AG awaunga mkono CHADEMA

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
baada ya kumshambulia lissu mwisho wa siku amekubali 'ZANZIBAR NI NCHI NA TANGANYIKA NI NCHI NA NDIO MAANA KUNA MUUNGANO'.
 
Waliosoma Chemistry wanakumbuka haya maneno mawili "Mixture & Compound" kama tumeamua kuungana jumla iwe nchi moja,tukiamua kuungana kinafiki kila mtu abaki na nchi yake, then hapo katikati kuwe na hicho kiungo.Sioni umuhimu wa hao watu kuelewa mipango yetu yote ,halafu ya kwao wanajipangia na kujiamulia.
 
sasa mtaalam wa chemistry, je muungano wa Tanzania ni mixture au compound ?? in my opinion ni compound kwa sababu pamoja na kuungana kila mtu amebakia na asili yake.( refer to the properties of compund)
 
Rada ni suala la muungano ila hela za kununua rada huenda hazikuwa za muungano! Huu muungano una mambo kweli kweli!
 
Nimesikia taarifa ya habari ikisema ati wazanzibar watakuwa wakipata 21% ya ajira kwenye taasisi za muungano. Hapa napo pamenishangaza. Kwa maana hiyo ni kwamba ajira zinaanz kutolewa kwa quota.
 
sasa mtaalam wa chemistry, je muungano wa Tanzania ni mixture au compound ?? in my opinion ni compound kwa sababu pamoja na kuungana kila mtu amebakia na asili yake.( refer to the properties of compund)

Hahahaaaaa! wadau mmenikumbusha mbali sana. enzi zile nilivyoanza elimu ya sekondari nakumbuka chemistry ya form one by the time lugha ilikuwa haipandi basi nilikuwa nameza kama teacher alivyodesa ubaoni yaani hadi nukta. pengine na serikali yetu inameza kama ilivyo. Ikifika form three na kuendelea itaelewa tu. heheheheee.
 
sasa mtaalam wa chemistry, je muungano wa Tanzania ni mixture au compound ?? in my opinion ni compound kwa sababu pamoja na kuungana kila mtu amebakia na asili yake.( refer to the properties of compund)

Mie ambaye sikusoma chemistry wala english najua compound ni eneo la wazi la nyumba..sasa compound yard ina back yard na front yard then kuna mjengo wenyewe. lazima viwe vitatu. sijui sisi ni sehemu gani hapo
 
Ya nini malumbano yanini maneno najiweka(ZANZIBAR) pembeni kuepusha msongamano ,bora nitulie nipate changu.(20%)
 
sasa mtaalam wa chemistry, je muungano wa Tanzania ni mixture au compound ?? in my opinion ni compound kwa sababu pamoja na kuungana kila mtu amebakia na asili yake.( refer to the properties of compund)

Hapa mkuu naona umechanganya concepts kwa maelezo yako nadhani sasa Muungano wetu ni Mixture maana maana pamoja na kuungana kila sehemu imebaki na asili yake. Na kwa hali hiyo kuutenganisha ni rahisi kabisa .
 
mixture mfano mzur ni hewa e.g oksjen co2 co n.k yaan muungano ni hewa zaid ya kum duu! tofautisha kat ya siasa na hewa
 
Compound ni kitu kilicho changanyika kikawa kitu kimoja mfano maji 4H+02 = 2H20 lkn mixture ni mchanganyiko wa karanga na mahindi ni rahisi kutenganisha, kwahiyo muungano kiini macho.
 
naungana na wewe huu muungano ni mixture and can be separated easily !!! kama wanavyo taka kufanya hao wa uamusho
 
Nilishawahi kusema hapa jamvini kuwa, hakuna Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Hapa kuna ukoloni mamboleo tu. Tanganyika inaikalia zanzibar kimabavu chini ya gamba Tanzania.
 
sasa mtaalam wa chemistry, je muungano wa Tanzania ni mixture au compound ?? in my opinion ni compound kwa sababu pamoja na kuungana kila mtu amebakia na asili yake.( refer to the properties of compund)
kijana karudia tena notisi zako..... chemistry haisomwi na kila mtu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom