Unachobisha unakielewa Mkuu, au ndio unajipa moyo kuwa unachofanya ni sahihi?Mbona huna sababu za msingi mkuu,
Kwa mimi naon waendelee tuu kam sababu n hzo
Ila kam kuna zngne za msing lete
Kama unaleta madem na ni watu wazima wanakunyooshea vdole au wanakupmia heshima sio karne hii
Mimi nitafanya hvyo cha msingi watoto wadogo wasijue linaendelea.
Yani nilipe kodi alafu nikapange guest kweli?? Huyo anae nifuatilia aendelee kunifuatilia tu hela nalipa mimi alafu nipangiwe wapi pakupeleka mademu!!Soma Post no.12
Una hoja usikilizweMbona huna sababu za msingi mkuu,
Kwa mimi naon waendelee tuu kam sababu n hzo
Ila kam kuna zngne za msing lete
Kama unaleta madem na ni watu wazima wanakunyooshea vdole au wanakupmia heshima sio karne hii
Mimi nitafanya hvyo cha msingi watoto wadogo wasijue linaendelea.
Sababu yawewe kupanga ni kula Mbunye?Yani nilipe kodi alafu nikapange guest kweli?? Huyo anae nifuatilia aendelee kunifuatilia tu hela nalipa mimi alafu nipangiwe wapi pakupeleka mademu!!
Acha maneno mengi yasiyokuwa na msingi ila ningependenda nijue kwanza jinsia yako maana nisije kuwa napoteza mudaSababu yawewe kupanga ni kula Mbunye?
HESHIMA HUWA INAJENGWA, HUWEZI JUA HAO WAPANGAJI UNAOISHI NAO WANAWEZA KUWA MASHEMEJI HUKO MBELENI. WAKAKUKATAA KWASABABU YA HISTORIA YAKO CHAFU.
Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARIni
Mpaka likizo iishe tutaona threads za kipumbavu humu, hebu nendeni hata tutionAisee!
Mimi naitwa Bwana MTOMBANGILE KITWANGO MIKAZO nadhani mpka hapo utakuwa ushaijua jinsia yangu.
Ah wee wacha watu wagegede gharama za lodge balaa bwanaHabari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARI
Mbaya zaidi Wanalala na malaya kwenye vitanda ambavyo wanatarajia kulalia na wake zao huko mbeleni.kulala namalaya ni kosa yani kumpeleka unako lala wew ni kosa jingine kubwa ndio maana vijana mishe zinakua ngumu kila kukicha
vitabu vya dini vimekataza kuwa karibu na malaya
Job true true.kulala namalaya ni kosa yani kumpeleka unako lala wew ni kosa jingine kubwa ndio maana vijana mishe zinakua ngumu kila kukicha
vitabu vya dini vimekataza kuwa karibu na malaya