Ahmed Rajab: Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

Hii Sio Biashara ya Unga... Unaanzisha Mengine... Nadhani HAUNA POINT HAPA NI KUZINGUSHA VICHWA TU...

ujumbe umekufika, kumbe na ndio mkawa mnapaparika Zanzibar isitoke kwenye Muungano kwani Tanganyika ni rumba tupu huko.

Maaskofu wengine wanakimbilia ngozi za albino wapate kusurvive hatari tupu !! hayo ndiyo maendeleo aliyoleta Nyerere na kanisa lake
 
Wewe Umefilisika kifikra? Watu wanaokimbilia Ngozi za Albino ni Wanaoamini Nguvu Za Jadi; Sio Uislamu wala Ukristo

Na haukujua kuwa waliokuwa wanakwenda kwa hao waganga hawakuwa wakristo tu? Na Waislamu pia?\

Na kama hauna uhakika uache kuwashutumu watu bila uhakika nadhani Maaskofu hawana Makosa na wewe kama

Unachuki na Ukristo, hama BARA rudi Zanzibari... Sababu nakuona bado Uko Bara kwanini?
 
umepiga baridi ngapi wewe ??? soma hii kitu

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Bw.Zelothe Stephen aliwataja watuhumiwa wawili kuwa ni Mchungaji wa kanisa la Pentekoste Idiwili,Cosmas Mwasenga (39) na Luseshelo Mwashilindi (38) ambao walikutwa na viungo vinavyodhaniwa vya maeneo ya mikono wakipita kutafuta wateja huku wakiviita kwa jina la ¡viungo vya Kunguru mweupe¢.

Kamanda Stephen alisema kuwapolisi walipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu kuwepo watu waliokuwa wanatafuta wateja wa viungo hivyo vya albino katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya Makunguru na Mwanjelwa wakitamka jina la kunguru mweupe.

Alisema kuwa polisi baada ya kupata taarifa hiyo waliweka mtego kwa kujifanya wanunuzi ambapo baada ya kupata bei hiyo walikwenda kuchukua viungo hivyo kwa mtuhumiwa Mwashilindi na kuvikuta huku vikiwa vimefungwa kwa mafungu mawili yaliyokuwa na vipande vinne vya viungo hivyo vikiwa vimewekwa katika karatasi.

Aidha Kamanda Stephen alisema kuwa baada ya kuwakamata watuhumiwa wote wawili walikwenda kufanya upekuzi katika nyumba ya Mchungaji Mwasenga na kufanikiwa kukuta chupa ya dawa ya sindano ya kutibu binadamu aina ya Penicilline na maji yake sanjari na koti jeusi.

Kamanda Stephen alisema watuhumiwa wamekamatwa na watafikishwa mahakamani muda wowote baada ya uchunguzi kukamilika na kwamba viungo hivyo vinatarajiwa kufikishwa kwa mkemia mkuu kwa uchunguzi zaidi.

Katika tukio jingine Kamanda Stephen alisema Bw.Saimon Masawe (42),mkazi wa Ivumwe (Baba mzazi wa kijana mwenye ulemavu wa ngozi) pamoja na balozi wa mtaa wa Ivumwe wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhusika kumnyoa nywele kijana huyo sanajri na kutowajibika kumlinda mlemavu huyo wa ngozi.

Kamanda Stephen alisema kuwa mnamo februari,5 mwaka huu majira ya saa 12.45 asubuhi kijana huyo aliamka na kwenda shuleni lakini baada ya kufika umbali wa mita 400 na kubakisha mita takribani 600 alivamiwa na kukamatwa na watu watatu wakiwemo wanaume wawili na mwanamke mmoja na kumficha karibu na tanuri la matofari.

Alibainisha kuwa kijana huyo alidai kuwa alikalishwa katika kaaratasi la nailoni na kuanza kunyolewa nywele zake za katikati na kubakishwa nywele za pembeni mithili ya mtu mwenye upara ambapo wakati zoezi hilo linaendelea alipita mtu akiwa katika baiskeli akiendelea na safari zake bila kujuwa kilichokuwa kinatendeka na ndipo watu hao waliingiwa na hofu na kukimbia.

Kamanda huyo alifafanua kuwa kabla ya kukimbia watu hao walimchanja kwa wembe chale mbili ndogo katika mkono wake wa kushoto na kumtelekeza kijana huyo ambaye baadaye aliondoka kuelekea shuleni akiwa ameficha kichwa chake kwa kofia bila kumweleza mtu yeyote hadi aliporejea nyumbani na kumweleza mama yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Upendo masawe (40).

Alisema kuwa baada ya kupokea taarifa hiyo Mama huyo aliwaita majirani pamoja na balozi kuwasimulia mkasa huo na ndipo walipochukua hatua ya kutoa taarifa polisi ambapo baada ya kumhoji baba yake mzazi alidai aliondoka mapema alfajiri kuelekea shambani na kurudi usiku na kukuta taarifa hiyo.

Kamanda Stephen alisema kuwa baada ya mahojiano hayo polisi wanamshikilia baba wa kijana huyo kwa uzembe wa kutomfuatilia kijana wao huku wakijuwa kuwa maisha yao yapo hatarini ambapo balozi ametiwa mbaroni kwa kutowajibika ipasavyo kuhakikisha mlemavu huyo analindwa muda wote kuanzia nyumbani hadi shuleni mpaka anarudi nyubani.

Hata hivyo kamanda Stephen alifafanua kuwa kama ilivyoamua serikali kupania kuwalinda kwa nguvu zote watu wenye ulemavu wa ngozi na ndivyo viongozi wengine na wananchi kwa ujumla wakiwemo wazazi wanavyotakiwa kuwajibika.
 
Ahlan Baru baru. Ukweli unabaki kuwa hakuna anayeweza kusimama na kueleza kwa kina malengo halisi ya UAMSHO. Hiyo ni siri yao na kwa mbahati mbaya au nzuri inajidhihiri bila kutaraji.

Kwa kufuatilia mijadala na hoja zao tu juu juu, lengo la UAMSHO ni kutaka Zanzibar ijitenge na bara kwa vile kuvia kwa maendeleo ya visiwani ni matokeo ya unyonyaji wa Tanganyika. Ingawa hawajaweza kutetea unyonyaji huo kwa mantiki na akili hilo ni moja ya mambo wanayoyapigia kelele.

Lengo la pili ni kurudisha utamaduni wa Zanzibar wa kiisalam ulioharibiwa na muungano. Zanzibar ikijitenga basi ujambazi, umalaya, ushoga na ubazazi wote unaopelekwa na wabara na si raia mwingine utafutika.
Hapo dola ya kiislam itatawala hasa kwa kuzingatia kuwa upo uhusiano wa kindugu na kidamu kati ya Zanzibar na Uarabuni.

Ili kufanikiwa katika malengo hayo, UAMSHO wanaamini kuwa kuondoa Watanganyika kwa jina la machogo ni sehemu muhimu. Ili kuungwa mkono ni lazima wawashambulie wakristo kwanza. Sababu za kumshambulia wakristo hazipo isipokuwa kwa kumuunganisha Nyerere na imani yake. Nyerere ni conduit tu lakini lengo ni Mtanganyika.

Ninachoweza kusema hapa nikuwa lengo la UAMSHO ni kubwa sana kuliko unavyosikia au unavyoelewa.
Hata Wazanzibar hawajui isipokuwa kikundi kinachopata ufadhili kutoka Oman.

Kuna jambo linanisikitisha sana na sijui kwanini Wazanzibar hawalielewi au wana unafiki kiasi hicho.
Ungeelewa madhara yaliyotokana na kuvunjika kwa EAC sijui kama kuna mtu angesimama kusema Nyerere alivunja EAC
Huu ni ujinga wala si uongo. Inaweza kuwa sipo sahihi na hapa ndipo nakuuliza Baru baru swali lifuatalo

Nyerere alisimamiaje kuua EAC kama ulivyosema. Hebu tuhabarishe

Ahlan wa sahalan Nguruvi3.

Nilipo RED. Hakika kama umenisoma vilivyo kwenye bandiko langu nimebainisha wazi kuwa Nyerere alishiriki kikamilifu kuuwa taasisi ya kiislam ya Afr mashariki na wakati huo huo alishiriki kama kiongozi mkuu kuundwa kwa EAC(bahati mbaya hirufi D ilisahaulika).

samahani kwa usumbufu wowote.

Lakin kwa kukusaidia zaidi chokochoko hizi zote za UAMSHO ambayo ni mjumuiko wa Taasisi zote za kiislam Zanzibar na sakata zima hili ni usemi wao wa KUTAKA KURA YA MAONI KWA WAZANZIBAR KUCHAGUA KAMA WANATAKA MUUNGANO AU HAWATAKI KABLA YA KUANZA KWA MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA YA MUUNGANO.

Nia na madhumuni yao ni kutaka waZnz wawe huru kabisa na kuondoa kinyongo cha muungano. Kwani KURA HIZO ndio zitakazo pelekea kuwa muungano uwepo au usiwepo. kama wengi wataamua uwepo basi mchakato wa kuandika katiba mpya uanze na kama wengi watakataa basi mchakato huo ufanywe na upande wa Bara pekee.

Cha kustahajabisha hilo limepelekea waBARA wengi sana kuingia kiwewe na kuweka propaganda kuwa nia yao ni KUVUNJA MUUNGANO. jambo ambalo limegeuza hata nia na dhumuni lao na kubatizwa kuwa wanapinga na hawataki muungano.

Sasa propaganda hizo toka katika vyombo vya habari vya huko Tz na Seyikali ya muungano vile vile wakafanya hila nyingi sana ikiwemo pamoja na kuchoma makanisa moto ili kuleta hisia tofauti na kuona kama UAMSHO ni jumuiya inayyochukia wakristo na hawataki makanisa.

Kumbuka Ghilba kama hizo kwa Znz ni kitu cha kawaida sana. Nakumbuka wakti ule wa Uhasama wa kisiasa baina ya CUF na CCM znz. Kulikuwa kuna makundi ya watu walikuwa wakipita usiku na kuweka kinyesi kwenye visima vya maji na kusingizia wafuasi wa CUF walikuwa wakifanya hivyo huko Pemba.
Nakumbuka siku moja wananchi walijipanga vizuri na kuliona gari la Serikali usiku likiwa limebeba vinyesi kibao na kwenda kuvitia kwenye visima vya maji. wananchi waliwakamata na kuwafikisha kituo cha polisi.

Nakumbuka wakti huo aliyekuwa IGP, Mahita aliunda tume iliyokuwa ikiongozwa na msaidizi wa DCI DP Manumba ambaye sasa ni DCI na DCI Znz wakti huo ramadhani Kinyogo mpaka leo hawajatoa taarifa hizo.

Sasa hayo yote Znz yamezoeleka lakin ukweli unabaki kuwa ukweli kuwa NIA YAO NI WAZANZIBARI KWANZA wapige kura ya maoni ya kuchagua muungano au kuukataa kabla kuanza kwa zoezi zima la kuandika Katiba Mpya. Hilo ni lengo lao mpaka leo wanasimamia hapo.

Lengo lingine ni kulinda na kutetea mila, desturi na sirka za Uzanzibar kwa jamii. Hapa wanatetea yale yote mazuri na yaliyomo katika tamaduni yao na sirka zao yakuzwe na kuachana na umagharibi ambao unaharibu sana jamii hususan kuingiza jamii katika majanga makubwa ya ulevi wa pombe, unga, umalaya na watu kwenda uchi ambavyo ni kinyume na mila na sirka za wazanzibar toka dahal na dahal.

Kumbuka kuwa Znz ukipitia katika historia haijawahi kutokea kuwa kuna UDINI. kwani waislam ni zaidi ya 99.9%. Sasa inapozuka leo suala hilo la UDINI Znz ndipo tunashangaa linatoka wapi?
Na kwa mwenye akili timamu atajiuliza inawezekanaje 99% kupambana na 1%?

Kwa mwenye kufikiri atagundua wazi kuwa hizo ni ghilba na propaganda na ufitini kutoka Tanganyika kwa waznz na Znz kijumla.

Kumbukeni hata siku moja dua la kuku haliwezi kumpata mwewe.

Umeanza na kuniuliza swali ambalo sielewi unataka nikujibu malengo yapi?.. UAMSHO ni jumuiya ya Kiislaam. Hapa tayari unawajumuisha hata wananchi walioko bara, Kenya, Uganda na dunia nzima na malengo yake ni kuitangaza dini ya Mwenyezi Mungu haswa kwa wale wasioamini..

Sasa Jumuiya hii inapoacha kazi hii na kuzungumzia kuuvunja Muungano ambao unajumuisha waislaam wa bara na visiwani, unaondoa wajibu na malengo ya chombo hiki na kukifanya chama cha siasa cha Waislaam ambao hakuna kitu hicho isipokuwa kuna Islaam dini na ndio unatakiwa kuitetea. Badala ya kuiwezesha Jumuiya hii kuingia hadi nyumba ya Mkristu na Mpagani wakampa darsa kuhusu Uislaam na sio Waislaam ni watu gani ni dalili ya kupoteza malengo, kuwa na uongozi mbaya ambao unakiuka dini na hivyo kupoteza dira...

Ahali yangu Mkandara,

Nimependa sana uchambuzi wako ingawa umeandika vitu vingi sana na kuparaganyisha hata mada husika.

Ningependa kukusaidia yafuatayo.
1. Nafikiri mwanga nilioutoa kwenye bandiko langu la juu nilipo mjibu Ammi yangu Nguruvi3 litakuwa ni darsa tosha kwako na kukupa mwnga kidogo wa dhumuni na sakata zima la Uamsho.

2. Lakin vile vile kama uliisikiliza vizuri hotba ya Nyerere ile ya dhambi ya Ubaguzi. Utaona kuna sehemu alisema wazi kuwa yeye aliwashawishi Rais wa Uganda na Yule wa Kenya kuunda umoja wa Africa mashariki ni kwa sababu ya kupunguza Ukabila uliokuwa ukizikabiri nchi hizo. Na alifafanua ndani ya EAC kila watu walikuwa wakitetea maslahi ya nchi zao na sio makabila yao.

Lakin Nyerere huyo huyo hakubainisha Tanganyika wakti ule ilikuwa na matatizo au kovu gani waliloachiwa na ukoloni. Kwani tunajuwa fika mkoloni alitumia divide and Rule kuzitawala nchi hizi. Kenya na Uganda alitumia Ukabila na Tanganyika alitumia UDINI kwa maana ya uislam na ukristo. Na sababu kuu ni kuwa Tanganyika kulikuwa na makabila mengi sana zaidi ya 70 wakti kenya na Uganda kulikuwa na makabila yasiyyozidi 7 makubwa kwa kila nchi.

Kumbuka kuwa Nyerere alitumia busara kubwa sana ya kuuwa huu udini wa nchi yake Tanganyika ndipo alipoamua kuunganisha na Znz ambako kulikuwa na Uislam wengi na kuweza fanya mambo yake. Kwa mwenye akili timamu ingewezekana vipi kuungnisha nchi yenye watu milioni nane wakti huo na nchi yenye watu laki moja na nusu, tena kwa pasu kwa pasu (50% kwa 50%) kura sawa kwa sawa.

Nafikiri Busara hii ndio ilimpelekea kuhakikisha Muungano kwa aina yoyote hauwezi kuvunjika. Mtaziba vilaka lakin hauwezi kuvunjika kwa gharama yoyote. Lakin Nyerere huyo huyo alikubali kwa moyo mkunjufu kuvunjika kwa EAC.

Sasa nilichitaka bainisha hapa. Nje ya Muungano kila nchi itakuwa na uongozi na utawala wake wa wananchi wake. Kwa maana viongozi wote wa Znz watarudi nchini kwao. Kwa maana hiyo Lile jicho la Boss wangu Mtei aliloliangalia kwenye Tume ya kuchukua maoni ya Katiba ya Muungano la UDINI litaonekana kwa uwazi sana na hilo lazima litawaletea taabu sana kama sio vita (Mola aepushilie mbali).

Na hayo kwa upande wa Bara sasa yameanza kwa dalili zote kujionyesha. Suala la Sensa, Sakata na baraza la Mitihani na Kauli za wazee na mitazamo yao kama ya akina Mtei.

Tafuta historia yoyote ile uangalie kama Znz imewahi kutokea tatizo la ubaguzi wa Kidini miongoni mwa wananchi wa nchi hiyo?
Kisha tujuze.

Sio kweli kwamba Nyerere alisema Muungano ukivunjika basi Unguja na Pemba zitabaguana lakini Bara watabaki shwari, uongo mkubwa! Na ukweli anaujua.

Mwandishi unatia doa na aibu ukurasa wa makala za RAIA MWEMA. Kwa hiyo chochote anachoandika kuanzia hapo inabidi mtu uki dauti kwa sababu unajua una dili na mwandishi mwongo!

Mkuu naakubaliana na wewe kabisa, Mwalimu Nyerere wakati anaongea hilo nilikuwa nasoma Mkwawa, nilimsikiliza kwa makini sana kupitia Redio Tanzania na then hotuba hiyo ilirudiwa kupitia gazeti la Rai, sasa hivi ninazo hizo hotuba zake home (Nina hiyo DVD), ukweli alichokisema mwalimu sicho ambacho bwana Rajab anachokisema, nanukuu, "Wazanzibari wakitaka kujitenga na muungano, watanganyika watakuwa salama, lakini wazanzibari wanajiita hivyo tu kwasababu ya muungano, nje ya hapo kutakua na Wazanzibari na wazanzibara, dhambi ya ubaguzi haiwezi kuishia hapo, na kama kula nyama ya mtu, Watanganyika wakitaka kujitenga, kweli wanaweza kuwafukuza wapemba pale, wapemba wakiisha kuondoka watabaki wanajiuliza, mbona kuna wachaga pale na waha, hamtapata kitu kinachoitwa Tanganyika, hamuwezi kujitenga na historia......." ninachotaka kusema hapa (though from the bottom of my heart, huu muungano ningependa ufe hata leo, mi binafsi nimechoka kuwalipia hawa watu wasio na shukurani kodi) tusije msingizia Nyerere ati aliweka dhambi ya ubaguzi kwa wazenji tu, aliweka kote hata huku kwetu Bara

Najua Wazanzibari wengi na jumuia za kiislam za bara wanamchukia sana Nyerere hata kama hawana sababu za msingi, aliyetaifisha shule za dini yake ili wengine wasio wa dini hiyo wasome then unamchukia, ifike hatua tuwe tunamwogopa hata Mungu, dhambi hii ya kusingizia wengine tu kwasababu sio wa dini yako, nafikiri ni miongoni mwa Dahambi mbaya sana.
 
"Wazanzibari wakitaka kujitenga na muungano, watanganyika watakuwa salama, lakini wazanzibari
Unakosea tena. Nyerere hakusema Wazanzibari wakijitenga watabaguana lakini Watanganyika watakuwa salama. Hii ni historia potofu.

Umesema ulikuwa shule Mkwawa wakati wa hotuba hii, basi wewe ni msomi, lazima uweze kuchambua mambo madogo madogo kama haya. Kama alisema tukichoma nyumba za Wapemba huku Tanganyika kitakachofuata ni kuchoma za Wachaga na Waha iweje tena katika hotuba hiyo hio aseme Tanganyika tutabaki salama?
 
Ahali yangu Mkandara,

Nimependa sana uchambuzi wako ingawa umeandika vitu vingi sana na kuparaganyisha hata mada husika.

Ningependa kukusaidia yafuatayo.
1. Nafikiri mwanga nilioutoa kwenye bandiko langu la juu nilipo mjibu Ammi yangu Nguruvi3 litakuwa ni darsa tosha kwako na kukupa mwnga kidogo wa dhumuni na sakata zima la Uamsho.

2. Lakin vile vile kama uliisikiliza vizuri hotba ya Nyerere ile ya dhambi ya Ubaguzi. Utaona kuna sehemu alisema wazi kuwa yeye aliwashawishi Rais wa Uganda na Yule wa Kenya kuunda umoja wa Africa mashariki ni kwa sababu ya kupunguza Ukabila uliokuwa ukizikabiri nchi hizo. Na alifafanua ndani ya EAC kila watu walikuwa wakitetea maslahi ya nchi zao na sio makabila yao.

Lakin Nyerere huyo huyo hakubainisha Tanganyika wakti ule ilikuwa na matatizo au kovu gani waliloachiwa na ukoloni. Kwani tunajuwa fika mkoloni alitumia divide and Rule kuzitawala nchi hizi. Kenya na Uganda alitumia Ukabila na Tanganyika alitumia UDINI kwa maana ya uislam na ukristo. Na sababu kuu ni kuwa Tanganyika kulikuwa na makabila mengi sana zaidi ya 70 wakti kenya na Uganda kulikuwa na makabila yasiyyozidi 7 makubwa kwa kila nchi.

Kumbuka kuwa Nyerere alitumia busara kubwa sana ya kuuwa huu udini wa nchi yake Tanganyika ndipo alipoamua kuunganisha na Znz ambako kulikuwa na Uislam wengi na kuweza fanya mambo yake. Kwa mwenye akili timamu ingewezekana vipi kuungnisha nchi yenye watu milioni nane wakti huo na nchi yenye watu laki moja na nusu, tena kwa pasu kwa pasu (50% kwa 50%) kura sawa kwa sawa.

Nafikiri Busara hii ndio ilimpelekea kuhakikisha Muungano kwa aina yoyote hauwezi kuvunjika. Mtaziba vilaka lakin hauwezi kuvunjika kwa gharama yoyote. Lakin Nyerere huyo huyo alikubali kwa moyo mkunjufu kuvunjika kwa EAC.

Sasa nilichitaka bainisha hapa. Nje ya Muungano kila nchi itakuwa na uongozi na utawala wake wa wananchi wake. Kwa maana viongozi wote wa Znz watarudi nchini kwao. Kwa maana hiyo Lile jicho la Boss wangu Mtei aliloliangalia kwenye Tume ya kuchukua maoni ya Katiba ya Muungano la UDINI litaonekana kwa uwazi sana na hilo lazima litawaletea taabu sana kama sio vita (Mola aepushilie mbali).

Na hayo kwa upande wa Bara sasa yameanza kwa dalili zote kujionyesha. Suala la Sensa, Sakata na baraza la Mitihani na Kauli za wazee na mitazamo yao kama ya akina Mtei.

Tafuta historia yoyote ile uangalie kama Znz imewahi kutokea tatizo la ubaguzi wa Kidini miongoni mwa wananchi wa nchi hiyo?
Kisha tujuze.

Barubaru,

..kama hoja yako ina ukweli, basi inamaanisha muungano ndiyo unaosababisha matatizo na manung'uniko ya Waislamu wa Tanganyika yasishughulikiwe.

..Waislamu wa Zanzibar wamejazwa kwenye Tume ya Katiba na hivyo kuwanyima nafasi na "tonge" Waislamu wa Tanganyika.

..kuna nafasi nyingi serikalini zingeweza kupewa Watanganyika na particularly Waislamu lakini sasa hivi zinapewa wa-Zanzibari.
 
Jokakuu.

Ninachosema ni ukweli usiopingika na nimekiona kwa macho yangu na kukifanyia kazi kubwa. Wewe jaribu tu kuangalia
1.kwanza kabisa Bunge la Katiba ya muungano ambalo wakti huo walikuwa ni kamati kuu ya chama tawaala Znz na Tanganyika. Wajumbe 20 kila upande. Tafuta majina yao upande wa Tanganyika. Jiulize ilihitajika shule kiasi gani hapo kupitisha katiba hiyo?

2.Hata Katiba yenu ya 77 wajumbe wake. Angalia wajumbe kuto ka Tanganyika? jiulize ilihitajika shule kiasi gani hapo kupitisha katiba hiyo?

Mimi nilifanya kazi wizara ya fedha mara baada kumaliza UDSM. Nakumbuka wakti wetu katika wakuu wa idara wakti ule 14 za wizara hiyo waislam tulikuwa 6 tu na 4 kati yao tulikuwa tunatoka Znz.Na sisi tuliletwa ingawa tulikuwa wote ni graduates 2 wetu wakiwa ma shahada za uzamili lakin lengo kuu ilikuwa nikuzidi kuimarisha muungano kwa Tanganyika

Suala la UDINI kwa bara ni suala la urithi toka kwa wakoloni ambao walitumia njia hii kuweza kuwatawala kama walivyotumia ukabila huko kenya na Uganda.

Suala hili lilizimwa na Muungano wenu na Znz. Lakin sasa naona kuna kila dalili za kuibuka tena haswa baada wa watunza siri akina Mtei kuanza kuliibua na kuliweka hadharani.

Mimi nimestahajabu kusikia BAKWATA ambacho ni chombo maalum cha Serikali kilichoundwa kuwadhibiti waislam kimeungana na Jumuiya nyingine za Kiraia kudai haki zao kielimu na hata katika mustakabali wa zoezi la Sensa.

Tukumbuke kuwa historia siku zote haifichiki na inajirudia kila mara. Na hakuna dhulma yenye kudumu.
 
wazanzibar ndio wanaosababisha Tanganyika isiendelee kwa sababu wamejazwa kwenye wizara huku wakiwa hawana vigezo , wameletwa tu kwa mgongo wa muungano
 
Na hiyo ganzi ya fikra aliyoiacha Nyerere bado inaendelea, mfano ni swala la Sensa lililo mbele yetu ambapo Waislamu wametaka kipengele cha Dini kiorodheshwe ilhali VIONGOZI wa Dini ya Kikristo wamekataa na kudai kuwa Nyerere alioteshwa na Mungu kuwa Kipengele cha Udini kisiwepo kwa kuwa kitaleta machafuko, au hamkuyasikia hayo? Ni Mungu yupi anayeweza kumtokea Nyerere na kumpa ujumbe usio na mashiko kama huo?
 
kaka rajabu nakupongeza sana kwa kuweka wazi dhulma ambayo aliianzisha Nyerere na bado inaendelea dhidi ya waislam
 
kaka rajabu nakupongeza sana kwa kuweka wazi dhulma ambayo aliianzisha Nyerere na bado inaendelea dhidi ya waislam
Ni dhulma ipi aliifanya Mwalimu kwa Waislam? Labda hii hapa:
-Kwamba alipostaafu Urais wa JMT na Uenyekiti wa CCM alimwachia Mwislamu safi kabisa, AH Mwinyi kuongoza Nchi?
-Kwamba watu wake wa karibu kabisa enzi za utawala wake walikuwa Waislamu akina Rashid, SAS,...?
-Kwamba alimwomba Ghadafi fedha za kujengea msikiti Butiama?
-Kwamba alitaifisha shule za WAKRISTO ili Waislam nao wapate nafasi ya kusoma?
-Kwamba alikubali Muungano na Zanzibar ya Waislamu wengi?
Ahmed Rajab na WaZanzibar wengine mliopata bahati ya kusoma na kutoka nje ya nchi kuweni wakweli tu katika nafsi zenu. Muungano ni tunda halisi la MAPINDUZI matukufu ya tarehe 12/01/1964. Kabla ya Mapinduzi hatukuwa na Muungano huu wala wazo la kuunganisha nchi hizi halikuwepo. Semeni wazi kabisa kwamba Mapinduzi yale yalikuwa batili na ni kosa la kihistoria ambalo sasa linahitaji kuundiwa tume ya maridhiano. Sio rahisi ukayakubali mapinduzi halafu ukauchukia Muungano. Msiwadanganye WaZanzibar walioshia madrasa pekee waandamane, wapigwe huku ninyi mkimsubiri Sultani kwa hamu. Hotuba ya Mwalimu pale Kilimanjaro Hotel inajitosheleza sana, ni WOSIA tosha.
 
Jokakuu.

Ninachosema ni ukweli usiopingika na nimekiona kwa macho yangu na kukifanyia kazi kubwa. Wewe jaribu tu kuangalia
1.kwanza kabisa Bunge la Katiba ya muungano ambalo wakti huo walikuwa ni kamati kuu ya chama tawaala Znz na Tanganyika. Wajumbe 20 kila upande. Tafuta majina yao upande wa Tanganyika. Jiulize ilihitajika shule kiasi gani hapo kupitisha katiba hiyo?

2.Hata Katiba yenu ya 77 wajumbe wake. Angalia wajumbe kuto ka Tanganyika? jiulize ilihitajika shule kiasi gani hapo kupitisha katiba hiyo?

Mimi nilifanya kazi wizara ya fedha mara baada kumaliza UDSM. Nakumbuka wakti wetu katika wakuu wa idara wakti ule 14 za wizara hiyo waislam tulikuwa 6 tu na 4 kati yao tulikuwa tunatoka Znz.Na sisi tuliletwa ingawa tulikuwa wote ni graduates 2 wetu wakiwa ma shahada za uzamili lakin lengo kuu ilikuwa nikuzidi kuimarisha muungano kwa Tanganyika

Suala la UDINI kwa bara ni suala la urithi toka kwa wakoloni ambao walitumia njia hii kuweza kuwatawala kama walivyotumia ukabila huko kenya na Uganda.

Suala hili lilizimwa na Muungano wenu na Znz. Lakin sasa naona kuna kila dalili za kuibuka tena haswa baada wa watunza siri akina Mtei kuanza kuliibua na kuliweka hadharani.

Mimi nimestahajabu kusikia BAKWATA ambacho ni chombo maalum cha Serikali kilichoundwa kuwadhibiti waislam kimeungana na Jumuiya nyingine za Kiraia kudai haki zao kielimu na hata katika mustakabali wa zoezi la Sensa.

Tukumbuke kuwa historia siku zote haifichiki na inajirudia kila mara. Na hakuna dhulma yenye kudumu.
Mkuu wangu Dr. Barubaru, ebu nifahamishe kitaalam, uislam wako ulikusaidiaje kuongeza ufanisi wako wa kazi hapo wizarani?
 
Mkuu wangu Dr. Barubaru, ebu nifahamishe kitaalam, uislam wako ulikusaidiaje kuongeza ufanisi wako wa kazi hapo wizarani?
Gwalihenzi,
Barubaru na DINI yake ni zaidi ya unavyomfikiria. Anataka tuteuane, tusome shule, tuajiriane, tugombee nafasi za kisiasa, kwa kutumia DINI zetu kwanza. Sensa nayo ituulize DINI zetu ili mwisho wa siku tugawane vyeo na madaraka kwa kuzingatia DINI! Anasahau tu kwamba DINI ni suala la mtu na Mungu wake. Huko aliko sasa DINI ni moja lakini kuuana kuko palepale!
 
Nashangaa Ahmed Rajab anavyosema ''tusishindwe kuuvunja Muungano kwa ajili ya fitina za Nyerere.'' Hebu tuseme tena for the umpeeth time,maneno aliyoyasema Sheikh Thabit Kombo. Serikali ya Jamsheed ilipinduliwa na Okello;na yeye[Sheikh Thabit],na Karume walipanda dau kwa dharura kuja mainland kuongea na Nyerere kutafuta msaada.
 
Tatizo kubwa la Ahmed Rajab km ni mtu unaesoma makala zake,akianza kuchambua kitu kinachoihusisha z'bar ni lazima a lie upande wa z'bar no matter what,ndivyo alivyo Ahmed na hawezi kubadilika....mimi ni msomaji wa raia mwema kuna wakati nakua bored kabisa na makala zake kutokana kuacha mantiki na kujikita zaidi ktk hisia.
 
tuyaone kweli,mana 2tayaona meng kweli,
kwani nyinyi midanganyika mnaogopa nin wazanzibar wakibaguana waunguja na pemba,nyiny nd mlolileta lisubirini lije,bt mujue LIKIPULIZWA ZANZIBR LITACHEZWA BARA NA MAZIWA MAKUU

Kiukweli mimi ni Mtanzania, na nataka huu muungano uvunjwe ili waanze kubaguana wapemba (CUF) na Unguja (CCM), na kama huamini kule zanzibar ni kama tusi kumuita mtu ni wa CUF kwa kua hujiona anatoka pemba. Baada ya hilo kitalipuka uSUNI na madhehebu mengine ndani ya Uislamu. Amini usiamini watatibuana ndani ya uchaguzi mmoja tu.
 
Back
Top Bottom