwa kuidharirisha Simba sc kuwa inaiba wachezaji wabovu airport.

Hili halikubaliki Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) ajitokeze kufuta /kutengua kauli yake kwa kuomba masamaha.
huyo ahmed ali na yule kocha robertinyo wananuksi na simba sana wangeondolewa tu.
 
Back
Top Bottom