3G network...

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
987
131
salama wanatekno...guys nimesikia huduma ya tigo ya data ni nzuri...sasa mimi siwez kupata mtandao wao wanaodai ni wa 3G Napata EDGE tu....tafadhalini msaada kwa hl,shukran.

Bora wewe mm hata maana ya 2G, 3G na 3G+ sielewi ni nini kwani mtandao wangu wa Zai napata 3G (3.6Mbps) ila inakula hasa Airtel na Bonus ni za uongo hatupati.
Hebu tujuzeni tufanyenye hivi vi-Modem vya HUAWEI kuingia Tigo pia

2G,3G zote ni generation za teknolojia kadri inavyoongezeka na ufanisi unakuwa mkubwa,leo kuna nchi zinatumia 4G tayari

Ebu tufafanulie kwa kutoa japo data . ufanisia wa 2g ulikuwa ni dowload na upload kiasi gani na wa 3g dowload na upload inatakiwa kuwaje.?
Na je ni nchi gani hiyo wanapata huduma ya 4G? na je hiyo 4G sifa zake ni zipi. Neno kuongezeka ufanisi tu si jibu la kiteknolojia wala kitaalamu.

Watu ni vizuri wajue specifc benchmarks za kutofautisha. mtashangaa kujua hata hizo wanazosema ni 3G data service zake ni 2G. So watu wanauziwa majina

kwa ambao hawaelewi wikipedia ni shule ya bure...mi naomben tu msaada jaman!kwan hyo 3g ya tigo inapatikana kwnye modem tu?cuz me nataka kwnye cm,airtel,voda napata 3g safi,kasoro tigo,au ni dar peke yake coz mi nipo rock city bt ni city center...mwanga zaid unahitajika wakuu.

Bora wewe mm hata maana ya 2G, 3G na 3G+ sielewi ni nini kwani mtandao wangu wa Zai napata 3G (3.6Mbps) ila inakula hasa Airtel na Bonus ni za uongo hatupati.
Hebu tujuzeni tufanyenye hivi vi-Modem vya HUAWEI kuingia Tigo pia
kama unatumia airtel hakikisha unasubscribe to one of their bundles, Internet, DataSiku, DataWiki au FullData, bila kufanya hivyo inakula sana pesa

Ya tigo wadau humu wanadai ipo kwa dar tu.

wajinga sana hawa tigo,cjui cku zote hzo walikua wamelala wapi wakat nakumbuka wao ndo kat ya mitandao ya kwnza kuanza kutoa huduma ya gprs...voda wakafata,lakn angalia bdo yamelala tu mpka leo mikoa mikubwa kama mwanza,arusha haina 3G network yao...rubbish.

Upo wapi wewe?mbona mi natumia tigo na ninapata 3.5G,tena cku hz safi sana coz tshs 2500 unapata unlimited internet access,unadownload kwa kujiachia wiki nzima..

mwanza mkuu...katikat ya mji kabisa!

Upo wapi wewe?mbona mi natumia tigo na ninapata 3.5G,tena cku hz safi sana coz tshs 2500 unapata unlimited internet access,unadownload kwa kujiachia wiki nzima..
Tsh 2500 unlimited wiki? may be i miss something here

kwa ambao hawaelewi wikipedia ni shule ya bure...mi naomben tu msaada jaman!kwan hyo 3g ya tigo inapatikana kwnye modem tu?cuz me nataka kwnye cm,airtel,voda napata 3g safi,kasoro tigo,au ni dar peke yake coz mi nipo rock city bt ni city center...mwanga zaid unahitajika wakuu.

Ni kweli nami nimeona kitu hicho. Kwa dar 3g waipata ktk tigo but ukianza pwani moro nk inakua edge mara sijui gprs

Tigo hovyo kabisa ni Tsh 3000 na si 2500 ,unlimited ya uongo ukdownload kidogo tu wanakata ,unaanza upya tena halafu inakatika mara kwa mara mpaka kero mi niko Dar sasa,inabidi nirudi Zantel ingawa nao ni warasimu

tigo mbona ndio the best jamani for now lakini!!! Me nna nokia 5800 XpressMusic 8Gb... Kwa 3.5g nadownload torrent movie ya 700Mb over night with symTorrent(app ya simu ya kudownload torrent kwenye simu) then na tranfer to my PC kuangalia. Just leave the phone charging!

jamn mmeongea meng lakin mm nataka kuc c tiza kwamba tigo ni mpango mzma maana mm nilijiunga juz kwa 450 mbaka leo na2mia kwenye modem tena inakuwa unlimited !!! pia yule anaye experince tatizo la edge o 2g hii ni kw sabab line yake ya cmu aija konectiwa na 3g xo anitajika kuifikisha pale tigo ili waweze kumwonganishia 3g !! mm mwenyewe ilishantokea lakin ckuy hz fresh

ahaaa kwa hyo kumbe mpaka uende tigo sio...thanx man that was smthn i lookn for.

You are'nt missing anything! Tigo bado wana 3000 kwa siku,na siyo unlimited download kama wanavyodai. Hawa jamaa wanakupa lugha ya ulimited download lakini wanachofanya ni kuwa wana limitation waliyoiweka ambayo ukifikia wakutumia msg kukutaarifu kuwa umefikia mwisho wa limitation SO Download speed yako itakuwa reduced to 0.5. Is This Free? Is It Fair anyway? Huu ni owngo na ni wizi pia!
Tsh 2500 unlimited wiki? may be i miss something here

SIo kila tower ya Tigo inasupport 3G so inategemea upo eneo gani hata ukiwa na settings sahihi.

Back
Top Bottom