Access bank wamenipa mkopo, msaada baa ipi Sinza ina wanawake wakali?

Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Mkuu dhamana umeweka nini?
 
Mabaarmaide wengi wa bongo wameshazeeka, kazaa mtoto/watoto katekezwa anakwenda kuwa baamarmaide. Nenda jangwani au mabibo Hostel utapata warembo, alafu ukionekana unanukia pesa ni ulimbo huo wananasa.
 
Aiseeee unamatatizo ww baadala upige planning ya project yako unaongelea biashara za malaya baba badilika
 
Pale Rombo Green View palikuwa na mizigo kiwango cha lami enzi hizo ila sasa nasikia wengi wanaumwa, kuna mada inaelekeza La Chaz, Sinza si pabaya nako.
 
Back
Top Bottom