Msajili kasema kama cdm wakilalamika kuhusiana na hilo la bendera basi adc inabidi wabadiri.
Mpango kabambe wa ccm kutaka kuidhoofisha chadema, hiyo bendera haikubaliki kabisa. Wanachadema wote tuipinge, huu ni undumilakuwili si wangetumia ya ndugu yao ccm au ya mama yake cuf
Washone na kombati kama za chadema!
ktk hali ya kushangaza chama kipya ca Adc kimetoka na bendera inayofanana kwa rangi zote na chadema. Je wamekurupuka?