Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Ghetto sio sehemu ya kuleta Malaya maana malaya kabla hajaingia kazini kuna michezo huwa wanafanya so naelewa Sana maana natokea Bukoba ambako Malaya wamezaliwa

Then kuhusu mademu personally usiruhusu kumuingiza gheto hii itakusaidia labda Kama hilo gheto haulali hapo.
 
Upo sahihi Mkuu.
 
Nilishakataa kumpeleka demu au Malaya gest wakati nachumba changu nimepanga nalipia. Huo ni ujinga kwenda lalia gest mashula yenye kunguni wa ufaransa na mashula yanayonuka shahawa Kama za mtoa post. Kila mtu na maisha yake naishi nitakavyo siangalii jamii itanionaje cause hawanilishi na hawaniveshi
 
Kuna malya na mademu mtoa post ujaspecify hapo kismingi ni mbaya sna kuleta malaya geto kwko ila shda sahv nayo ngum kujua nani nj malaya nani

sie maanaa kla mtu anauza kw staili yake ila mwnmke w heshma ambae unahs mnaeza kuw na malengo gest kumpeleka jau wakuu...

Ila vijana weng wkat bado wnajtafuta kuenda lipia gest wkat dem kausha dam kashamkausha naul ya kuja 5k -10k na nauli ya kuondokachukua10k na kuendlea atakula 5k hapo roughly kama 25k inakarbia kuisha bado akamplek gest ya bei chee atleast 10 mpka 15k kwhyo wakuu (40k )

for one night asee wakuu mnafnya kaz wp au sis vijana wngne n maskin sna kw mwendo huo tutafnya maendleo kwl???

Wakuu tuoneane huruma kidgo ela hatuna lakn bado mbususu tunaztka sio sisi ni mahitaji ya kibaiolojia

NB
Shida ni gharama hatumudu wakuu hata sisi atupendi tunaaminn tukioa tutahama mitaa tulioish basi
Alaf kumufurhsha kla mtu au jamii inayokuznguka no ndoto
Wakuu

Huwez mpndeza kla mtu
Utakuw mtu saf wanatkuja kukukopa majiran ukawakacha wanakuona mtu mvaya vilevle amna jema kw jamii muhm huingilii uhur wa mtu na maisha yake wla kumtukana usijichoshe

NAWASILISHA
 
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.

Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.

Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.

UZI TAYARI
Hadi karne hii unaishi kwa kuangalia watakuonaje watasemaje kijana unasafari ndefu sana.

Halafu wewe na hao mnaoshinda mnahesabu mademu walio ingizwa kwenye mageto ya watu ni kwamba hamna kazi za kufanya au ni ushamba ulio wajaa...?

Kijana ishi maisha yako hiyo wewe na hao wamama wenzio msio na kazi mpo majumbani kuhesabu nani kaleta nini na nani kaleta nn huo ni upumbavu huo muda tafuteni hata jiko na mahindi ya kuchoma mfanye hivyo achaneni na maisha ya watu .
 
Kuleta Demu sio inshu, inshu ni kule mademu kama una DANGURO ndani kwako.

Zingatia : BINADAMU HUPANDISHWA NA WATU NA PIA HUSHUSHWA NA WATU WALIOMZUNGUKA.
Mzee kuna big brother sijui umeiona....? Mbona unaanika ushamba wako hadharani
 
Sababu yawewe kupanga ni kula Mbunye?

HESHIMA HUWA INAJENGWA, HUWEZI JUA HAO WAPANGAJI UNAOISHI NAO WANAWEZA KUWA MASHEMEJI HUKO MBELENI. WAKAKUKATAA KWASABABU YA HISTORIA YAKO CHAFU.
Hamna mwanaume anaejielewa akamla mwanamke aliepanga nae nyumba moja
 
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.

Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.

Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.

UZI TAYARI
Mkuu inasikitisha sana, kama kijana una mademu wengi jitabidi kuchinjia atagest za bei chee kama kibunda hakisomi.

Yule utakaye muoa ndiyo umlete gheto
 
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.

Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.

Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.

UZI TAYARI

Ya kwako yamekushinda sasa unaanza kuhangaika na yawengine,walikwambia wanataka kujenga taswira nzuri,fanya yako acha kuhangaika na yadiyokuhusu.
 
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.

Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.

Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.

UZI TAYARI
Kwahyo kijana kapanga chumba chake unataka akatoe hela lodge alaf chumba kipo wazi hiyo image unayosemea kwenye jamii kama huna mkwanja huwezi ongelewa vizuri laaf sio kila mtu anaiogopa jamii kama unavyowaza usipotoshe vijana zaidi washauri wawe na heshima swala la mapenzi ngono mjini ni jambo la kawaida ukiona watu wanakusema kisa unaingiza madem geto basi wanakutaka au wanawivu juu yako au hawana kazi za kufanya
 
Yani nilipe kodi alafu nikapange guest kweli?? Huyo anae nifuatilia aendelee kunifuatilia tu hela nalipa mimi alafu nipangiwe wapi pakupeleka mademu!!

Inashangaza sana,yani niwe na geto halafu nikitaka kula mzigo nikalipie hela gest,sasa mana ya kupanga geto ni nini. ?
 
Mbaya zaidi Wanalala na malaya kwenye vitanda ambavyo wanatarajia kulalia na wake zao huko mbeleni.

NI LAANA JUU YA LAANA.

Vitatakaswa kwa maji ya mwamposa au tutauza na kununua vingine simpo acha kufanya maisha magumu sana kwa illusions
 
Back
Top Bottom