4.8 magnitude earthquake hits Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Kuna tetemeko hapa Arusha limetokea saa 11: 49...tutahabarishana zaidi

usc0002ry3_ciim.jpg
 
Mimi nilko ghorofa ya tano imebidi nijikaze kiume sikuwa na jinsi na bahati mbaya sana Tanzania hatuna watabiri wa hali ya hewa
 
Hata Dom limesikika kidogo ikanibidi nitoke nje baada ya kabati kubwa ya library kuanza kutetemeka duh! sasa kifo kimekaribia bongo
 
hakuna mtabiri anayeweza kutabiri tetemeko nyie
so fa r tanzania tunapata very minor na huu ni mwendelezo wa yale ya japani . but huwezi .si mnajua next year 2012 ni end
 
Earthquake Details

This event has been reviewed by a seismologist.
Magnitude
4.8
Date-Time
Friday, April 15, 2011 at 08:49:33 UTC
Friday, April 15, 2011 at 11:49:33 AM at epicenter
Location
4.257°S, 35.729°E
Depth
9.8 km (6.1 miles)
Region
TANZANIA
Distances
142 km (88 miles) SW (227°) from Arusha, Tanzania
212 km (132 miles) N (2°) from Dodoma, Tanzania
335 km (208 miles) ENE (76°) from Tabora, Tanzania
353 km (219 miles) SSW (200°) from NAIROBI, Kenya
Location Uncertainty
horizontal +/- 18.6 km (11.6 miles); depth +/- 4.3 km (2.7 miles)
Parameters
NST= 44, Nph= 45, Dmin=385.2 km, Rmss=0.75 sec, Gp= 68°,
M-type=body wave magnitude (Mb), Version=5
Source
U.S. Geological Survey, National Earthquake Information Center:
World Data Center for Seismology, Denver
Event ID
usc0002ry3
Magnitude 4.8 - TANZANIA
 
mimi nilikuwa kwenye gari nikasikia linatingishika nilivyogeuka kwa ghadhabu kuangalia nani anatingisha gari sikuona mtu kidogo nikaona watu wengine wanatoka ndani ya ofisi huku wakilalamikia kwa nini hatupewi taarifa ya vitu kama hivi wakati kuna watu wanalipwa kufuatilia vitu hivi
 
Earthquake Details

This event has been reviewed by a seismologist.
Magnitude
4.8
Date-Time
Friday, April 15, 2011 at 08:49:33 UTC
Friday, April 15, 2011 at 11:49:33 AM at epicenter
Time of Earthquake in other Time Zones
Location
4.257°S, 35.729°E
Depth
9.8 km (6.1 miles)
Region
TANZANIA
Distances
144 km (89 miles) SW of Arusha, Tanzania
212 km (131 miles) N of Dodoma, Tanzania
351 km (218 miles) SSW of NAIROBI, Kenya
482 km (299 miles) NW of DAR ES SALAAM, Tanzania
Location Uncertainty
horizontal +/- 18.6 km (11.6 miles); depth +/- 4.3 km (2.7 miles)
Parameters
NST= 44, Nph= 45, Dmin=385.2 km, Rmss=0.75 sec, Gp= 68°,
M-type=body wave magnitude (Mb), Version=5
Source
USGS NEIC (WDCS-D)
Event ID
usc0002ry3

Code:
Magnitude 4.8 - TANZANIA
 
4.8 is not small, it's medium quake....japan ndo wanaongoza duniani kwa teknolojia ya earth quakes lakini limewapiga, sembuse tanzania tunaopigizana kelele na katiba....hapa ni elimu kwa wananchi juu ya kuyakabili/kujiokoa pindi mambo haya yanapotokea.
 
Thanx. Hii itasadia kuwaelimisha wa TZ kuwa wapo watu wanafanya kazi dunia na wanauwezo wa kutambua yanayotokea ndani ya taifa lako. Tunahitaji kuwekeza sana kwenye elimu hasa ya sayansi kama tunataka kufika walipo wenzetu hata kama ni baada ya miaka 1000.

Earthquake Details

This event has been reviewed by a seismologist.
Magnitude
4.8
Date-Time
Friday, April 15, 2011 at 08:49:33 UTC
Friday, April 15, 2011 at 11:49:33 AM at epicenter
Time of Earthquake in other Time Zones
Location
4.257°S, 35.729°E
Depth
9.8 km (6.1 miles)
Region
TANZANIA
Distances
144 km (89 miles) SW of Arusha, Tanzania
212 km (131 miles) N of Dodoma, Tanzania
351 km (218 miles) SSW of NAIROBI, Kenya
482 km (299 miles) NW of DAR ES SALAAM, Tanzania
Location Uncertainty
horizontal +/- 18.6 km (11.6 miles); depth +/- 4.3 km (2.7 miles)
Parameters
NST= 44, Nph= 45, Dmin=385.2 km, Rmss=0.75 sec, Gp= 68°,
M-type=body wave magnitude (Mb), Version=5
Source
USGS NEIC (WDCS-D)
Event ID
usc0002ry3

Code:
Magnitude 4.8 - TANZANIA
 
Huo ukanda matetekemo huwa yanatokea mara kwa mara. Sijui serikali imechukua hatua gani za tahadhari... hata kwuafundisha watu nini cha kufanya in case tetemeko linakuwa kubwa. najua kuwa disaster preparedness yetu ni mbovu kuliko, hivyo ni vema ku-minimise effects kwa kuwafundisha watu jinsi ya ku-deal na mambo haya... tena ni njia cost effective ya kukabiliana na disasters
 
Back
Top Bottom