A day in the Buddhist college

Mkuu kwa mchanganyiko wa taaluma ulizo nazo...anzisha kitu kama dhehebu lanye mrengo huru la kiafrika zaidi.
Kama kawaida unikumbuke niwe mtunza kapu la sadaq.
Tukishatanguliza shekeli tutafarakana tufanye bila shekeli zitakuja tu zenyewe
 
He believes in reincarnation, sounds kind of masonic (new age movement - meditation, opening of the third eye.au Dangerous staff bro), seeking enlightenment in Buddhism ( bro u'r seeking the light bearer I hope u know what that means). Advice: repent , follow Jesus Christ, seek salvation through him not some false enlightened demon possessed monks .
 
Aaamen
 
Duh duniani kuna mambo
I real miss that life, maisha ambayo kila hatua moja unajifunza kitu kipya kigeni kabisa na unajaribu kwa vitendo unapata matokeo ya kushangaza sana saa nyingine ya kutisha
 
Dalai Lama ni nani katika imani ya Buddha na ameoa na ana watoto?

Je ukiingia katika imani ya Buddha unaachana ya Imani yako ya Ubatizo/Mkristo?

Je Buddha wanaaminini katika Ubatizo?

Kuna Tetesi kwamba hawali Nyama ya Ngombe Sababu wanaabudu Ngombe Je kuna ukweli Juu ya Hilo?
 
Dalai Lama ni kiongozi wa Kibuddha kama ilivyo Papa
Mapadri wa Kibuddha hawaoi
Mojawapo ya kanuni kuu za Kibuddha ni kutokula kula nyama yoyote kwakuwa
Dalai Lama ni nani katika imani ya Buddha na ameoa na ana watoto?

Je ukiingia katika imani ya Buddha unaachana ya Imani yako ya Ubatizo/Mkristo?

Je Buddha wanaaminini katika Ubatizo?

Kuna Tetesi kwamba hawali Nyama ya Ngombe Sababu wanaabudu Ngombe Je kuna ukweli Juu ya Hilo?
Dalai Lama ni kiongozi wa Kibuddha kama ilivyo Papa
Mapadri wa Kibuddha hawaoi
Mojawapo ya kanuni kuu za Kibuddha ni kutokula kula nyama yoyote kwakuwa kula nyama maana yake ni kutoa uhai
Wale wanaoabudu ng'ombe wako kwenye utaratibu huohuo wa Kibuddha
Kwenye Buddhism kuna aina mbili au tatu
Buddhism kama philosophy na elimu ya kawasaki yeyote anaweza kusoma
Buddhism kama imani inayojumuisha habari za meditation jicho la tatu nk..bado yeyote anaweza kujifunza
Mwisho kuna Buddhism kama mafundisho ya Mapadri wa Kibuddha ambapo hapo inabidi uingie kwenye imani kamili
Ndani ya Buddhism hakuna ubatizo bali kuna ordination
 
Back
Top Bottom