Accounting Software needed!!

Many thanks for the info ila budget yangu hainuruhusu.

Asante mkuu

WEWE vipi, laki 5 training na istallation? unataka software kweli au hujui nini maana ya SOFTWARE? naona hata ukiambiwa tumia EXcel utasema bajeti juu, watu wanakuna vichwa hapa kumbe mradi wenyewe matofali ya laki tatu........ EBO
 
Asante mkuu.............Maneno yoye ya nini hayo? Kama huna jipya jipange!! Hata kama ni mradi wa 50,000 hayakuhusu........
 
mi niliwahi kuidawnload kwenye net na ilikuwa inapiga kazi kinyama, lkn nilivyoomat machine na yenyewe ikapotea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom