A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela

Makeshimiwa Spika, kwa kweli baada ya kusema hayo, mimi ningewaomba Wabunge wote pamoja na hata Wapinzani kwamba….shauri yenu, mimi mradi naomba tu, cha hakika sibembelezi! Ila ninachosema yeyote atakayepita katika njia ambayo Kabwe amepita, lazima tumuadhibu na kwa hiyo nakubalina na hoja ya Mheshimiwa Mudhihir kwamba Kabwe aadhibiwe na ni leo. Mheshimiwa Spika, Asante! (Makofi)


mANENO RED YALIKUWA AMRI KWANI ALIONGEA MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA ,NA HILI LILIKUWA ONYO KWA ENG.MANYANYA .

MWK, Nipe popote ANNE alipowahi kusema lolote juu ya hili jambo kama ulivyosema hapo awali.....But naamini kuwa binadamu huwa wanabadilika kulingana na wakati, matukio, mazingira, na hata matukio.

Ninachosisitiza ni kuwa tunahitaji muda wa kujua na pia anatakiwa kuonyesha dhahiri kuwa hakuna politics of revenge..........but aendelee na mapambano kwani yanaamsha wengi....
 
Siwezi kumhukumu mtu kwa dhambi ya mumewe ama mkewe ila nilitaka kuonyesha kuwa TINGATINGA lilikuwa ndio mwiba kwa Zitto.

Katika hili tuko pamoja na hata mama amesema over and over again kuwa alikuwa outrageously outraged (thanks Pundit) na uamuzi wa ku-vote na kumfukuza Zitto bungeni na ameendelea na huu msimamo hadi leo bila kujali tingatinga alisema na anasema nini leo bungeni.
 
Kura ya bajeti kesha haribu...Sidhani kama kupiga kwake kura kwa maslahi ya chama kilichokwapua pesa za EPA kutampa nafasi nzuri ya kupambana na mafisadi..Binafsi mama kachemsha kwenye kura zote za bajeti na Zitto.
 
Kura ya bajeti kesha haribu...Sidhani kama kupiga kwake kura kwa maslahi ya chama kilichokwapua pesa za EPA kutampa nafasi nzuri ya kupambana na mafisadi..Binafsi mama kachemsha kwenye kura zote za bajeti na Zitto.

Hayo ni mawazo yako na mtizamo wako na mimi sina tabia ya kulazimisha watu kukubaliana na kile ninachoamini mimi. Kwa mawazo yangu binafsi, bado hata sijaelewa ni kwa nini wabunge na wapambani wenzangu wamevote abstain badala ya no - ila sidhani kama nitawakumu kutokana tu na kile walichofanya leo hii bungeni.
 
If your husband can not talk in public about Mafisadi and he was one of them during Mwinyi time how can we trust you??? umbeya tu huu
 
If your husband can not talk in public about Mafisadi and he was one of them during Mwinyi time how can we trust you??? umbeya tu huu

Naona wewe ndio uko kwenye zama za mawe ambapo wanawake walikuwa ni second class citizens na walikuwa wanahukumiwa kwa vitendo vya waume zao. Karibu kwenye karne mpya ambayo wanawake ni as independent as you can hate them to be!
 
Mtafuteni Mama wa bongo na sisi tutamtafutia OBAMA wake halafu tuone ni mbwa yupi atakamata yupi.
 
Mtafuteni Mama wa bongo na sisi tutamtafutia OBAMA wake halafu tuone ni mbwa yupi atakamata yupi.

naona mkuu umeanza kutoa amri hapa kuwa watu wamtafute mama na nyie mnamtafuta Obama?! Huyo Obama anawakilisha nini na nani kwenye mambo ya Tanzania? na huyo "mama" unayemuongelea hapa ni nani na anawakilisha nini na nani hapa JF?
 
Can i answer on be half please?

It Was Stella Manyanya ,she was also a member of Mwakyembe Richmond team.

Eng, Manyanya she was the only one within CCM who she stood up in the Parliament and said no to suspension to Zitto but not this MAMA Please.

The one who puts the last nail in Zittos coffin was mzee TINGATINGA,.

Sasa hapa ndugu yangu ulitaka Mama wa watu afanye nini? Aombe talaka au aingie kwenye kichwa cha TingaTinga na kumwambie asipigilie huo msumali au pengine ulitaka atembeze mkwara wa mgomo ndani ya nyumba.
 
A ndio vote from me Mama Kilango,,all the best kwa manufaa ya watanzania...hakuna kulala mama

Kweli nyerererist.

Kuna watu wanajipanga na kuunda vikosi kabambe eti kupambana na watu kama Mama Malecela. Katika hili nakuhakikishia wewe mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata - Rostam Azizi na hao wenzako kuwa hamtafanikiwa.
 
Kama mume wako au mke wako ni mfisadi halafu unaenda kuhutubia watu kuhusu ufisadi ni umbeya. Huyu mama anatafuta umashuhuri tu ni mnafiki mkubwa. Mwafrika wa kike tofuta mtu mwingine kwenye harakati zako za mapinduzi lakini huo ndiyo ukweli mama kaoa fisadi.
 
Kama mume wako au mke wako ni mfisadi halafu unaenda kuhutubia watu kuhusu ufisadi ni umbeya. Huyu mama anatafuta umashuhuri tu ni mnafiki mkubwa. Mwafrika wa kike tofuta mtu mwingine kwenye harakati zako za mapinduzi lakini huo ndiyo ukweli mama kaoa fisadi.

Hapa sasa ndio unathibitisha kuwa umeishiwa hoja... hizo mila na tamaduni za zama za mawe hazina nafasi hapa JF. Weka ushahidi wa ufisadi wa mama Malecela na sio kumhusisha na chochote alichofanya mumewe ambacho bado hata hujakisema hapa kwa uthibitisho wowote ule.

Kama huna uthibitisho wa ufisadi wa mama basi wewe ndio mnafiki mkubwa ... yes I said it ... mnafiki mkubwa.
 
Msanii Msanii is WISE JF Senior Expert Member Join Date: Wed Jul 2007

Re: A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela

Mhhhh!!
am still watching, is too early to vote of trust for her, she might foam out but still wearing the usual coat.

Mkuu heshima mbele, kwanza ninashukuru sana kwamba umenisikia na kuacha mambo ya "makovu", sio kwamba sikuelewi hapana niko nyuma yako tu mkuu popote pale ninakumulika, hivi kweli wewe binafsi unaaminika na mkeo au watoto wako? Au jamii unayoishi? Sasa wewe hiii unayoitoa sio foam kweli? Under Nyerere wote tulikuwa tumevaa coat as usual au wewe uliwahi kusimama kichwa? Mbona hatukukusikia? Tuliwasikia wengine kina Baharia Memba au na wewe ulikuwemo kwenye kuteka nyara ile ndege maana hao ndio mashujaa tuliowasikia, kama hukusimama mkuu labda ni vyema kunyamaza tu! Maana what this has to do na mama kudai hela za EPA zirudishwe kweu wananchi?

What we want now is the statement from Government why did they not comply with mapendekezo ya kamati ya bunge?? i mean mwakyembe comitee as due three months has gone without a stable action on richmond saga.

Wahusika wote wa Richimonduli wameitwa tena na kamati ya Pinda na kuhojiwa kikamilifu, sasa uamuzi ni wa Pinda anasubiriwa kutoa uamuzi wake kama alivyoahidi, mama Kilango hawezi fanya anything mpaka
Pinda atoe uamuzi wake, na inaaminiwa atautoa kwenye hii bajeti yake, again this has nothing to do na mama Kilango kudai hela za EPA zirudishwe!


then where did mama Kilango were during the time when ANBEN was formed?

Watanzania wote tumejua madhambi ya mkapa baada ya kuambiwa na magazeti ya Mengi, tena majuzi tu sasa Mama Kilango alipojua tu kwanza akautengua mkataba wa mkapa na karamagi kule bandarani, alipojua tu kuhusu Richimonduli akamtwanga lowassa na wenziwe, alipojua tu kuhusu Kiwira akaanza mawe kama kawa na sasa yuko on top of it, hii mkuu sio hoja na haihusiani kabisa na mama Kilango kudai hela za EPA zirudi! Kama swali ni mama alikuwa wapi basi mimi na wewe pia tuliwa wapi?

At wich point was she during circufication of Zitto during Buzwagi hoja??? Did she vote to rule him out or did she regret on their (ccm) act?

The moment of the truth kwa hii ishu ilikuwa pale wabunge walipotakiwa kupiga kura against Zitto, Mama Kilango na Mwandosya walitoka nje hawakupiga kura, kwa hiyo hapa pia huna hoja mkuu! pia pamoja na vitisho vyote vya lowassa kwa kumtumia Buriani amtishe mama hakutetereka alimfuataa lowassa mwenyewe na kimuambia "....edward acha kunitumia mawaziri wako wajinga wajinga.....", that is wasup!

Might say i can smell something here, was her hubby being in nominee runners for president candidate for their party??

Haikuwa mara ya kwanza mumewe kugombea urais na hata ubunge! na what this has anything to do na EPA? hivi unajua kuwa mumewe alishawahi kukosa ubunge, sasa iyakuwa urais?


was she expecting something from that contest??
But if she is true we will know within days of campaigning for ballot.

Hakutegemea chochote, kwa sababu kwanza alikuwa mbunge tayari, halafu ni mfanya biashara mkubwa sana, pili ameweza kumshinda ubunge the mighty Yona, na kisha msoni wa kutupwa DR. Kaboyoka, ameweza kusitisha mkataba wa ufisadi bandarini, hakuna asichoweza now forward, na kumbuka alichaguliwa kwa kura za wananchi wa Same East!

Lakini ninakushukuru sana mkuu kuwa this time umejaribu kusimama kwa hoja ingawa ni hoja nyepesi nyepesi, lakini angalau sio maneno ya "Makovu".

Ahsante Mkuu Siko Mbali sasa kama kawa! Mwache mama afanye kazi yake aliyotumwa na wananchi wa Same East, ambao wamemuaminia sana ndio maana wakampa ubunge, sio sisi JF tuliompa, sasa tuwaheshimu pia wananchi wa Same East!
 
Kama mume wako au mke wako ni mfisadi halafu unaenda kuhutubia watu kuhusu ufisadi ni umbeya. Huyu mama anatafuta umashuhuri tu ni mnafiki mkubwa.

Unafiki ni kunyamaza kimya kama mwananchi huku nchi yako inaliwa na wahuni viongozi wachache, unafiki ni pamoja na kunyamaza kimyaa wakati nchi inaliwa kama mwanacnchi

halafu kiongozi mmoja tena mwanamke akipigia kelele wewe mwanaume mzima ni kumutukana sio tu ni unafiki, ila ni kuwa a coward, au fisi! kama sio u-hyena if you will!

Na what this has to do na EPA?
 
Heshima mbele wakuu, kwanza kabisa huyu mama ana dhamira ya kweli ktk kupambana na ufisadi,ana stahili pongezi maana tulikua hatujui kwamba 1996 waungwana walijikopesha kimykimya Bilioni 216 na mpaka sasa hazijarudi,huy mama kakosa support ndani ya CCM ndilo tatizo ninalo liona, wabunge wengine wa ccm waoga
 
Unafiki ni kunyamaza kimya kama mwananchi huku nchi yako inaliwa na wahuni viongozi wachache, unafiki ni pamoja na kunyamaza kimyaa wakati nchi inaliwa kama mwanacnchi

halafu kiongozi mmoja tena mwanamke akipigia kelele wewe mwanaume mzima ni kumutukana sio tu ni unafiki, ila ni kuwa a coward, au fisi! kama sio u-hyena if you will!

Na what this has to do na EPA?

Bravo Mkuu!! You made my day as well as my weekend. Thanks a lot!
 
Back
Top Bottom