Aaaaa....!!Hii nini sasa.......!!!

Sa we mzee unalalamika nin?we twanga tu bana,sa kama kitumbua kinajileta chenyewe utakifanyaje zaidi ya kukila!

naapa, akijipendekeza mi natwanga. Lakini kwanini anaamua kunipenda wakati yeye tayari ameshaolewa.
 
Ungemtumia yeye huo ujumbe ungekua umefanya la maana kweli badala ya kujifanya umemaind hapa huku huko mtaani kwenu unamchekea na sio ajabu ukampa anachotaka.

Na khusu "wanawake kuwa na wendawazimu " take it back. . . huyo demu wako wa kitambo ndie mwenye wendawazimu

huu ni wendawazimu. Haiwezekani anipende wakati ameshaolewa.
 
Mzee,
bado unakulaga tu?
Labda yule jamaa aliyekulia binti yako alifanya makusudi kama kisasi kwa unayoyafanya?
Anyway hili swala la kula na mimi linaniandama
 
We mzee koma......tena koma ukomae! Mwendawazimu wewe na huyo demu wako, usituhusishe na huo uchafu wako......alah!! Kama umemaind mfate huko huko ukamwambie live. Sio unajifanya kuachama achama hapa, ilhali akija mnazini wote........and as far as your last statement is concerned, we na yeye nani *****?? Again we unamheshimu mkeo?
 
Mzee,
bado unakulaga tu?
Labda yule jamaa aliyekulia binti yako alifanya makusudi kama kisasi kwa unayoyafanya?
Anyway hili swala la kula na mimi linaniandama

usinikumbushe ya binti yangu tafadhali sana eeeh.
 
We mzee koma......tena koma ukomae! Mwendawazimu wewe na huyo demu wako, usituhusishe na huo uchafu wako......alah!! Kama umemaind mfate huko huko ukamwambie live. Sio unajifanya kuachama achama hapa, ilhali akija mnazini wote........and as far as your last statement is concerned, we na yeye nani *****?? Again we unamheshimu mkeo?

dada punguza hasira. Huyo ni kama representative.

Wanawake wana similarities nyingi ukilinganisha na tofauti zao. Ndio maana nimeamua ku-generalise.
 
anaanzwa na alphatbeti mkuu. Amenikera sana.

Najiuliza je mke wangu naye anafanya huu upuuzi?. Kichwa kinauma.

Acha zinaa na ulafi wa wanawake we Mzee!!
1. Umesema una demu wako wa muda mrefu sana kumaanisha mpaka anaolewa bdo ulikuwa unamahusiano naye na unampango wa kudumisha mahusiano hayo kama yeye atataka.

2. Licha ya existance ya hali hyo ktk kipengele 1 hapo juu, Unasema una mke.

MWOSHA HUOSHWA, NA POPO MLA MWENZIE NAYE HULIWA..
 
naapa, akijipendekeza mi natwanga. Lakini kwanini anaamua kunipenda wakati yeye tayari ameshaolewa.

Mbona wewe umeoa pia bado watembea nae????
Hii ya kwenu ni ngoma droo!!!!
Na wote nyie ni wahuni tu na ndio maana hamuheshimu hizo ndoa zenu!!!!
 
Acha zinaa na ulafi wa wanawake we Mzee!!
1. Umesema una demu wako wa muda mrefu sana kumaanisha mpaka anaolewa bdo ulikuwa unamahusiano naye na unampango wa kudumisha mahusiano hayo kama yeye atataka.

2. Licha ya existance ya hali hyo ktk kipengele 1 hapo juu, Unasema una mke.

MWOSHA HUOSHWA, NA POPO MLA MWENZIE NAYE HULIWA..

Huyu mzee hajiheshimu hata kidogo!!!!

usinikumbushe ya binti yangu tafadhali sana eeeh.

Ngoja na wakuharibie pia binti yako na mkeo kabisa!!!! :A S-coffee:
 
Kuna demu flani hapa mtaani, next wiki anaolewa. Ni demu wangu wa kitambo sana. Ameshaniaga kuwa anaolewa.

Jana amenitumia sms kuwa japokuwa anaolewa ila hatoniacha. Bado ananipenda sana. Na dozi zangu hatozisahau, na anatamani ziendelee.

Hapa najiuliza
Hivi nyie wanawake mna wendawazimu?. Kwanini ukubali kuolewa na mtu usiyempenda.

Mnakera sana, Heshmuni waume zenu.

Akijileta mi natandika.
Usijigambe kwani unahatarisha uhai wako kwa vitu viwili 1. Huwezi jua ya huyo mume wake na pengine alikua na wanawake wengine 2 akigundua we ndie unayeiba mali zake ujue patachimbika
 
dada punguza hasira. Huyo ni kama representative.

Wanawake wana similarities nyingi ukilinganisha na tofauti zao. Ndio maana nimeamua ku-generalise.

ungejibu swali langu kwanza ndo ningejua ukilaza wako zaidi, achana na hilo ambalo mods wamefuta as if nimetukana! Btw, talking of representative, would it be fair kama nikikuchukulia wewe as a representative of all men? Eti nyie wanaume mliomo humu jf, mzee ndo anabeba tabia zenu?
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Hapo kwenye red hapana. Wanaume tunatofautiana sana. Wako wale wanaopenda huo mchezo sana tangu ujanani mpaka wanazeeka na kuwa wazee. Wapo wengine wanafanya na kujitangazia ili waonekene ni exceptional mbele ya wanawake. Wengine wanafanya lakini hawajitangazi. Wengine hawafanyi kabisa. Mzee anaweza akawa anawakilisha kundi moja hapo juu, lakini sio wanaume wote.

Pia huyu mwanamke wa Mzee atakuwa anawakilisha kundi la wanawake fulani lakini sio wanawake wake b’se wanawake nao wanatofautiana. Whether Mzee anasema ukweli, uongo au anajipendeza wapo wanawake wa aina hiyo. Tatizo ni pale anapodai kuwa huyo mwanamke anawakilisha wanawake wote including mama yake mzazi, dada zake, shangazi, mke wake/atakayekuwa mke wake, binti zake (kama anao), mke wa Rais wetu, nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom