5000tsh REGISTRATION UDOM KILA MWAKA..,?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
naomba kujuzwa haka ka elf tano ambacho kila mwaka UDOM wanakachukua kwa ajiri ya Usaili,ili hali Watu wana reg.No na ID ZAO.zikionyesha mpaka mwaka wa kumaliza Chuo.

Napenda kujua kama ni halali au ka mradi ka bwana mdogo pale udom,yeye hujita Kuku alaliae a.k.a kondo Mweusi or Mr Tolu.
Naomba kutoa Hoja.
 
Nadhan ni kwa ajili ya wale wanaokaa pale chini ya vle vbanda wakisema wanafanya usajili kwa kuangalia risiti za watu na kugonga mihur tu kwenye makaratasi
 
Nadhani ipo ktk vyuo vyote. Ni wizi mtupu, wanaofanya usaili si wafanyakazi wa chuo, si wanalipwa mshahara kwa ajili ya wanafunzi!.

Huu ni wizi!!
 
Nika mladi kao kazuri ka mda mrf sana,kumbe ni ujambawazi huuu pambafu...
 
Waone viongozi wa serikali ya wanachuo watakupa maelezo sahihi. Hata kama ni move ya kukataa hako kamchango itaanzia huko huko chuoni. Maswali mengine wala si ya kuleta JF.
 
naomba kujuzwa haka ka elf tano ambacho kila mwaka UDOM wanakachukua kwa ajiri ya Usaili,ili hali Watu wana reg.No na ID ZAO.zikionyesha mpaka mwaka wa kumaliza Chuo.

Napenda kujua kama ni halali au ka mradi ka bwana mdogo pale udom,yeye hujita Kuku alaliae a.k.a kondo Mweusi or Mr Tolu.
Naomba kutoa Hoja.

msalimie prof wa kiswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom