Afande Sele awa-beep Sugu na Vinega!

hebu soma maelezo yake kdgo kijana.ku mtoa kimziki c tatizo,ku2kana kasema awezi hebu kuwa muelewa kdgo
Na wewe unahitajika uwe muelewa zaidi! hiki ni nini?

391015_2714379147328_1492431948_33002365_1325423203_n.jpg
 
Alisaini deal wakati amelipuliza baada ya kwisha sasa anaona ajitete..Huyu kuna clips ametukana sana tu!
Afande Sele huwa hatukani, mimi nimewahi kumsikia akisema mazafakayooo!!! kwani kusema "mazafaka" ni tusi??
 
Msanii wa kizazi kipya Afande Sele ambae kwa sasa anavuma mtaani kwa jina la Yuda Eskariot,ameongelea kuhusu ishu yake ya kupafom pale Leaderz,akiojiwa Mlimani Radio alisema.

Namnukuu..." kwanza napenda kusema nasikitishwa sana na mambo yanayoendelea hivi sasa,ninatukanwa na kudhalilishwa nikiitwa msaliti,lakini ukweli sijasaliti,mimi ni mpambanaji na siku zote nimepigana vita hii nimejitolea sana wakati huo wenzangu walianza kufanya mambo yao bila kunishirikisha,na hii ilikuja baada ya mimi kukataa kushiriki kuimba kwenye album ya antivirus volume 2,niliwaambia mimi nina familia na watu wengine wananiangalia so siwezi kutukana..kitu kingine MIMI NINA IMANI YA KIRASTA NA WENZANGU WANA IMANI ZA KI-HUSTLER ndio maana tunapishana sana maamuzi,niliwaambia wenzangu kuwa msimamo wangu mimi ni KUWAPATANISHA HAWA WATU WAWILI(Sugu&Ruge),kwa kuwa Sugu sasa ni mtu mkubwa nchi hii naweza kumuita jamaa na kumuweka chini wakanyoosha penye makosa"

SABABU ZA KUPAFOMU LEADERZ,anasema "kukosa mwaliko wa Antivirus,wenzangu hawakunitaarifu na hata kwenye matangazo yao hawakuniweka ndio maana nilipoitwa uku nikakubali,mimi naishi kwa kutegemea muziki,sasa siwezi kukataa kazi wakati nina shida ya pesa ndio maana nilipoitwa uku nilikubari LAKINI HAIMAANISHI KUWA NIMEACHANA NA HARAKATI AU SIWAUNGI MKONO WENZANGU..hata hivyo BADO NAENDELEA KUWASILIANA NA SUGU ILI TUZUNGUMZE..

391015_2714379147328_1492431948_33002365_1325423203_n.jpg
 
Salam zangu za kwanza ziwafikie woote bila kumsahau mtoa mada popote pale alipo ! Salamu zisindikizwe na wimbo mkuki moyoni wa afande thele!
 
Hongera Afande, matusi sio mpango. Uanaharakati sio lazma utukane. Hao vinega ni mambumbu .
 
Back
Top Bottom