MAPENZI UPOFU
Member
- Sep 5, 2012
- 10
- 1
Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea kuuliza na jinsi interview zao zilivyo coz hii ndo interview yangu ya kwanza tangu nimemaliza chuo. mawazo yenu yatakuwa ya thamani sana kwangu, asante