Na huyo akikaa vibaya watamfukuza hapo asifanye ujuzi wake wakidai anachafua mazingira badala ya kumbembeleza na kumlea avumbue na kuzidi kuwa mbunifu!
Na huyo akikaa vibaya watamfukuza hapo asifanye ujuzi wake wakidai anachafua mazingira badala ya kumbembeleza na kumlea avumbue na kuzidi kuwa mbunifu!
dah nasikitika kukubaliana na unaesema kwamba watamfukuza kwa kisingizio cha kise.....ngerema! Mungu atunusuru na janga hili la ufisiemu
Na asipokuwa muangalifu atashitakiwa kwa hoja ya "Nani amempa kibali cha huo ubunifu"With chama chawala anything is unpredictable
Yaani hata mimi huwa najiuliza swali kama hili mara kwa mara na siku hizi nimeona niangalie zaidi kuhusu kumuomba Mola msamaha atuhurumie tu kwa wingi wa Rehema Zake maana tuko kama nyoka mwenye kichaa anaejing'ata mkia ilihali ana sumu kali sana.aisee sijui no kosa lipi tulinfanyia mola wetu aisee sisi Tanzania?? mbona wenzetu majilani zetu wana nafuu kidogo
Yaani hata mimi huwa najiuliza swali kama hili mara kwa mara na siku hizi nimeona niangalie zaidi kuhusu kumuomba Mola msamaha atuhurumie tu kwa wingi wa Rehema Zake maana tuko kama nyoka mwenye kichaa anaejing'ata mkia ilihali ana sumu kali sana.
Kama Mwenyezi Mungu akitupa pumzi, basi Oktoba 25, 2015 tusirudie kosa/ janga.
Na ukifuatilia tabia ya watu wanaopenda kutumia madirisha kama milango wengi wao huwa na tabia au walikuwa na tabia ya udokozi ama kuvizia ma housegirl na wake wa watu au utoro shuleni maana ukweli ndio huo mtukio mengi kama hayo hufanywa kupitia dirishani!Kama mgombea anatokea dirishani badala ya mlangoni gari likisimama.... Basi ujue huko mbeleni kuna shida kubwa
Na ukifuatilia tabia ya watu wanaopenda kutumia madirisha kama milango wengi wao huwa na tabia au walikuwa na tabia ya udokozi ama kuvizia ma housegirl na wake wa watu au utoro shuleni maana ukweli ndio huo mtukio mengi kama hayo hufanywa kupitia dirishani!
kwa ujumla amevunja kanuni za mtu mstaarabu!! na mtu ukiwa na manjonjo ya namna ile unaweza kujikuta umepiga mbizi ukiwa hata ndani ya kivuko!Umesahau na kupiga chabo... Mara nyingi hili tendo pia hutumia madirisha, Hapa tunapata tafsiri nyingi kwa kitendo chake hiki ambacho kuna watu wanakiona ni cha kishujaa