3g join air

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wakubwa mambo vp?
Natumaini wote wazima.
Ndugu zangu nina tatizo kuhusu kuchakachua modem ya huawei e153,huwa napenda kutumia huawei modem unlocker ya temporaly,sasa pc ambayo natumia ni service park2 ambayo ni window ya old huwa haitaki kufunguka hii program Huawei modem unlocker,
sasa naombeni mnisaidie kuhusu kutatua hili tatizo,sasa nataka kupata elimu kuhusu 3g join air inafanyaje kazi kwenye kuchakachua hii modem yangu ya Huawei e153.
 
broda hapo lazima uwe na window xp spck 3 au zaidi ndo itakubali
 
Wakubwa mambo vp?
Natumaini wote wazima.
Ndugu zangu nina tatizo kuhusu kuchakachua modem ya huawei e153,huwa napenda kutumia huawei modem unlocker ya temporaly,sasa pc ambayo natumia ni service park2 ambayo ni window ya old huwa haitaki kufunguka hii program Huawei modem unlocker,
sasa naombeni mnisaidie kuhusu kutatua hili tatizo,sasa nataka kupata elimu kuhusu 3g join air inafanyaje kazi kwenye kuchakachua hii modem yangu ya Huawei e153.

kama alivyokwambia mdau hapo weka xp Spk3 hiyo 3g join air haiyendani na huawei ina endana na mordem za ZTE ukiweka haitafanya kazi
 
asanteni wadau wote kwa ushauri wenu ngoja niufanyie kazi
 
poa mkuu,ila nilikuwa nataka kuweka ubuntu.
 
Back
Top Bottom