Access bank recruitment

MAPENZI UPOFU

Member
Sep 5, 2012
10
1
Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea kuuliza na jinsi interview zao zilivyo coz hii ndo interview yangu ya kwanza tangu nimemaliza chuo. mawazo yenu yatakuwa ya thamani sana kwangu, asante
 
Walitoa nafasi nyingi please funguka unatakiwa kusadiwa based on which position you had applied
 
Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea kuuliza na jinsi interview zao zilivyo coz hii ndo interview yangu ya kwanza tangu nimemaliza chuo. mawazo yenu yatakuwa ya thamani sana kwangu, asante

1. Uliomba lini na nafasi gani?maana zilitangazwa nyingi
2. Simu umepigiwa lini?
3. Proffessional yako ni ipi?
4. Umeambiwa oral au written interview?
Then nitakujuza kinachofuata
 
walitoa tangazo kuwa wanafungua tawi jipya mkoani Mwanza so wanataka watu ambao wanasifa hzo moja wapo awe na 1st class or upper 2nd barchelor degree watume CV tu hawakuspecify positions, simu nimepigiwa juzi alhamis mchana na wameniambia ni oral interview ndani ya CBE Mwanza. me nimesoma Ba. Economics
 
Hapa naona kuna tatizo maana ni kweli kuna branch Mwanza inafunguliwa ila deadline ya application ilikuwa 06.October na huyu kaitwa alhamisi ambayo ni tarehe 04. October. Application zilikuwa zinatumwa kwa online
duh, hadi hii nayo sijaitwa?kazi kwelikweli....
 
Kuna maswali common ya interview nadhani unayajua au just google, zingatia mavazi. Lakuongeza n Utaulizwa maswali kuhusu profession yako, utaulizwa maswali kuhusu AccessBank hvyo pitia website yao ujue goals zake na company inafanya vipi kazi.
walitoa tangazo kuwa wanafungua tawi jipya mkoani Mwanza so wanataka watu ambao wanasifa hzo moja wapo awe na 1st class or upper 2nd barchelor degree watume CV tu hawakuspecify positions, simu nimepigiwa juzi alhamis mchana na wameniambia ni oral interview ndani ya CBE Mwanza. me nimesoma Ba. Economics
 
hata mi nimepigiwa simu friday, nimeitwa kwa intavyuu mwanza ila unajitegemea kila kitu. Nimeambiwa niende na peni na passport saiz 2. Ngoja tuone itakavyokuwa Mungu ni mwema
 
mie pia nimeitwa ila inafanyika mwanza tarehe 13 october.
 
walitoa tangazo kuwa wanafungua tawi jipya mkoani Mwanza so wanataka watu ambao wanasifa hzo moja wapo awe na 1st class or upper 2nd barchelor degree watume CV tu hawakuspecify positions, simu nimepigiwa juzi alhamis mchana na wameniambia ni oral interview ndani ya CBE Mwanza. me nimesoma Ba. Economics

umemaliza wap chuo?kama sio wa ifm,cbe,udom au TIA usijisumbue hata kwenda?
 
Asante mdau kwa kutoa taarifa hii, hata mimi nlipigiwa simu alhamis iliyopta niende ktk interviwe Mwanza, nmeambiwa nibebe calculator, passport sizze moja, cv na academic copies. MTAZAMO WANGU KHS VITU VYA MSINGI: vision (goal), mission yao, why apply for acess bank, your impact to the organization. Chek website yao angalau upate abc zao
 
Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea kuuliza na jinsi interview zao zilivyo coz hii ndo interview yangu ya kwanza tangu nimemaliza chuo. mawazo yenu yatakuwa ya thamani sana kwangu, asante

Asante mdau kwa kutoa taarifa hii, hata mimi nlipigiwa simu alhamis iliyopta niende ktk interviwe Mwanza, nmeambiwa nibebe calculator, passport sizze moja, cv na academic copies. MTAZAMO WANGU KHS VITU VYA MSINGI: vision (goal), mission yao, why apply for acess bank, your impact to the organization. Chek website yao angalau upate abc zao
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom