Afisa elimu sekondari korogwe vijijini kizimbani kwa ulevi!

Hiyo kesi ndogo sana. Za mafisadi zinayeyuka sembuse hiyo ya kutuliza kiu tu, labda hakimu awe hana kazi ya kufanya. Ningekuwa hakimu ningesema: "Mtuhumiwa hana kesi ya kujibu".
 
Imebainika mshtakiwa ni mgojwa wa akili, hivyo hana shtaka la kujibu..!
 
Kama analewa kwa mshahara wake,ya nin kupelekana mahakaman tena?
 
Back
Top Bottom