Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,489
- 1,814
Mwaka 1970.........nimeshindwa hata niseme nini...
Huyu anataka kufanya supplementary test
Mwaka 1970.........nimeshindwa hata niseme nini...
Huyu anataka kufanya supplementary test
Wala siye sio tunaokuwekeni "nyumba ndogo"?
hiyo ngekewa uwezi kuwa nayo, Kumweka nyumba ndogo mwanamme
Temea mate chini, ni Mzanzibari mie!
Pakawa mke wangu nampenda lakini yeye alifuatia huyo niliempenda na laiti ningepata nafasi kwa huyo wa mwanzo basi stori ingekuwa nyengine.Ngekewa Heshima mbele mkuu! Mimi naona nitatofautiana kidogo na waliotangulia kuchangia mawazo yao. Naomba nianze na swali kwako kabla ya ushauri. Mwanamke uliyemuoa ulimpenda unampenda au ulifunga ndoa kwa sababu ilibidi????? Swali la pili ni a woman of ur dream alimpenda yule aliyeolewa naye au ilikuwa ni shinikizo la aina fulani kama ni wazazi au utajiri wa yule aliyemuoa?
Hata ungekuwa Mwarabu kabisa huwezi
Sina haja ya kujiuliza kwani nilijuwa kila kitu kina daraja lake.
miaka yote hiyo! Huyo si post menopausal? Utaenjoy nini sasa?
Tulia kwa ndoa achana na huyo mwanamama wa enzi hizo. Hayo mambo ya muda kitambo tu
Nakubaliana nawe na hili la kutunza ndowa lakini kumbuka "Old is Gold"