Accounting Software needed!!

alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
88
Wana jamii naomba kuwakilisha hoja kama ifuatavyo:

Tafadhali mwenye uzoefu wa accounting software ambayo ninaweza kuipata kwa free au kuilipia pesa kidogo naomba anipe information.

Well i am planning to start a job in a religious community and they have many project coming up and i am the one who will start up to make proper records and they didn't have professional Accountant.

Nilipitia kwenye mtandao nikawa very interested na Microsoft Accounting but i just found it today that they no longer distribute the Software.

Please any one who is familiar with these things help me out so that i got the package that's is easy to use and to be able to understand it in a very short time.

Natanguliza Shukrani.
 
sasa sema exactly ni software ipi unahitaji na how much you have
nicheki kwenye 0719 122 954, i can get good one for you.
 
Nashkuru mkuu kwa quick reply. Labda ningefahamu accounting software ambazo unazo na kitu ambacho nimesahau kumention kuwa nataka software ambayo ita records all transaction in Tanzanian Shillings.
 
Prefarably ya PC,ingawa ninayo mac laptop but for the time being nahitaji ya pc zaidi
 
kaka nina software ya Tally na MyOB safi ninazo kama uko poa wasiliana na mimi kwa no 0718 265427
Nitakufanyia bei rahisi sana kwani unataka msaada nazingatia hilo.
karibu tuwasiliane
 
Mkuu nashkuru sana kwa moyo huo. Naomba nipate ushauri kutoka kwako kuhusu MyOB nimejaribu kuicheki nimeona ni nzuri ispokuwa nataka ushauri kwa waliotumia. Vilivile zingatia kuwa nataka transaction zote ziwe katika currency ya TZS na siyo dollars.
 
Ok nafikili Tally ni poa zaidi pia; Nadhani MyOB setting ipo ya Transaction kuwa Tzs ila setting hizo ni rahisi zaidi kwenye Tally ukiseti inakuwepo moja kwa moja.
 
Tally mimi ninayo lakini na prefer zaidi accounting software nyingine. Wacha nimeke decision halafu nitaku PM.

Thanks in advance!!
 
mimi ninayo lakini ni expensive, licence na training ni 1,000,000 kwa one other support services ni maelewano kama bajeti yako inaruhusu twaweza kuongea. iko very flexible supported by multicurrency and flexible report designing kama uko ndani ya bajeti hiyo ni PM
 
sorry kwa kuingilia kati.

Before I technically propose a good accounting package would like to know the following

1. size of your business and possibly an estimated volume of transaction you would have in a year
2. how many currencies will it support ( one or more than one? umesema iwe inatunza kwa Tshs ina maana hakuna foreign entry hata moja utafanya?)
3. Is it a standalone? or you opt to be used by many people concurently in the future?
4. What modules are taken care of ( AR, AP, Cash Management/Banking, Fixed Assets registrar, Inventory and so on?)
5. Kind of reports, will you demand ad-hoc reports in the future?

Note:

You need to have accounting principles before you can be able to use an accounting software. kumbuka you will be required to produce standards reports and respond to queries from other stake holders like governement, shareholders, users and TRA
 
Sorry kwa kuingilia kati.

Nashkuru sana mkuu kwa info ila bajeti yangu hainuruhusu.

Mkuu nashkuru sana kwa info ila to be honest project ambazo ni kubwa ni Secondary school ambayo inaanza constraction by January 2010 na kuna project ya matofali ambayo ina run and other small projects.

To be honest my real demand for now itakuwa ngumu kusema till i face the real Environment ya kazi yenyewe and that's why nataka basic accounting software for starting then i will be able to know what is exactly needed!!
 
Ningekushauri you either go for Pastel or Accpac. Unawza ku customize reports ziwe in Tshs na zina multi currency. Je utakuwa unweka records za inventory ie purchases na issues?
 
Hi, mimi ninayo quick books, 2003 version. Instalation na training ni sh. Laki tano. Ni mult currency
 
Ningekushauri you either go for Pastel or Accpac. Unawza ku customize reports ziwe in Tshs na zina multi currency. Je utakuwa unweka records za inventory ie purchases na issues?

Nashkuru kwa ushauri mkuu, kuna mradi wa matofali kwa hiyo ni manufacturing industry na shule ya secondary.
 
Napenda kutoa taarifa kuwa kuna mdau ameniahidi atanipatia Microsoft Accounting nikiipata na kukidhi haja yangu nitatoa taarifa.
 
sorry kwa kuingilia kati.

Before I technically propose a good accounting package would like to know the following

1. size of your business and possibly an estimated volume of transaction you would have in a year
2. how many currencies will it support ( one or more than one? umesema iwe inatunza kwa Tshs ina maana hakuna foreign entry hata moja utafanya?)
3. Is it a standalone? or you opt to be used by many people concurently in the future?
4. What modules are taken care of ( AR, AP, Cash Management/Banking, Fixed Assets registrar, Inventory and so on?)
5. Kind of reports, will you demand ad-hoc reports in the future?

kweli kaka niweke wazo kidogo me ninaweza jua ipi ni nzuri kwani ninazo nyingi kidogo kama:

Hizi ni Group za Account Software
  1. Low-End Accounting Software Market
  2. Middle-Market Accounting Software Market
  3. Beginning ERP Market
  4. Tier 1 Market
Ninajumla ya software 40 (Best Accounting Software) kaka kama uko poa basi naomba nijulishe na pia chakua number hapo juu kama ni group
Me nafikili nitakusaidi kaka ukifanikiwa hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom