lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
(hapo kwenye red) ...sisi bado unakuta vibao vya "usikae hapa", "usipige picha hapa" kama ni jeshini au kwingine!!!Thanx. Hii itasadia kuwaelimisha wa TZ kuwa wapo watu wanafanya kazi dunia na wanauwezo wa kutambua yanayotokea ndani ya taifa lako. Tunahitaji kuwekeza sana kwenye elimu hasa ya sayansi kama tunataka kufika walipo wenzetu hata kama ni baada ya miaka 1000.
Inabidi kuchukua tahadhari maana uzoefu unaonyesha kuwa yakitokea sehemu inaweza kuwa zaidi ya mara moja kwa mida inayokaribiana.
Poleni sana