Access Denied

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Wandugu mwenzenu nina situation, mpenzi wangu wa moyo ameanzisha mgomo baridi toka last week saturday. Kifupi access yangu kwenye ile starehe yetu amei deny. Kisa ni kuwa nilipotoka ijumaa kazini nilipitia viwanja nikajisahau kumwambia hadi nilipo rudi saa tisa usiku,mwenzangu alinichunia tu na wala hakuonesha kukasirika ila tangu siku hiyo nanyimwa live tena saa ya kulala huwa anjipigilia nguo za kutosha. Sina shida sana na ile kitu kwani nina uhakika wa kupata hata kila siku ila najisikia kudhalilishwa kijinsia kulala na mtoto wa kike bila ku access ile kitu.
 
Pole sana binamu. Kwa hiyo tangu Ijumaa hujala chakula cha usiku au kuna mapoozeo mitaa ya kati. We mwache abane, ataachia mwenyewe zikimshuka.
 
Mitaa ya kati ninapooza mpwa ila unajua kulala kitanda kimoja na mtoto wa kike halafu usimpatie ile kitu inakera. Nilifikiria kumchunia lakini nimegundua nikimwacha atanikamata mchezo wangu wa kupitia mashoga zake.
 
Vunjeni ukimya.
Mawasiliano yataleta hali ya kawaida...Shida huja kwasababu kila mtu anamnunia mwenzio, hivyo amani kutoweka, na wewe ndo uliyeanzisha shida hiyo kwa kupitia mitaa ya kati bila kumstua mwandani wako!
Mwombe msamaha atakuelewa na kulegeza masharti!
 
Mkuu mawasiliano yapo sana tu, ukitukuta tunavyoongea huwezi hisi tunamgogoro, nilikwisha omba msamaha toka day one naona kama amekwisha panga adhabu yangu kabisa sidhani kama maneno yanaweza kumbadilisha.
 
Mitaa ya kati ninapooza mpwa ila unajua kulala kitanda kimoja na mtoto wa kike halafu usimpatie ile kitu inakera. Nilifikiria kumchunia lakini nimegundua nikimwacha atanikamata mchezo wangu wa kupitia mashoga zake.

Hahaha! Mpwa bana! Sishangai bimkubwa kukuchunia kama unamkandamizia mpaka mashosti zake. Nilijaribugi siku moja, sitarudia tena. Huo msala wake balaa.
 
Lakini ujue hakuna kitu inaleta heshima kama kuwakandamiza hawa mashemeji uchwara, mimi huwa marafiki wa my love wananiheshimu sana kwa sababu wote nimekwisha wakandamiza.
 
Wandugu mwenzenu nina situation, mpenzi wangu wa moyo ameanzisha mgomo baridi toka last week saturday. Kifupi access yangu kwenye ile starehe yetu amei deny. Kisa ni kuwa nilipotoka ijumaa kazini nilipitia viwanja nikajisahau kumwambia hadi nilipo rudi saa tisa usiku,mwenzangu alinichunia tu na wala hakuonesha kukasirika ila tangu siku hiyo nanyimwa live tena saa ya kulala huwa anjipigilia nguo za kutosha. Sina shida sana na ile kitu kwani nina uhakika wa kupata hata kila siku ila najisikia kudhalilishwa kijinsia kulala na mtoto wa kike bila ku access ile kitu.

Mkubwa,
unadhani hilo ni kosa dogo?
 
Kama unamzunguka mwenzio kwa ku-do na mashoga zake wewe hufai, na usirudie maana unaonekana kujisifia kwa uchafu wako huo. Kwani unapata nini zaidi kama sio kuhatarisha maisha ya mwenzio. Nayeye aki-do na marafiki zako itakuaye?. Akijua unastahili adhabu zaidi ya hiyo. Naomba ubadilike usitufanye wanaume tuonekane wabaya.
 
wewe cha kufanya mbembeleze tu si unajua jinsi wanavyopenda kubembelezwa, jidai mjinga mtoe out atarudi tu kwenye line
 
Kama unamzunguka mwenzio kwa ku-do na mashoga zake wewe hufai, na usirudie maana unaonekana kujisifia kwa uchafu wako huo. Kwani unapata nini zaidi kama sio kuhatarisha maisha ya mwenzio. Nayeye aki-do na marafiki zako itakuaye?. Akijua unastahili adhabu zaidi ya hiyo. Naomba ubadilike usitufanye wanaume tuonekane wabaya.

Du wewe niaje? kwani nina uhakika gani kuwa ha do na hao marafiki zangu? mimi wala sidhani kama inanihusu sana cha msingi ahakikishe mimi sijui kama mimi ninavyofanya kwa heshima. Yaani huyo mwanamke wako anaakili ndogo kiasi hicho? atumie mwanaume mmoja kipimo cha wote?
 
Mkubwa,
unadhani hilo ni kosa dogo?

sio dogo lakini pia si kubwa kiasi cha kuniadhibu adhabu hiyo, alitakiwa hata anifungie mlango nilale garden au hata anichunie sikumbili sio kunipa likizo.
 
Mpwa ina maana wewe kila siku lazima uingie studio???
 
wanaume wa kitanzania kweli mgogoro..yaani unathubutu kujisifia kuwa unagandamiza na shoga zake! huogopi maradhi?
nawasikitikia wanawake wa kitanzania ........
 
sio dogo lakini pia si kubwa kiasi cha kuniadhibu adhabu hiyo, alitakiwa hata anifungie mlango nilale garden au hata anichunie sikumbili sio kunipa likizo.

do one thing burn,
WHY DON'T YOU OPEN E NEW ACCOUNT WITH A DIFFERENT ID?
 
mwanamke kaanza kuchoshwa huyo na tabia zako.............karibu utapewa kifungo cha moja kwa moja! anowadanganya kuwa mkifanya mambo yenu wandani wenu hawajui nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom