A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

polisi waangalie record ya simu ni nani aliyemuita Dr usiku ule!kisha Wamuanike mnazi mmoja tumchinje
 
Katika taarifa ya habari mtu aliyekuwa akimtafuta mfululizo kwa siku tatu ni mtu wa Ikulu aitwaye kwa jina moja David na baadaye aliondoka kumfuata huyu David na baadaye akatekwa infront of him. Kwa mwenye akili anajua tu hii ni plan from some where
Mbona hili wala sio siri tena ... Jamaa alimpigia simu wakamalize maongezi LEADERS CLUB!!! Ulimboka akaondoka na Rafiki yake mmoja! Wakati wanongea na huyo Jamaa hakueelwana ...

Jamaa akapiga simu kwa hao wanjeshi walikuja kumburuza na kumchukua ... wakamuacha Rafiki wa ulimboka na huyo jamaa mwingine kwa kusema hatuwahitaji nyie tunamuhitaji Dr ulimboka ....!

Rafiki wa Ulimboka ... Akapiga simu kwa waaharakati wa Haki za Binadamu ..Hellen Kijo Bisimba at al .. na usiku huo wakaanza kumtafuta na kuripoti vituoa mbalimbali vya Polisi ...lakini Kila kituo wakidai ... hamjui huyo mtu .... labda waje asubuni .... na subuhi? Wapata habari toka kituo cha polisi tegata .... kaokotwa mtu ....blabalahhhh!!

Source. Hellen Kijo Bisimba!!
 
kuna kila dalili za Uhusika wa Serikali Dhaifu, Muhimu tumwombee Dr Ulimboka Apone haraka, Mungu ni mwingi warehema atamponyesha na A2Z zitakuwa wazi
 
Kesho nasi tutawajibu kwa vitendo kwa maandamano liwalo na liwe madaktari mjitokezi saa tatu nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii
 
kwa mujibu wa Dr Elisha Osati ni kwamba afisa wa ikulu alimpigia simu dr ulimboka muda mchache kabla ya kutekwa
 
Ndugu nadhani cc wapambanaji wote hakika ni jukumu letu kupiga magoti na kumwombea Dr. Ulimboka Mungu amponye maumivu, majeraha na daima serikali inahusika na hl. Pia niombe madaktari wote waungane na wagome kabisa hadi 1: madai yao yatakapotekelezwa, 2: walio mfanyia unyama Dr. Ulimboka wamekamatwa na kunyongwa.
 
Hizi ni tuhuma nzito sana kwa serikali. Siwezi kuamini kwamba serikali imehusika na uchafu huu, inawezekana labda walikuwa na ugomvi wa mabibi.
 
polisi waangalie record ya simu ni nani aliyemuita Dr usiku ule!kisha Wamuanike mnazi mmoja tumchinje
We unaongelea polisi kuchukua record ya simu wakati wao wanaongelea kuifuta ili kupoteza ushahidi!! Labda useme waje Scotland Yard ndo utapata haki. Au hukumbuki matukio yanayofanywa na polisi au usalama wa taifa yanavyopotezewa ushahidi? Mfano ni vinasa sauti viliwekwa chumbani kwa Dr Slaa wakati mbunge hadi leo hatujui iliishia wapi.
Hapa ni kumuombea mshkaji apone tu basi na kujipanga kuondoa ccm, no cha zaidi
 
kwa mwenye ushahidi wa uhakika aupeleke polisi au aongee na vyombo vya habari. tuache unafiki.

MOD: FUNGA HII THREAD!!!!!!!!!!!!!! HATUWEZI KUJADILI SWALA BASING ON RUMOURS / TETESI
 
Daah yaani ikulu ihusike na upuuzi huu huyu dr ni kainzi tu na hii cyo move ya serikali jamani mko dunia gani nyie cku hz kuna teknolojia km serekale ingetaka kumuondoa kiulaiiiniii angeondoka na ingekuwa poa tu mnaleta za abunuasi hapa
 
Mhola ahene.Nimesema hivyo kwa sababu kuna post humu inaonyesha kuwa alipigiwa simu na mtu asiyemfahamu akaenda peke yake.Sasa inashangaza aliendaje peke yake

Taarifa ulizozipata siyo sahihi. Alikuwa kwenye mjadala na madaktari wenzie wachache. Akaja akabebwa mzobemzobe na watu walijitambulisha kuwa ni polisi, wakapotea naye. Wenzie walienda kutoa taarifa polisi lakini kila walikoulizia waliambiwa polisi hawana taarifa ya tukio hilo. Akakutwa na wananchi alifajiri, wananchi wakatoa taarifa polisi.
 
Back
Top Bottom