Afande Sele awa-beep Sugu na Vinega!

Nani kaongea siasa? Wewe ndio unataka kuleta siasa...niambie wewe hao members wa Vinega walipwa kiasi gani baada ya shoo?

kwa taharifa yako,hakuna show hapa Bongo msanii wa nyumban aliyowailipwa vizuri zaidi ya show ya antivirus..
 
Hakuna anaeweza kununua mziki wa wavuta bangi hata siku moja

hao hao wavutabangi ndio Munaowanyonya hata kile kidogo wanachokipata na kwenda kushibisha matumbo ya wake zenu. Munakosa ufahamu wa kujua kwamba kule vijijini madada zenu wanashindwa kupata hela za kununua hata pedi. kila siku Munawaza njia mpya za kunyonya wenzenu wanaojituma mwisho wa siku mnawaita wavuta bangi na bado mnawaita kwenye show zenu za fiesta. KUPE WAKUBWA NYIE. waone macho yao....tpuuu...!!. mia
 
anavyo jieleza inaleta maana na asikubaliana nae atakua sio muungwana....

Inaleta maana kwako usiyefuatilia. Kama unatumia PC search Afande Sele kwenye youtube usikie alichokisema Afande huko Moro kwenye show. Utagundua ni mnafiki tu. Labda asema alikua na 'njaa' ndio maana akajiunga na mavirus.
 
kwa taharifa yako,hakuna show hapa Bongo msanii wa nyumban aliyowailipwa vizuri zaidi ya show ya antivirus..

Matumbo,
Njoo na data usije na porojo tuambie walilipwa kiasi gani hao wasanii? JF sio sehemu ya porojo
 
we ulitengeneza habari kwamba wamelipwa elfu50,sasa unataka kiasi cha nini tena we mzeiya!we tambua kwamba wamechukua fungu la kutosha na kuna baadhi ya wasanii mpaka sasa hawaamini macho yao,kama wanaota au la..uhoni Afande aka Yuda anabembeleza apokewe tena?ye aliona mil 2 ya clouds pesa ya maana sana.
 
Mkuu ni laki mbili sio million mbili. millioni mbili kwa watu kumi watagawana shilling ngapi ngapi? hiyo hesabu ndigo sana. Mia
 
Hakuna anaeweza kununua mziki wa wavuta bangi hata siku moja

Bob Marley kauza album ngapi? Alikuwa anavuta miwa au? Acha kudharau bangi ni mojawapo ya mimea barikiwa duniani ambayo inaleta conciuos ya ukweli na kupanua mawazo inakuwa tatizo kwa wale tu wanaoiabuse
 
we ulitengeneza habari kwamba wamelipwa elfu50,sasa unataka kiasi cha nini tena we mzeiya!we tambua kwamba wamechukua fungu la kutosha na kuna baadhi ya wasanii mpaka sasa hawaamini macho yao,kama wanaota au la..uhoni Afande aka Yuda anabembeleza apokewe tena?ye aliona mil 2 ya clouds pesa ya maana sana.

Crackpot!
 
Hili jamaa ni dunce kwa sababu limedai lilikataa kushiriki kuimba kwenye anti-virus kwa sababu ina matusi, lakini tamasha la anti-virus la wiki iliyopita angekwenda kushiriki kama kina sugu wangemwalika. How absurd.

bange mbaya

halafu inabidi ipatikane maana mpya ya u-rasta
 
Hawa wasanii wanadhulumiwa sana, hebu cheki kama huyo mwenyewe Afande sele angekuwa tajiri ambaye ashikiki kutokana na kazi zao lakini kwa kuwa wameshajiweka wa bei rahisi acha waendelee kutumiwa na watu kwa manufaa yao. Huenda alipewa hela asiudhulie
 
afande sele siyo wa kumkana sugu,
hata kama una njaa ya kufa,
kama siyo sugu usingekuwa hapo ulipo afande.
 
hii movement ya kina sugu mwanzoni nilikuwa naikubali sana ila siku zinavyoenda kuna sehemu nimegundua wanakosea tena hususani kwa washabiki wao ambao kila msanii asiyekuwa upande wao wanamchukulia ni adui na kumtukana badala ya kutumia ushawishi wa kumvuta!................madogo wengi wanaosupport movement ya sugu katika facebook ni mapimbi kama walivyo watangazaji wengi walio clouds!hii vita ni ja wajanja wawili ambao ni sugu na ruge walio nyuma yao wote manduza!hawajielewi!
 
Huko nilipoweka red ni wewe na mama yako.
 
Bob Marley kauza album ngapi? Alikuwa anavuta miwa au? Acha kudharau bangi ni mojawapo ya mimea barikiwa duniani ambayo inaleta conciuos ya ukweli na kupanua mawazo inakuwa tatizo kwa wale tu wanaoiabuse

Tupac je?
 
Back
Top Bottom