ADC na bendera kama ya CHADEMA

Mi nawaomba CHADEMA wakailalamikie kwa msajili bendera ya ADC ibadilishwe, hivi nikivaa scarf ya CDM mtu atajua kama ni CDM au ADC? Alama za CDM ni muhimu zibaki ili kuweka utofauti!
 
mkuu hapo kwenye mabano ujue panafanya nikune kichwa mara 2.
Mkuu jamaa zetu wameamua kuiongoza nchi kwa kuhakikisha wao tu wanatwaa madaraka. Lakini kinachowashinda na kitakachowashinda milele ni ile dhana ya kujibagua. Ukishajibagua unakosa umoja hata ndani ya kundi lenu mlilojibagua. Ndo mana utawaona KAFU na ADC wana malengo yanayofanana lakini WANAPINGANA
 
Kweli mapenzi ni upofu! Yaani wewe umeweza kuona nyota tatu kwenye bendera ya ADC (Ishara ya wanamuabudu Allah) kama ulivyosema, lakini huzioni nyota hamsini kwenye bendera ya US wala nyota 18 kwenye bendera ya EU! Pia umeshindwa hata kuona ishara ya msalaba (T) katika bendera ya Chadema! Ingawa unaiona kwenye bendera ya England!
Unaona kutoelewana kati ya KAFU na ADC, lakini huoni kutoelewana kati ya NCCR na CDM vyote baba mmoja mama mmoja!

Haya endeleeni na ukombozi wenu wa kijinga!
 
CUF(21).jpg

ADC imetokea CUF
Angalia ufanano hapa
OTIS
 
Kweli mapenzi ni upofu! Yaani wewe umeweza kuona nyota tatu kwenye bendera ya ADC (Ishara ya wanamuabudu Allah) kama ulivyosema, lakini huzioni nyota hamsini kwenye bendera ya US wala nyota 18 kwenye bendera ya EU! Pia umeshindwa hata kuona ishara ya msalaba (T) katika bendera ya Chadema! Ingawa unaiona kwenye bendera ya England!
Unaona kutoelewana kati ya KAFU na ADC, lakini huoni kutoelewana kati ya NCCR na CDM vyote baba mmoja mama mmoja!

Haya endeleeni na ukombozi wenu wa kijinga!
mkuu, sina malengo kama unayodhania. Najua nyota 50 US zinawakilisha 'United states' ambazo zina constitute USA na EU vivyo hivyo.

Sasa hizi tatu nataka kujua ni representation ya nini!? ...Znz, Tanganyika na Serikali ya Muungano? ...Znz, Pemba na Mafia!? au kitu gani? ni kutaka kujua tu mkuu

 
Chama kipya cha siasa ADC (Alliance for Democratic Change) kutumia bendera inayofanana kwa ukaribu na bendera ya CHADEMA linanitatiza xana, najaribu kujiuliza hivi kama bendera yao ingefanana na ya CCM kingepata usajili kwel? TIME WILL TELL! huu ni mtazamo tu wadau msijenge chuki!

Hao viongozi ADC ni matahira, kuna Rangi nyingi sana kukimbilia Rangi za CDM ni nini kama siyo ulimbukeni.
 
Wameiga hii ya palestina halafu wakaweka nyota za philipine wakatoa ile alama ya jua
WEBA0001.GIF



Acha kuwaonea kwani umeangalia za nchi nyingine?! - kama ni Palestina si afadhali ungesema Mozambique?

Hebu angalia hizi nyingine ndio utoe maoni yako


Mozambique
mozambique.gif




South Sudan




Haya ya kwao hii hapa

318145_264683836950900_100002278567469_562734_171476896_n.jpg



Hapo vipi?


 
Hawa DAC ni w.a.s.e.n.g.e. Wanataka kufanya mambo yafuatayo waliotumwa na CCM:
  1. kupunguza kura kwa kuwachanganya wasiojua kusoma na kuandika wachanganywe na rangi
  2. Kujifanya kuwa ni wapinzani walio na mwelekeo wa cdm
kuthibitisha hoja yangu nina maswali yafuatayo: Je walikosa rangi nyingine mpaka cdm wabuni nao wakopy? Ufafanuzi nwa bendera yao ni upi Kwa maana ya kila rangi inasimamia nini? na vinyota je? Nasikia uzinduzi wao umefadhilriwa na Mafisadi, wanapinga hili?

I hate them! Tayari wanaturudisha nyuma kule tulipotoka mpaka tukampata mkombozi chadema. Wanaturudisha nyakati za Lyatonga A, Dr. Masumbuko, Bagenda, nk.

Kama wanapenda CDM kwanini hawakujiunga nacho. Hawa ni wahuni!
 
Acha kuwaonea kwani umeangalia za nchi nyingine?! - kama ni Palestina si afadhali ungesema Mozambique?

Hebu angalia hizi nyingine ndio utoe maoni yako


Mozambique
mozambique.gif




South Sudan


BAHAMAS
bahamas.gif


JORDAN
jordan.gif



Haya ya kwao hii hapa

318145_264683836950900_100002278567469_562734_171476896_n.jpg



Hapo vipi?



Hapa tunaongelea TZ na vyama si bendera za taifa/nchi fulani. Wamekosa rangi????
 
1.Mpangilio wa rangi
•CDM~inaanza na light blue lkn ADC inaanza na Red
2.Alama zilizotumika
•CDM wametumia alama za V(vidole viwili) wkt ADC wametumia alama ya Nyota

Hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Upuuzi utaendelea kuwa upuuzi. Rudi CCM wakufunze vizuri ulaghai.
 
labda mwingiliano wa rangi ila hazifanani kabisa kuweza kusababisha chadema walalamikie hili.


hivi wadau mlishawahi kuangalia bendera ya tanzania ????? Kama mpo makini basi mtagundua kuwa blue inayotumika kwenye bendera ya tanzania(tanganyika) sio komoni. Wakati mwingine inakoa na wakati mwingine inakuwa kama blue bahari ama inapauka kidogo!!! Kwa mantiki hiyo naamini kabisa kina namna hapa maana rangi za hiki chama ni za cdm kabisa . Tendwa anajua hilo (shida ya huyu mzee ni mamluki!!!)
 
hawa dac ni w.a.s.e.n.g.e. Wanataka kufanya mambo yafuatayo waliotumwa na ccm:
  1. kupunguza kura kwa kuwachanganya wasiojua kusoma na kuandika wachanganywe na rangi
  2. kujifanya kuwa ni wapinzani walio na mwelekeo wa cdm
kuthibitisha hoja yangu nina maswali yafuatayo: Je walikosa rangi nyingine mpaka cdm wabuni nao wakopy? Ufafanuzi nwa bendera yao ni upi kwa maana ya kila rangi inasimamia nini? Na vinyota je? Nasikia uzinduzi wao umefadhilriwa na mafisadi, wanapinga hili?

i hate them! tayari wanaturudisha nyuma kule tulipotoka mpaka tukampata mkombozi chadema. Wanaturudisha nyakati za lyatonga a, dr. Masumbuko, bagenda, nk.

Kama wanapenda cdm kwanini hawakujiunga nacho. Hawa ni wahuni!

i hate them i hate the i hate them mamluki wakubwa hawa!!!!! Wametumwa na mafisadi ndio maana wakajitenga na cuf!!! Sasa mafisadi wameona wamefanikiwa kuwatenga hawa jamaa na cuf wakaamua watumie mbuni za kininja kuivuruga cdm kwa kuanzia na bendera!!!! Duh! Kweli siasa za tanzania ni zimwi likujualo!!! Naomba mungu awalaazi wasambaratike kama ccj ......!!!!
 
Hapa tunaongelea TZ na vyama si bendera za taifa/nchi fulani. Wamekosa rangi????


Mkuu, Mimi nilikuwa namjibu Mkuu BornTown ambae alianza kufananisha structure ya Bendera yao na ya Taifa la Palestina - akitaka kututoa kwenye mada husika ya kwamba kwa nini katika rangi zote duniani wachague rangi hizo? - tena ambazo zinataka kufanana na rangi za Chama kingine?
 
Back
Top Bottom