Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
naam mpira umeisha nigeria wamefungishwa virago.
wenyeji wanasonga mbele nusu fainali
wenyeji wanasonga mbele nusu fainali
Ningependa Guinea ambao ni underdog washinde!
Ila kusema Ukweli Ivory Coast wazuri zaidi ya Guinea!
Guinea wanaweza kufanya maajabu hapa!
Tusubiri tuone!