Afande afanya kibarua?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
km.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PhD
Kama itafikishwa kunako husika tutamshukuru mungu. Vinginevyo inaweza yeyuka kama stika za wiki ya nenda kwa usalama.
kuna mama mmoja hakimu kwenye charge sheet kasoma imekamatwa pipa mbili ya Gongo na pale mahakamani pameletwa dumu la lita 5 akawaambia polisi nendeni kaleteni hizo pipa 2 la sivyo nafuta kesi,na kweli kesi ilifutwa baada ya polisi kushindwa kuleta mapipa ya gongo.
 
naona wote ni mandata tena wa mbele nika f.f.u si unaona suruwali yake ina side pocket ila kwa mara ya kwanza wamekuwa wema kusaidia watuhumiwa kubeba ushahidi kama kweli ni ndumu lililo ndani na sidhani kama mzigo utafika kunako..

yaani hapa ni sawa umwache paka na kipande cha samaki utamlaumu bure hata kama umemfunza vipi..
 
Hawezi kubeba hivihivi, ameshahesabu chake ndo maana kakinga mgongo na kuweka crown mfukoni. Na usikute anasindikiza mtu kuvusha mahindi kusikoruhusiwa baada ya kupozwa. Hii ndo Bongo, ulinzi wa raia na mali zao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom