Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,569
Mwaka Jana TANROADS walikuwa wanadaiwa billion 300. Hazijalipwa.
Mwaka huu TANROADS wanadaiwa 475 billion za Barabara.
Sasa kwa nini Serikali ina kiherehere cha kulipa DOwans
Mbona kwenye matangazo huanza hivi
"The Government of Tanzania has received funds from xxxx and want to use part of it in payment of construction xxx kilometers in xxxx District.
Tenders are therefore invited from elligible......"
Vile vile sheria ya manunuzi inakataza taasisi yeyote ya umma kuingia makubaliano yoyote kama hakuna pesa zilizotengwa. Taarifa za Waziri wa fedha huwa zinazumngumzia makusanyo yamefikia 90% + na matumizi 90% +....hayo matumizi hayajumuishi barabara?
Sasa kwa nini wakandarasi hawalipwi?