4.8 magnitude earthquake hits Arusha

WADAU WA ARUSHA MMEIPATA HII YA TETEMEKO LA ARDHI LA ARUSHA NASIKIA LINA MAGNITUDE YA 4.8 LIMEANZIA BABATI KWA MAELEZO ZAIDI FUATA HIZI LINK

usc0002ry3_ciim.jpg


NA HII Magnitude 4.8 - TANZANIA
 
Its a volcanic active area prone to earth quake. Ule mlima (Oldonyo ....) uliokuwa unatoa moshi ni sign ya active volcano. Hata Mbeya
 
Maeneo ya singida, iramba, kinampanda, kyengege, mugundu, ulemo, dago, kiomboi na vitongoji vingine limetisa, limedumu kwa takriban sekunde 15, tetemeko limepigiwa ugelegele.
 
Earthquake Details

This event has been reviewed by a seismologist.
Magnitude
4.8
Date-Time
Friday, April 15, 2011 at 08:49:33 UTC
Friday, April 15, 2011 at 11:49:33 AM at epicenter
Location
4.257°S, 35.729°E
Depth
9.8 km (6.1 miles)
Region
TANZANIA
Distances
142 km (88 miles) SW (227°) from Arusha, Tanzania
212 km (132 miles) N (2°) from Dodoma, Tanzania
335 km (208 miles) ENE (76°) from Tabora, Tanzania
353 km (219 miles) SSW (200°) from NAIROBI, Kenya
Location Uncertainty
horizontal +/- 18.6 km (11.6 miles); depth +/- 4.3 km (2.7 miles)
Parameters
NST= 44, Nph= 45, Dmin=385.2 km, Rmss=0.75 sec, Gp= 68°,
M-type=body wave magnitude (Mb), Version=5
Source
U.S. Geological Survey, National Earthquake Information Center:
World Data Center for Seismology, Denver
Event ID
usc0002ry3
Magnitude 4.8 - TANZANIA
Tunahitaji vitu kama hivi hapa jamvini. Wenzetu wa ubashiri wa hali ya hewa hapa tz bado walikuwa hawajui lolote. Kwa ufupi Rukwa, Mbeya,Dodoma,Singida na Arusha ni njia ya tetemeko la aldhi. Limeshawahi kutokea mchana nikiwa Mpanda-Rukwa na limeshawahi kunitokea usiku nikiwa Njombe. Si mara zote lakini lina tabia ya kufuata maeneo yenye bonde la ufa au yaliyo jirani nalo. Wenye data zaidi mtujuze.
 
hata mtume muhammad s.a.w alipoteremshiwa wahyi na allah aliambiwa kua kiama kitatokea kama umweso.kwa hvyo huo ni mfano kwamba mungu anaweza na yupo na huo pia ni ukumbusho kwa yule mwenye mazingatio.poleni ndugu zangu wa arusha
 
Nikiwa mezani nimekuta laptop inacheza...Nikasimamakuangalia ninini kinafanya meza icheze, lakini sikuona kitu!
Mara nikasikia watu wanashuka ghorofani kwa kasi, nikaconfirm kuwa ni tetemeko!Lakini halikuwa kubwa sana!
 
hakuna mtabiri anayeweza kutabiri tetemeko nyie
so fa r tanzania tunapata very minor na huu ni mwendelezo wa yale ya japani . but huwezi .si mnajua next year 2012 ni end
Wako busy wanajivua magamba...
 
This is a scientific thing and has nothing to do with beliefs... the impact was strong and frightening on my exact location
 
Small earthquake rattles rural Tanzania
The Associated Press
More News

The U.S. Geological Survey says a 4.8-magnitude earthquake shook rural Tanzania southwest of Mount Kilimanjaro.

Friday's earthquake could be felt as far away as Nairobi, Kenya, by people on high floors of downtown buildings. Nairobi is 220 miles (350 kilometers) northeast of the epicenter.

The U.S. Geological Survey says the epicenter was 90 miles (145 kilometers) southwest of Arusha, Tanzania.

Africa does not have any known major earthquake zones. The area southwest of Mount Kilimanjaro is one of the few regions on the continent with regular seismic activity.

Small earthquake rattles rural Tanzania - KansasCity.com
 
poleni Arusha,
Mungu epushia mbali.... maana likitokea kweli sasa serikali ndio itakuwa imepata sababu ya kukwepa majukumu kisa? Tetemeko! Kama yale ya mtikisiko wa uchumi, Jk aliimba hadi tukajuta.
 
Nikiwa mezani nimekuta laptop inacheza...Nikasimamakuangalia ninini kinafanya meza icheze, lakini sikuona kitu!
Mara nikasikia watu wanashuka ghorofani kwa kasi, nikaconfirm kuwa ni tetemeko!Lakini halikuwa kubwa sana!
Mkuu umekuta laptop inacheza halafu unasema halikuwa kubwa!? au unalinganisha na la japan....lol
 
Back
Top Bottom