African Cup of Nations 2008

final score

ghana 2 nigeria 1


wa mwanzo kupata nigeria kwa penalti wakarejeshewa na hadi mapumziko draw

ghana mchezaji wao mmoja kapigwa redi kadi na wakabaki kumi


hata hivyo waliweza kuwagaragaza wazee wa fisi
 
Utabiri so far unakwenda vizuri..ingawa ghana walikuwa pungufu kwenye second half ila walionesha mpira mzuri..EAGLes wakajipange kwa WORLD CUP wanatimu nzuri ila mapungufu yapo mbele.Ghana leo wamepambana kiume mbele ya mashabiki wao..tunasubiria hapa game ya Ivory natumai nayo itakuwa nzuri pia
 
Mpira ulikuwa mzuri lakini nilitaka waongezewe extra time kisha penalty...:) si unajua kama huna timu unayoshabikia basi unataka kabumbu liendelee tu...:). Nasubiri Ivory Coast na Guinea.
 
Ghana v Nigeria inaweza kuwa ndio game of the tournament, lots of excitement,dramas and goals, and that is what we ,as fans, want to see. Ngoja tusubiri kuona game zijazo...
 
zimebakia dakika kumi na tano kuanza mpambano kati ya guinea na ivory coast.

nikijaaaliwa nitakuwa nnadondosha dondosha kwa wale ambao ni wachache mno wasioangalia.

pia itakuwepo kwa ajili ya kumbukumbu
 
Je wajua kwamba kwa FIFA na CAF ranking Guinea wapo juu ya Ivory Coast?
GUINEA - I. COAST
FIFA - 33 - 38
CAF - 3 - 5

It wont be easy kama wengi tunavyofikiri...
 
Ningependa Guinea ambao ni underdog washinde!

Ila kusema Ukweli Ivory Coast wazuri zaidi ya Guinea!

Hapo kidogo umenichanginyi unapenda Guinea ashinde wakati huo huo unapenda game ya cote de vour..Leo hakuna ubishi na Game imeshaanza hapa Ivory wanashinda tu hakuna cha underdogs..Kwenye futbol mambo yanabadilika.Guinea anakibarua kigumu hapa..let see
 
dakika 25 abdul kadir keita anaiandikia ivory coast bao la kwanza.

na hadi sasa ndugu zetu wa guinea wamebanwa mbavu taabani
 
Keita alivyopiga ngumi lile pipa la Cokacola ktk kushangilia mliona?

Ivory Coast Wazuri ktk all departments!

Kwa mpira kama huu- Tz bado tupo nyuma sana ktk soka!
 
Guinea wanaweza kufanya maajabu hapa!
Tusubiri tuone!

Kweli hapa tumeshuhudia maajabu mtu kuachia miguu mwenzie akamwaga kojo mara tano!!!Wanasema majeruhi wameicost guinea ila walikuwa ni kitoweo tu mbele Tembo wenye njaa.Bado Kipa wa Ivory hajabikiriwa sijui nani atapata bahati hiyo..tunaendelea kusubiri majaabu ktk mechi zinazokuja
 
Ng'wanawane Ghana wamemaliza kazi......
Leo tusubiri hawa egypt wakiaibishwa na Angola... teh teh teh
 
Go Ivory Coast!!..kutokana na kubanwa na shule sikubahatika kuangalia game hata moja ya African Cup of Nations...Jana niliona highlights tuu kwa mara ya kwanza..watu walinishangaa saaana kenye kebab shop LOL nikiruka baada ya kuona Magoli na Mpira wa Ivory Coast..Kwa kweli jamaa wapo juu...World Class Football...i hope they win...it pays off to have players abroad alooo...they sure made my day jana
 
Back
Top Bottom