Access bank wamenipa mkopo, msaada baa ipi Sinza ina wanawake wakali?

Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Nenda pale Rombo Greenview.
 
Mkuu ebu achana na huko sinza bana.....
Ebu panda bus ukuje huku Ushirombo, hapa makuti bar kwa kamanda Siro.
Kuna watoto wakali hatareee..... , tena wana vijungu vya haja, chura zao matata aiseeee...
Mkuu makuti mbali mno mwambie aende kwa Emma pub karibu na super market yeye anabadilisha wadada wa kazi daily atapata tu ila akumbuke kulipa deni la uzinzi.
 
Back
Top Bottom