Mwanza ni kugumu hususani kwenye kupata kibarua aisee

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
440
516
Nina miez kadhaa mwanza natafuta walau kibarua Cha kuniweka mjini nipate hela. Niende gereji kujifunza umeme wa magari.

Lkn kibarua , ajira ni mgumu Sana Kama hauna unayemfahamu Mambo ni magumu.

Nimezunguka viwandanii, kwenye site za ujenzi lakin bila bilaa.

Sijachoka naendelea wenye uzoefu na mji nipeni mwongozo. Akili imefeliii.

NAWASILISHA 0626456047
 
Mji pekee wenye vibarua na kazi nyingi zisizohitqji ujuzi, mkubwa, ni Dar, na kidogo Dodoma.
 
Elimu ni diploma ya marketing and public relations

Kazi naweza fanya
Customer care service
Store keeper
House boy
Shopkeeper
 
Nimekuwepo miezi kadhaa jijin Mwanza nikitafuta vibarua pia kazi niliyosomea

Diploma marketing and public relations

Lakini fursa huku zunaonekana ni ngum Sana kupatikana

Mwenyejii naomba muongozo vizuri niweze kujikwamua nipate pesa nikachukue ujuzi garage wa umeme wa magari

0626456047
 
Nimekuwepo miez kadhaa jijin mwanza nikitafuta vibarua pia kazi niliyosomea

Diploma marketing and public relations

Lkn fursa huku zunaonekana ni ngum Sana kupatikana

Mwenyejii naomba muongozo vzr niweze kujikwamua nipate pesa nikachukue ujuzi garage wa umeme wa magari

0626456047
Mkuu furusa ni ngumu sio MWanza tu bali ni nchi nzima, Viwanda hakuna, na ndio vitu vingeweza kuwapa ajira vijana. Nchi ejaa Frame, sasa unategemea nini kwenye Frame economy?

Kuna shida sana nchi hii, hatufanyi uzalishaji bali uchuuzi
 
Bora mwanza kuliko mbeya..ule mji majitu yana ukabila na machawi sio poa
 
Mkuu furusa ni ngumu sio MWanza tu bali ni nchi nzima, Viwanda hakuna, na ndio vitu vingeweza kuwapa ajira vijana. Nchi ejaa Frame, sasa unategemea nini kwenye Frame economy?

Kuna shida sana nchi hii, hatufanyi uzalishaji bali uchuuzi
Mtu akipata kahela anakimbilia kujenga frem na nyumba za wapangaji.

Labda serikali ingeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hawa wanaopata hizo pesa wangeweza kufanya hata joint-ventures wakaanzisha hata viwanda vya kati ajira zingepatikana na serikali ingepata kodi maradufu kuliko kujaza magofu nchini.
 
Huo mkumbo ukija kubadilika nitakuwepo hapa na vibunda vyangu kununua nyumba zilizoflop kwenye soko
Mtu akipata kahela anakimbilia kujenga frem na nyumba za wapangaji. Labda serikali ingeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hawa wanaopata hizo pesa wangeweza kufanya hata joint-ventures wakaanzisha hata viwanda vya kati ajira zingepatikana na serikali ingepata kodi maradufu kuliko kujaza magofu nchini.
 
Mtu akipata kahela anakimbilia kujenga frem na nyumba za wapangaji.

Labda serikali ingeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hawa wanaopata hizo pesa wangeweza kufanya hata joint-ventures wakaanzisha hata viwanda vya kati ajira zingepatikana na serikali ingepata kodi maradufu kuliko kujaza magofu nchini.
Nchi imejaaa Frame, inasikitisha mno. yaani hakuna Idea nyingine tofauti na Frame
 
Nimekuwepo miezi kadhaa jijin Mwanza nikitafuta vibarua pia kazi niliyosomea

Diploma marketing and public relations

Lakini fursa huku zunaonekana ni ngum Sana kupatikana

Mwenyejii naomba muongozo vizuri niweze kujikwamua nipate pesa nikachukue ujuzi garage wa umeme wa magari

0626456047
Hakuna mahala ambapo maisha ni rahisi hapa Tanzania au Duniani.

Tuanze kujifunza Kuzalisha badala ya kutembeza vyeti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom