Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.
==
Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha