Labda nikuulize kidogo, kilichowaunganisha wapemba na waunguja ni kitu gani? Mkataba wa muungano au? Pemba ilikuwa na kiongozi tofauti na wa unguja? Wapemba au waunguja waliambiwa waungane?Wazanzibari kwa sasa wanaonekana wako pamoja kwa kuwa wana-fight against a common enemy aitwaye muungano au Tanganyika lakini "wakishashinda vita hii" na kuipata "nchi yao" hawataishia hapo.
Watagundua kuwa Zanzibar siyo moja. Watatokea tena "wana uamsho" wengine wa kuidai pemba au Unguja. Kwa kuwa asilimia kama 99% ya wazanzibar ni waislamu hakutakuwa na hoja ya udini isipokuwa hoja kuu itakuwa ni ya u-pemba na u-unguja. Watataka kuwe na equal representation kila sehemu kati ya wapemba na waunguja (jambo ambalo si rahisi). This is too obvious. Watu wa pemba (CUF) wataona heri wajitenge na wa-Unguja (CCM).
Kuna mambo ambayo kwa sasa hayasemwi na watu wanaoitaka Zanzibar huru lakini wataanza kuyasema muungano ukivunja. Tusubiri muungano uuvunjike tuone
Labda ukijibu hayo ndo utakuwa ushaindoaha wasiwasi ulokuwa nao kuhusu upemba na unguja, because itabidi CCM ibadilike na cuf ibadilike na viee vyama vya wazanzibari tu na sio vua muungano tena!