Access bank wamenipa mkopo, msaada baa ipi Sinza ina wanawake wakali?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,434
Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
 
You must be joking...Ishakula kwakooo...
 
Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Umenichekesha sana mkuu....
 
Mkuu njoo ilala hapa nipo na washkaji wangu kwa Wapemba napata chipsi kuku nikimaliza naingia bar kupata Castle large baridi.
 
We mkuu siyo bure unanyota ya ucomedian..ulinza kwenda Iceland kuoa, ukaja na ishu ya kubikiri kule Malawi...Jana ulitaka kufyatua wa 6...leo unakwenda kubikiri mkopo wa bank..Anyway kila la kheri ila kuwa makini isije ikawa zamu yako.
Jamaa hatari anaunganisha episode tu
 
Back
Top Bottom