Waliosoma Chemistry wanakumbuka haya maneno mawili "Mixture & Compound" kama tumeamua kuungana jumla iwe nchi moja,tukiamua kuungana kinafiki kila mtu abaki na nchi yake, then hapo katikati kuwe na hicho kiungo.Sioni umuhimu wa hao watu kuelewa mipango yetu yote ,halafu ya kwao wanajipangia na kujiamulia.
baada ya kumshambulia lissu mwisho wa siku amekubali 'ZANZIBAR NI NCHI NA TANGANYIKA NI NCHI NA NDIO MAANA KUNA MUUNGANO'.
sasa mtaalam wa chemistry, je muungano wa Tanzania ni mixture au compound ?? in my opinion ni compound kwa sababu pamoja na kuungana kila mtu amebakia na asili yake.( refer to the properties of compund)

naungana na wewe huu muungano ni mixture and can be separated easily !!! kama wanavyo taka kufanya hao wa uamushoCompound ni kitu kilicho changanyika kikawa kitu kimoja mfano maji 4H+02 = 2H20 lkn mixture ni mchanganyiko wa karanga na mahindi ni rahisi kutenganisha, kwahiyo muungano kiini macho.
kijana karudia tena notisi zako..... chemistry haisomwi na kila mtusasa mtaalam wa chemistry, je muungano wa Tanzania ni mixture au compound ?? in my opinion ni compound kwa sababu pamoja na kuungana kila mtu amebakia na asili yake.( refer to the properties of compund)