Ahadi ya viwanda vya mgombea wa CCM

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,916
1443587298338.jpg
 
dah nasikitika kukubaliana na unaesema kwamba watamfukuza kwa kisingizio cha kise.....ngerema! Mungu atunusuru na janga hili la ufisiemu
 
Na huyo akikaa vibaya watamfukuza hapo asifanye ujuzi wake wakidai anachafua mazingira badala ya kumbembeleza na kumlea avumbue na kuzidi kuwa mbunifu!

dah nasikitika kukubaliana na unaesema kwamba watamfukuza kwa kisingizio cha kise.....ngerema! Mungu atunusuru na janga hili la ufisiemu

With chama chawala anything is unpredictable
 
Na asipokuwa muangalifu atashitakiwa kwa hoja ya "Nani amempa kibali cha huo ubunifu"

Kama mgombea anatokea dirishani badala ya mlangoni gari likisimama.... Basi ujue huko mbeleni kuna shida kubwa
 
Badala ya kuahidi wao wangetekeleza cose wanaongoza hadi sasa hv
 
aisee sijui no kosa lipi tulinfanyia mola wetu aisee sisi Tanzania?? mbona wenzetu majilani zetu wana nafuu kidogo
 
Yaani hata mimi huwa najiuliza swali kama hili mara kwa mara na siku hizi nimeona niangalie zaidi kuhusu kumuomba Mola msamaha atuhurumie tu kwa wingi wa Rehema Zake maana tuko kama nyoka mwenye kichaa anaejing'ata mkia ilihali ana sumu kali sana.

Kama Mwenyezi Mungu akitupa pumzi, basi Oktoba 25, 2015 tusirudie kosa/ janga.
 
Tutaukomboa wakati kwakuwa baada ya miaka yote hiyo ya kuteseka ni wakati wetu sasa
 
Kama mgombea anatokea dirishani badala ya mlangoni gari likisimama.... Basi ujue huko mbeleni kuna shida kubwa
Na ukifuatilia tabia ya watu wanaopenda kutumia madirisha kama milango wengi wao huwa na tabia au walikuwa na tabia ya udokozi ama kuvizia ma housegirl na wake wa watu au utoro shuleni maana ukweli ndio huo mtukio mengi kama hayo hufanywa kupitia dirishani!
 
Umesahau na kupiga chabo... Mara nyingi hili tendo pia hutumia madirisha, Hapa tunapata tafsiri nyingi kwa kitendo chake hiki ambacho kuna watu wanakiona ni cha kishujaa
 
kwa ujumla amevunja kanuni za mtu mstaarabu!! na mtu ukiwa na manjonjo ya namna ile unaweza kujikuta umepiga mbizi ukiwa hata ndani ya kivuko!
 
Back
Top Bottom