African Cup of Nations 2008

Morocco out!

1. Ghana 2 Moroco 0

2. Namibia 1 Guinea 1

Guinea na Ghana are throgh to 2nd round!

Ghana leo wamecheza vizuri- Essien alifunga bao safi sana kwa ufundi. Huenda hata 2nd Raund washinda kama walicheza kama leo!

Moroco sijui ni nguvu za soda au vipi- yani mechi ya kwanza Kumfunga Namibya 5 naona akajiamini mno!
 
Mali out!

Nigeria 2 Benin 0, Mali 0 Codivaa 3

Nigeria na Codivaa wanaingia n2d Round! Mali walihitaji tu draw ila wakafungwa.

Nigeria wameingia kwa bahati sana!
 
Aa mi nimeboreka kichizi, nilikua nataka Mali ndio wapite, wapopo siwafagilii kabisa. Nilijua kibarua kingekua kigumu kwa Mali bila kapteni wao Diarra then half time Kanoute naye wakamtoa, halafu Ivory Coast walipangia full squad kinyume na wengi tulivyotarajia.
 
nasikitika huku niliko sioni kombe hilo ila tuu kufuatilia highlights kwenye ma bbc na cnn...ila kwa walichofanya ivory coast ndio mpira wenyewe...hamna kuachia uzi..kukaza tuu mpaka mwisho...jamani mie naona kabsaa kombe hili lisipobaki ghana nasema tena mtaja nikumbuka..lasogea pale kwa drogba na wenzie..
 
Mtaalam,

kwa nini huoni huu uhondo ndugu yangu? download software inayoitwa sopcast katika hii website hebu www.myp2p.eu then nenda kwenye software halafu udownload hiyo software inayoitwa sopcast upate burdan
 
Aa mi nimeboreka kichizi, nilikua nataka Mali ndio wapite, wapopo siwafagilii kabisa. Nilijua kibarua kingekua kigumu kwa Mali bila kapteni wao Diarra then half time Kanoute naye wakamtoa, halafu Ivory Coast walipangia full squad kinyume na wengi tulivyotarajia.

Si unajua Nigeria ni wazee wa voodoo, wameloga Mali wakafungwa.... mpira Nigeria umekwisha.
 
Tunisia and Angola have gone through,Senegal and South Africa bye bye. Both were really really boring games, labda tutaanza kuona game za maana from the next stage.
 
Really boring,
Next stage; I hope Angola will kock out the pharaohs, Angola - the only hope for south/east africa!
 
Ratiba inayofuata ni kama hivi (time za UK):

Sunday, 03 February 2008
Ghana v Nigeria, Quarter Final, 17:00
Ivory Coast v Guinea, Quarter Final, 20:30

Monday, 04 February 2008
Egypt v Angola, Quarter Final, 17:00
Tunisia v Cameroon, Quarter Final, 20:30

Thursday, 07 February 2008
Winner Q/F 1 v Winner Q/F 4, Semi-Final,
Winner Q/F 2 v Winner Q/F 3, Semi-Final,

Saturday, 09 February 2008
Loser SF1 v Loser SF2, 3rd and 4th Place Play-Offs,

Sunday, 10 February 2008
Winner SF1 v Winner SF2, Final,
 
Ratiba inayofuata ni kama hivi (time za UK):

Sunday, 03 February 2008
Ghana v Nigeria, Quarter Final, 17:00......GHANA ADVANCE 2 SEMI
Ivory Coast v Guinea, Quarter Final, 20:30...IVORY coast 2 SEMI

Monday, 04 February 2008
Egypt v Angola, Quarter Final, 17:00......EGYPT watasonga to semi
Tunisia v Cameroon, Quarter Final, 20:30...Etoo atafanya kweli hapa watasonga mbele
Thursday, 07 February 2008
Winner Q/F 1 v Winner Q/F 4, Semi-Final,
Winner Q/F 2 v Winner Q/F 3, Semi-Final,

Saturday, 09 February 2008
Loser SF1 v Loser SF2, 3rd and 4th Place Play-Offs,

Sunday, 10 February 2008
Winner SF1 v Winner SF2, Final,

Niutabiri wangu tu Ila hapa ndo tunawezakuona utamu wa mpira
 
Niutabiri wangu tu Ila hapa ndo tunawezakuona utamu wa mpira

Hapo tupo pamoja mimi naongezea hivi:-
Nusu fainali
Cameroon-Ghana-Ghana itasonga mbele
Côte d'Ivoire-Egypt-Côte d'Ivoire itasonga mbele
Fainali

Côte d'Ivoire vs Ghana-Bingwa Côte d'Ivoire
 
Nakubaliana na SAV na Senator hapo juu kuhusiana na matokeo ya robo fainali lakini kwenye semis mhhh!!?? Nahisi utakua mwisho wa safari kwa Waghana, Cameroon watacheza final. Na game ya Ivorians na Egypt- naiona ikienda extra time pamoja na matuta na mwishowe waarabu kuibuka kidedea.
 
naam hadi sasa ghana weshalala bao moja goli kafunga yakubu dakika ya 34 kipindi cha kwanza
 
naam ghana wesharekebisha mambo sasa draw ktk za ziada cha kipindi cha kwanza

naam ni mapumziko
 
Back
Top Bottom