CHADEMA idhibitiwe haraka kabla haijaleta migogoro na hisia za Udini nchini

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,338
9,766
Ndugu zangu watanzania,

Kama chadema na wanachadema hasa viongozi wake wataendelea kupewa nafasi ya kuendelea kutoa maneno yasiyo na staha,yaliyojaa utata na udhalilishaji kwa dini nyingine yatachochea chuki za kidini na kulipasua Taifa letu.Haiwezekani kiongozi mkubwa wa chama kama lema mjumbe wa kamati kuu kutamka hadharani pasipo kuonywa wala kukemewa kwa kauli yake kuwa anakula kitimoto na waislamu mitaani. Hii haikubaliki wala haivumiliki wala utamaduni huu haupaswi kuvumiliwa hata kidogo.

Ikumbukwe ya kuwa kwa sasa chadema wameshajikatia Tamaa ya kisiasa,wamepoteza matumaini ya kutwaa dola na madaraka kwa njia ya sanduku la kura,ndio maana sasa wanatumia njia yoyote ile hata haramu kujaribu kupata uungwaji mkono hata kama ni kwa kuwagawa watu kwa misingi ya udini,ndio maana wapo tayari hata kutumia Udini tu ili kupata kura,ndio maana wapo tayari kushirikiana hata na shetani kuangamiza Taifa letu kwa uchu wao wa madaraka na Tamaa za fedha.

Ndio sababu wanaropoka na kutamka chochote kinachotua katika midomo yao,ndio maana hawana hofu kuleta Udini,ndio sababu hawana aibu kuwaingiza viongozi wa kidini katika kufanikisha ajenda zao,ndio sababu wanataka watugawe watanzania ili wapate upenyo, maana wanaona wamepuuzwa na watanzania na hawaaminiki na yeyote mwenye akili Timamu.

Sasa chadema wanataka wapande kisiasa kwa ngazi ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila,ukanda,jinsia n.k,maana hoja za kuwashawishi watanzania hawana na hawaaminiki tena,ndio maana kwa sasa wanamwaga na kutema sumu mitaani ili kuwadhuru watanzania,sasa ni nyoka wanaotambaa katika ardhi yetu wakitafuta wa kumgonga,.

Wanajuwa kuwa nchi ikiwaka moto wao watakimbilia ulaya na Marekani kutulia na familia zao,wanataka watanzania tunyoosheane vidole na kutazamana kwa macho ya Udini,ukabila na ukanda.Hiyo ndio hatua mbaya na ya mwisho ambayo chadema imefikia na kuitumia kama kete yake ya mwisho kisiasa ambayo hata hivyo haitafanikiwa.

Siku zote huwa nasema viongozi wa chadema na chadema kwa ujumla haina kiongozi wa kuwa hata waziri tu wa wizara,kwa kuwa imejaa na kuwa na viongozi walio jaa mihemko,wasio na staha wala heshima ya kiuongozi,wasio na udhibiti wa vinywa vyao,wasio weza kupima athari za kauli zao katika jamii,wasio wavumilivu wala watunza siri,wasio weza kumudu kuwa na mambo kifuani yenye maslahi kwa Taifa, ni wenye mioyo midogo kama sisiminzi kiuongozi,ni waliokosa busara, hekima na malezi ya kiuongozi,ni wakurupukaji na waropokaji wakubwa sana na hawafai kuwa viongozi hata wa familia tu maana watajenga familia iliyokosa adabu ,heshima na muelekeo.

Chadema ni mkusanyiko wa wasaka tonge,watu waliojikatia Tamaa kisiasa,watu wanaotafuta madaraka kwa njia za aina zote hata haramu na hatarishi kwa usalama wetu wa Taifa,Hawana sera wala ajenda wala hoja zenye kugusa maisha ya watanzania,hawana dira ya miaka kadhaa mbele ,ndio maana kauli zao ni zenye kutaka manufaa ya muda mfupi kisiasa bila kujuwa athari zake zaweza kudumu vizazi na vizazi kwa chuki na mpasuko wa Taifa kwa misingi ya Udini. Tuwakataeni na tuwapuuze,tuwakemee kwa nguvu zetu zote na tusiwaunge mkono, tusipandikizwe mbegu ya ubaguzi na tuseme hapana ubaguzi na hatupo tayari kubaguana watanzania,sisi ni wamoja bila kujali Dini zetu na sote ni watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kama chadema na wanachadema hasa viongozi wake wataendelea kupewa nafasi ya kuendelea kutoa maneno yasiyo na staha,yaliyojaa utata na udhalilishaji kwa dini nyingine yatachochea chuki za kidini na kulipasua Taifa letu.Haiwezekani kiongozi mkubwa wa chama kama lema mjumbe wa kamati kuu kutamka hadharani pasipo kuonywa wala kukemewa kwa kauli yake kuwa anakula kitimoto na waislamu mitaani. Hii haikubaliki wala haivumiliki wala utamaduni huu haupaswi kuvumiliwa hata kidogo.

Ikumbukwe ya kuwa kwa sasa chadema wameshajikatia Tamaa ya kisiasa,wamepoteza matumaini ya kutwaa dola na madaraka kwa njia ya sanduku la kura,ndio maana sasa wanatumia njia yoyote ile hata haramu kujaribu kupata uungwaji mkono hata kama ni wa upande mmoja tu wa Dini,ndio maana wapo tayari hata kutumia Udini tu ili kupata kura,ndio maana wapo tayari kushirikiana hata na shetani kuangamiza Taifa letu kwa uchu wao wa madaraka na Tamaa za fedha.ndio sababu wanaropoka na kutamka chochote kinachotua katika midomo yao,ndio maana hawana hofu kuleta Udini,ndio sababu hawana aibu kuwaingiza viongozi wa kidini katika kufanikisha ajenda zao,ndio sababu wanataka watugawe watanzania ili wapate upenyo, maana wanaona wamepuuzwa na watanzania na hawaaminiki na yeyote mwenye akili Timamu.

Sasa chadema wanataka wapande kisiasa kwa ngazi ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila,ukanda,jinsia n.k,maana hoja za kuwashawishi watanzania hawana na hawaaminiki tena,ndio maana kwa sasa wanamwaga na kutema sumu mitaani ili kuwadhuru watanzania,sasa ni nyoka wanaotambaa katika ardhi yetu wakitafuta wa kumgonga,. Wajuwa nchi ikiwaka moto wao watakimbilia ulaya na Marekani kutulia na familia zao,wanataka watanzania tunyoosheane vidole na kutazamana kwa macho ya Udini,ukabila na ukanda.Hiyo ndio hatua mbaya na ya mwisho ambayo chadema imefikia na kuitumia kama kete yake kisiasa ambayo hata hivyo haitafanikiwa.

Siku zote huwa nasema viongozi wa chadema na chadema kwa ujumla haina kiongozi wa kuwa hata waziri tu wa wizara,kwa kuwa imejaa na kuwa na viongozi walio jaa mihemko,wasio na staha wala heshima ya kiuongozi,wasio na udhibiti wa vinywa vyao,wasio weza kupima athari za kauli zao katika jamii,wasio wavumilivu wala watunza siri,wasio weza kumudu kuwa na mambo kifuani yenye maslahi kwa Taifa,ni wenye mioyo midogo kama sisiminzi kiuongozi,ni waliokosa busara, hekima na malezi ya kiuongozi,ni wakurupukaji na waropokaji wakubwa sana na hawafai kuwa viongozi hata wa familia tu maana watajenga familia iliyokosa adabu ,heshima na muelekeo.

Chadema ni mkusanyiko wa wasaka tonge,watu waliojikatia Tamaa kisiasa,watu wanaotafuta madaraka kwa njia za aina zote hasa haramu.hawana sera wala ajenda wala hoja zenye kugusa maisha ya watanzania,hawana dira ya miaka kadha mbele ndio maana kauli zao ni zenye kutaka manufaa ya muda mfupi kisiasa bila kujuwa athari zake zaweza kudumu vizazi na vizazi kwa chuki na mpasuko wa Taifa kwa misingi ya Udini.Tuwakataeni na tuwapuuze,tuwakemee kwa nguvu zetu zote na tusiwaunge mkono,tusipandikizwe mbegu ya baguzi na tuseme hapana ubaguzi na hatupo tayari kubaguana watanzania,sisi ni wamoja bila kujali Dini zetu na sote ni watanzania.

Wewe ni mpunbavu
 
Dogo umeongea maneno mengi afu hujatoa hoja yoyote....chadema wamefanya Nini wewe🤣🤣🤣
 
Mkuu mbona nakupigia haupokei!?
 
Kuna watu ambao hata tukisikia umegongwa na Gari ukafa wengi wataendelea na majukumu yao.wala hawatajihangaisha na MAITI hiyo.Mmojawapo ni wewe KUBWA JINGA.
We unadhani pale CHADEMA Kuna waking ka wewe mbwa Koko mpenda kujikomba.

Ulivyo punguani unaweka na namba ili bwana zako wakutafute ili WAKUPAKUWE bwabwa wewe.
Kaa mbalimbali na Comment hi bwege wewe.
 
Back
Top Bottom