4U (siyo 4R) za Rais Samia zitaliangamiza lile kundi la CCM toka kanda pendwa

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuelezea hoja yangu.

Mfano wa kwanza

Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na maridhiano (reconciliation), ustahimilivu (resilience) mabadiliko (reforms) na ujenzi mpya wa taifa (rebuild).

Akakilaghai (ulaghai) chama kikuu cha upinzani Chadema kuanza kukaa vikao na ccm ili kuyasaka maridhiano. Hoja na mapendekezo mengi yalitolewa ktk mazungumzo hayo.

Hakuishia hapo. Rais huyu aliunda kikosi kazi cha kupendekeza mabadiliko ya sheria. Hoja nyingi Sana ziliibuliwa na kupendekeza namna bora ya kuipatia katiba mpya. Naye rais aliibuka na kusema angependa katiba iandikwe na jopo la wadau na wataalamu pasipo kuleta zogo nchini. Watu wakapiga makofi na kusubiri utekelezaji .

Rais Samia akatumia mbinu ya kuchelewesha (ucheleweshaji) utekelezaji wa mapendekezo na hoja zalilizoibuliwa na vikao vya maridhiano na kikosi kazi.

Mwishowe rais kaja kupotosha(upotoshaji) kabisa kwamba katiba siyo mali ya wanasiasa bali ni mali ya wananchi. Hivyo elimu yapaswa kutolewa kwanza kwa miaka 3 ili wananchi waelewe ndipo iandikwe.

Mfano wa pili.
Aliwatumbua akina Lukuvi na Kabudi na akatulaghai watanzania kwamba anawafanya kuwa washauri wake lkn kumbe lengo ni kuwadhibiti wasifanye siasa za kuelekea 2025

Aliudanganya umma kwamba yeye anapenda sana kukosolewa lkn alipokosolewa na Ndugai kuhusu tabia yake ya kukopa mikopo sana alimtumbua haraka sana.

Tumeona pia kwenye ukosoaji wa sakata la DP World akina Mwabukusi wakipata shida, Dr. Slaa akivuliwa hadhi ya ubalozi na padre Kitima akinangwa hadharani na makamu wa rais.

Sasa kaingia kuzitunia 4U zake kwa wanaccm wa Kanda pendwa. Wanateuliwa kila uchwao na wao wanachekelea. Wanasahau kuwa mwanzo alionesha kuwachukia sana. Na hawajiulizi nini kimetokea hivi Sasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ndiyo wanateuliwa? Bila shaka anazitumia 4U ili kuyafikia malengo yake kisiasa. Baada ya hapo kundi hili toka Kanda pendwa litatupwa kama karai jalalani.

Tunzeni andiko hili siku moja itakuwa rejea muhimu kwenu.
 
Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuweza hoja yangu.

Mfano wa kwanza

Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na maridhiano (reconciliation), ustahimilivu (resilience) mabadiliko (reforms) na ujenzi mpya wa taifa (rebuild).

Akakilaghai (ulaghai) chama kikuu cha upinzani Chadema kuanza kukaa vikao na ccm ili kuyasaka maridhiano. Hoja na mapendekezo.mengi yalitolewa ktk mazungumzo hayo.

Hakuishia hapo. Rais huyu aliunda kikosi kazi cha kupendekeza mabadiliko ya sheria. Hoja nyingi Sana ziliibuliwa na kupendekeza namna bora ya kuipatia katiba mpya. Naye rais aliibuka na kusema angependa katiba iandikwe na jopo la wadau na wataalamu pasipo kuleta zogo nchini. Watu wakapiga makofi na kusubiri utekelezaji .

Rais Samia akatumia mbinu ya kuchelewesha (ucheleweshaji) utekelezaji wa mapendekezo na hoja zalilizoibuliwa na vikao vya maridhiano na kikosi kazi.

Mwishowe rais kaja kupotosha(upotoshaji) kabisa kwamba katiba siyo mali ya wanasiasa bali ni mali ya wananchi. Hivyo elimu yapaswa kutolewa kwanza kwa miaka 3 ili wananchi waelewe ndipo iandikwe.

Mfano wa pili.
Aliwatumbua akina Lukuvi na Kabudi na akatulaghai watanzania kwamba anawafanya kuwa washauri wake lkn kumbe lengo ni kuwadhibiti wasifanye siasa za kuelekea 2025

Aliudanganya umma kwamba yeye anapenda sana kukosolewa lkn alipokosolewa na Ndugai kuhusu tabia yake ya kukopa mikopo sana alimtumbua haraka sana.

Tumeona pia kwenye ukosoaji wa sakata la DP World akina Mwabukusi wakipata shida, Dr. Slaa akivuliwa hadhi ya ubalozi na padre Kitima akinangwa hadharani na makamu wa rais.

Sasa kaingia kuzitunia 4U zake kwa wanaccm wa Kanda pendwa. Wanateuliwa kila uchwao na wao wanachekelea. Wanasahau kuwa mwanzo alionesha kuwachukia sana. Na hawajiulizi nini kimetokea hivi Sasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ndiyo wanateuliwa? Bila shaka anazitumia 4U ili kuyafikia malengo yake kisiasa. Baada ya hapo kundi hili toka Kanda pendwa litatupwa kama karai jalalani.

Tunzeni andiko hili siku moja itakuwa rejea muhimu kwenu.
Hakuna Rais hapa, ni bomu Tena la kienyeji.
 
Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuelezea hoja yangu.

Mfano wa kwanza

Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na maridhiano (reconciliation), ustahimilivu (resilience) mabadiliko (reforms) na ujenzi mpya wa taifa (rebuild).

Akakilaghai (ulaghai) chama kikuu cha upinzani Chadema kuanza kukaa vikao na ccm ili kuyasaka maridhiano. Hoja na mapendekezo mengi yalitolewa ktk mazungumzo hayo.

Hakuishia hapo. Rais huyu aliunda kikosi kazi cha kupendekeza mabadiliko ya sheria. Hoja nyingi Sana ziliibuliwa na kupendekeza namna bora ya kuipatia katiba mpya. Naye rais aliibuka na kusema angependa katiba iandikwe na jopo la wadau na wataalamu pasipo kuleta zogo nchini. Watu wakapiga makofi na kusubiri utekelezaji .

Rais Samia akatumia mbinu ya kuchelewesha (ucheleweshaji) utekelezaji wa mapendekezo na hoja zalilizoibuliwa na vikao vya maridhiano na kikosi kazi.

Mwishowe rais kaja kupotosha(upotoshaji) kabisa kwamba katiba siyo mali ya wanasiasa bali ni mali ya wananchi. Hivyo elimu yapaswa kutolewa kwanza kwa miaka 3 ili wananchi waelewe ndipo iandikwe.

Mfano wa pili.
Aliwatumbua akina Lukuvi na Kabudi na akatulaghai watanzania kwamba anawafanya kuwa washauri wake lkn kumbe lengo ni kuwadhibiti wasifanye siasa za kuelekea 2025

Aliudanganya umma kwamba yeye anapenda sana kukosolewa lkn alipokosolewa na Ndugai kuhusu tabia yake ya kukopa mikopo sana alimtumbua haraka sana.

Tumeona pia kwenye ukosoaji wa sakata la DP World akina Mwabukusi wakipata shida, Dr. Slaa akivuliwa hadhi ya ubalozi na padre Kitima akinangwa hadharani na makamu wa rais.

Sasa kaingia kuzitunia 4U zake kwa wanaccm wa Kanda pendwa. Wanateuliwa kila uchwao na wao wanachekelea. Wanasahau kuwa mwanzo alionesha kuwachukia sana. Na hawajiulizi nini kimetokea hivi Sasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ndiyo wanateuliwa? Bila shaka anazitumia 4U ili kuyafikia malengo yake kisiasa. Baada ya hapo kundi hili toka Kanda pendwa litatupwa kama karai jalalani.

Tunzeni andiko hili siku moja itakuwa rejea muhimu kwenu.
Nashukuru umeandika kitu ambacho wenye jicho la tatu ndio wanaelewa.
Ni aibu sana kuwa na style hii ya uongo.zi ktk nchi.
 
Back
Top Bottom