Access bank recruitment

Asante mdau kwa kutoa taarifa hii, hata mimi nlipigiwa simu alhamis iliyopta niende ktk interviwe Mwanza, nmeambiwa nibebe calculator, passport sizze moja, cv na academic copies. MTAZAMO WANGU KHS VITU VYA MSINGI: vision (goal), mission yao, why apply for acess bank, your impact to the organization. Chek website yao angalau upate abc zao
utakuwa umesahau na application letter ndugu yangu. Vp umepata tetesi huwa wanatoa hesabu gani?
 
wadau ninashukuru sana kwa michango yenu na nitaifanyia kazi mara moja, currently napiga project flan na CRDB bank bt nitajtahid nitenge muda kufanyia kazi haya yote mloniambia, tuko pa1 sana
with regards.....
 
huh! hii bank naskia ni ya wajerumani..but ina mambo kama ya kihindihindi
 
Kwa wale mnaojiandaa na written interview ya Access bank wala hata usiumize sana kichwa. Ni maswali ya kawaida sana na si ya kihasibu kiasi hicho.
Mara nyingi jamaa huwa wanachukua watu wa kuanza nao kama loan officers, kwa hiyo kama ndo wanafungua tawi Mwanza maana yake wanahitaji loan officers tu, na position hiyo ni bachelor degree in any field, so wanachouliza ni vijihesabu vidogo tu vya kawaida sana na mtu yeyote anaweza kufanya akafanikiwa. Mimi nilihudhuria interview yao ndo nilikuwa nimemaliza chuo (computer engineering) nilifanya interview na nikafanikiwa kuajiriwa niliacha kazi hiyo baada ya kupata kazi ambayo kidogo inaendana na kile nilichokisoma. Kwa hiyo mtu yeyote asiogope kabisa. Interview ni ya kawaida sana na huwa ni tatu. Ya kwanza ni written, ya pili oral na ya tatu ni kumalizia mambo ya malipo n.k. Baada ya hapo utaingia kwenye training ya wiki tatu au nne na utafanya mtihani baada ya hiyo training, kama ukiufanya vizuri ndipo utapewa mkataba wa kazi.
Nawakieni nyote mlioitwa kwenye interview kila la heri
Thanks
 
God bless u for gud news u have given us. Thanx
 
hawa jamaa ni longolongo..package mbovu plus usumbufu kibao...mdogo wangu nilimweka pale ndani ya 1 month akapiga chini akaenda zake kuwa mwalimu private schools...mshahara kama laki 3 hivi kwa loan officer then full kuzunguka mjini kwa daladala hawatoi hata gari la kuzungukia field na utendaji wako unapimwa kwa kigezo cha wateja uliowaleta...KAAAZI NI KWAKO
 
Kfanye kazi pale for the sake of banking experience,usitegemee payment ya kihiiivyo....hope you got me,kama wakikupa loan officers,pata experience ili utafute sehemu nzuri zaidi,hii ni kwa sababu package zao ni MAUAJI...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom